Magari(V8 n Vogue), nguo<suti>, sura(scrubed), nyumba za kifahari ni ujinga mkubwa!!!

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
I have been thinking why these political leaders in Africa are so greedy???!! Many of them like things that are unnecessary and too much luxury everytime...
Hapa Tanzania Kwetu ni hatari kabisa MaVogue kwa mtu mwenye mshahara wa laki 5 ni kawaida kabisa... Sasa linakuja swala hapa kuwa watu wengi wanafikiri kuwa na Land Cruiser V8 basi wewe ndio tajiri... Basi kila idara ya seriakali itataka kuonyesha sifa mbele za macho... Hapa ukweli unabaki maisha haya ni ya kufurahi tuu angalau na familia yako na si kuonyesha mtu kuwa kuwa tajiri lazima uonekane wewe tajiri... Ukifika hatua ya kupata furaha ni lazima uwe na kitu cha ajabuajabu kwenye jamii basi ujue unaelekea kwenye UFISADI ambao sisi tunauchukia.. Hapa kwetu unafikiri kwa nini Mengi haitwi fisadi lakini Rostama anaitwa????!!! Uchu wa kuwa na zaidi ya uwezo wako ndio chanzo... Even in Europe these people are too many but most of them are celebrities and other gang or thugs group... Cash Money sio matajiri kama watu wengi wadhaniavyo lakini wao watajikuza siku nzima tuwaache hao>>> Mimi nataka tuongelee matajiri wa ukweli kabisa na si vinginevyo....

Carlos Slim Helu (Carlos Slim), a telecom tycoon and billionaire with well-known frugal tendencies, has a net worth
of $60.6 billion, according to Forbes. Assuming no changes in his net worth, he could spend $1,150 a minute :target:for the next 100 years before he ran out of money. To put this in perspective, he could spend in 13 minutes what a minimum-wage earner brings home after an entire year of the daily grind. Granted, the world's billionaires (all
1,011 of them) are in the debatably enviable position of having, quite literally, more money than they can possibly spend, yet some are still living well below their means, and save money in surprising places. Even non-billionaires (currently 6,864,605,142 of us) can partake in these seven spending tips from frugal billionaires:

1. Keep Your Home Simple
Billionaires can afford to live in the most exclusive mansions imaginable -- and many do, including Bill Gates' sprawling 66,000 square foot, $147.5 million dollar mansion in Medina, Wash. -- yet frugal billionaires like Warren Buffett choose to keep it simple. Buffett still lives in the five-bedroom house in Omaha that he purchased in 1957 for $31,500. Likewise, Carlos Slim has lived in the same house for more than 40 years.

2. Use Self-Powered or Public Transportation
Thrifty billionaires including John Caudwell, David Cheriton and Chuck Feeney prefer to walk, bike or use public transportation when getting around town. Certainly these wealthy individuals could afford to take a helicopter to their lunch meetings, or ride in chauffeur-driven Bentleys, but they choose to get a little exercise and take advantage of public transportation instead. Good for the bank account and great for the environment.

3. Buy Your Clothes off the Rack
While some people, regardless of their net value, place a huge emphasis on wearing designer clothes and shoes, some frugal billionaires decide it's simply not worth the effort, or expense. You can find David Cheriton, the Stanford professor who matched Google founders Sergey Brin and Larry Page to the venture capitalists at Kleiner, Perkins, Caufield & Byers (resulting in a large reward of Google stock), wearing jeans and a t-shirt. Ingvar Kamprad, the founder of the furniture company Ikea, avoids wearing suits, and John Caudwell, mobile
phone mogul, buys his clothes off the rack instead of spending his wealth on designer clothes.

4. Keep your Scissors Sharp
The average haircut costs about $45, but people can and do spend up to $800 per cut and style. Multiply that by 8.6 (to account for a cut every six weeks) and it adds up to $7,200 per year, not including tips. These billionaires can certainly afford the most stylish haircuts, buy many cannot be bothered by the time it takes or the high price tag for the posh salons. Billionaires like John Caudwell and David Cheriton opt for cutting their own hair at home.

5. Drive a Regular Car
While billionaires like Larry Ellison (co-founder and CEO of Oracle Corporation) enjoy spending millions on cars, boats and planes, others remain low key with their vehicles of choice. Jim Walton (of the Wal-Mart clan) drives a
15-year-old pickup truck. Azim Premji, an Indian business tycoon, reportedly drives a Toyota Corolla. And Ingvar Kamprad of Ikea drives a 10-year-old Volvo. The idea is to buy a dependable car, and drive it into the ground. No need for a different car each day of the week for these frugal billionaires.
6. Skip Luxury Items
It may surprise some of us, but the world's wealthiest person, Carlos Slim (the one who could spend more than a thousand dollars a minute and not run out of money for one hundred years) does not own a yacht or a plane. (Reducing the amount you spend is the easiest way to make your money grow.)
Many other billionaires have chosen to skip these luxury items. Warren Buffett also avoids these lavish material items, stating, "Most toys are just a pain in the neck."
What We Can Learn Some of the world's billionaires have frugal tendencies. Perhaps this thrifty nature even helped them make some of
their money. Regardless, they have chosen to avoid some unnecessary spending (at least on their scale) and the 6,864,605,142 non-billionaires out there can follow suit, eliminating excessive, keep-up-with-the-Jones style spending. No matter what a person's income bracket is, most can usually find a way to cut back on frivolous spending, just like a few frugal billionaires.
 
...Bila kugusia yanayoendelea serikalini, haya mawazo ya kwanini ndio yanayorudisha nyuma maendeleo ya watu.
"A man who lives within his means, lacks imaginations." Get rich or die trying...
Kila mtu anaridhika na matakwa yake binafsi.

maslows-hierarchy1.jpg

kama unaridhika na kamshahara ka kununulia mkate, wengine hawaridhiki mpaka jamii imtambue fulani ana gari unique kama hilo Vogue ulilolizungumzia. Jiangalie na ujiulize kwanini uendelee kubakia mpiga kura tu?
Priorities zako za maisha umezielekeza kwenye ngazi gani katika pyramid hiyo hapo juu, kisha ujiulize Ujinga ni upi.
 
Samahani naona uko nje ya topic kidogo.... Luxury hakuna hapo kwa hiyo nataka kufika top na si kwa kuridhika au kuridhisha wengine lakini nafsi yangu mwenyewe... Wengine wanapenda MaSUUUUUUZO watu wengi husema mtaaani...
Wee kwa nini unafikiri wengine matajiri lakini watu wanawapenda lakini wengine matajiri lakini watu wanawachukia????? Masuuuuuuzo hayo...
 
Kula Mihogo sio mbaya kama utafurahia kula Mihogo... Lakini lazma mtu ujifunze kuridhika hata kama mroho saaana

I mean huyu bwana alikuwa anamaanisha kubana matumizi.... am sure hao mabwana hapo ikulu wakichange diet tu na kula msusa na sukuma wiki tunaweza kuwasomesha watoto watatu university....... Mawaziri na Wabunge wakitembelea baiskeli na kupanda daladala another 60% will get education.....
 
ha ha ha, si mchezo babake, 'ameona mbali!'
 
I have been thinking why these political leaders in Africa are so greedy???!! Many of them like things that are unnecessary and too much luxury everytime...
Hapa Tanzania Kwetu ni hatari kabisa MaVogue kwa mtu mwenye mshahara wa laki 5 ni kawaida kabisa... Sasa linakuja swala hapa kuwa watu wengi wanafikiri kuwa na Land Cruiser V8 basi wewe ndio tajiri... Basi kila idara ya seriakali itataka kuonyesha sifa mbele za macho... Hapa ukweli unabaki maisha haya ni ya kufurahi tuu angalau na familia yako na si kuonyesha mtu kuwa kuwa tajiri lazima uonekane wewe tajiri... Ukifika hatua ya kupata furaha ni lazima uwe na kitu cha ajabuajabu kwenye jamii basi ujue unaelekea kwenye UFISADI ambao sisi tunauchukia.. Hapa kwetu unafikiri kwa nini Mengi haitwi fisadi lakini Rostama anaitwa????!!! Uchu wa kuwa na zaidi ya uwezo wako ndio chanzo... Even in Europe these people are too many but most of them are celebrities and other gang or thugs group... Cash Money sio matajiri kama watu wengi wadhaniavyo lakini wao watajikuza siku nzima tuwaache hao>>> Mimi nataka tuongelee matajiri wa ukweli kabisa na si vinginevyo....

Carlos Slim Helu (Carlos Slim), a telecom tycoon and billionaire with well-known frugal tendencies, has a net worth
of $60.6 billion, according to Forbes. Assuming no changes in his net worth, he could spend $1,150 a minute :target:for the next 100 years before he ran out of money. To put this in perspective, he could spend in 13 minutes what a minimum-wage earner brings home after an entire year of the daily grind. Granted, the world's billionaires (all
1,011 of them) are in the debatably enviable position of having, quite literally, more money than they can possibly spend, yet some are still living well below their means, and save money in surprising places. Even non-billionaires (currently 6,864,605,142 of us) can partake in these seven spending tips from frugal billionaires:

1. Keep Your Home Simple
Billionaires can afford to live in the most exclusive mansions imaginable -- and many do, including Bill Gates' sprawling 66,000 square foot, $147.5 million dollar mansion in Medina, Wash. -- yet frugal billionaires like Warren Buffett choose to keep it simple. Buffett still lives in the five-bedroom house in Omaha that he purchased in 1957 for $31,500. Likewise, Carlos Slim has lived in the same house for more than 40 years.

2. Use Self-Powered or Public Transportation
Thrifty billionaires including John Caudwell, David Cheriton and Chuck Feeney prefer to walk, bike or use public transportation when getting around town. Certainly these wealthy individuals could afford to take a helicopter to their lunch meetings, or ride in chauffeur-driven Bentleys, but they choose to get a little exercise and take advantage of public transportation instead. Good for the bank account and great for the environment.

3. Buy Your Clothes off the Rack
While some people, regardless of their net value, place a huge emphasis on wearing designer clothes and shoes, some frugal billionaires decide it's simply not worth the effort, or expense. You can find David Cheriton, the Stanford professor who matched Google founders Sergey Brin and Larry Page to the venture capitalists at Kleiner, Perkins, Caufield & Byers (resulting in a large reward of Google stock), wearing jeans and a t-shirt. Ingvar Kamprad, the founder of the furniture company Ikea, avoids wearing suits, and John Caudwell, mobile
phone mogul, buys his clothes off the rack instead of spending his wealth on designer clothes.

4. Keep your Scissors Sharp
The average haircut costs about $45, but people can and do spend up to $800 per cut and style. Multiply that by 8.6 (to account for a cut every six weeks) and it adds up to $7,200 per year, not including tips. These billionaires can certainly afford the most stylish haircuts, buy many cannot be bothered by the time it takes or the high price tag for the posh salons. Billionaires like John Caudwell and David Cheriton opt for cutting their own hair at home.

5. Drive a Regular Car
While billionaires like Larry Ellison (co-founder and CEO of Oracle Corporation) enjoy spending millions on cars, boats and planes, others remain low key with their vehicles of choice. Jim Walton (of the Wal-Mart clan) drives a
15-year-old pickup truck. Azim Premji, an Indian business tycoon, reportedly drives a Toyota Corolla. And Ingvar Kamprad of Ikea drives a 10-year-old Volvo. The idea is to buy a dependable car, and drive it into the ground. No need for a different car each day of the week for these frugal billionaires.
6. Skip Luxury Items
It may surprise some of us, but the world's wealthiest person, Carlos Slim (the one who could spend more than a thousand dollars a minute and not run out of money for one hundred years) does not own a yacht or a plane. (Reducing the amount you spend is the easiest way to make your money grow.)
Many other billionaires have chosen to skip these luxury items. Warren Buffett also avoids these lavish material items, stating, "Most toys are just a pain in the neck."
What We Can Learn Some of the world's billionaires have frugal tendencies. Perhaps this thrifty nature even helped them make some of
their money. Regardless, they have chosen to avoid some unnecessary spending (at least on their scale) and the 6,864,605,142 non-billionaires out there can follow suit, eliminating excessive, keep-up-with-the-Jones style spending. No matter what a person's income bracket is, most can usually find a way to cut back on frivolous spending, just like a few frugal billionaires.

Do you.
 
Takula Muhogo Ikulu...... Kwa kauli hii tu....... Enough to get my Vote

Roho inaniuma bana umati kama ule kweli? President of People his + our votes rigged
tutaumia sana next 5 yrs, watu wenyewe watasema enough is enough subiri just within 3 yrs, ma VX V8 wameshagawana mapya wengine wamesusia.
 
Who is he in our Govt???? jamaa anareflect matumizi ya serikali ni Zaidi ya kipato.....yeye kama yeye akifanya inakua haina noma thus y akamtolea mfano Reginald mengi...koz Mengi sio kiongozi wa Serikali so hata kama akiwa extravagant ni yeye kama yeye hakuna jamii inayomtegemea.....lakini Viongozi wa Serikali wanapata 100 wanatumia BUKU, nani anacover hiyo loss ya 900??? ni mimi na wewe kupitia Mikodi rundo iliyojazana chi hii, Na ndiyo kinatchotuumiza.......Soma, Elewa then Comment, acha kukoment kama hujaelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
U Do U
 
Braza watu wengine humu ndani tuwaache tuu waendelee kutumia Oxygen bure maana hata umuhimu hawana
 
Mkuu uko ulaya nini?
Mawazo haya ni mazuri lakini yako out of touch.
Hebu mwambie Mengi akawahi daladala pale Mikocheni na utaona atakavyosambaratishwa na vibaka.
The same for Manji or Lowassa wakipanda daladala wamekwisha!!!!!!
Its a rule of nature, though ones wealth is not supposed to be filfth in front of the populace, one cannot help but be detached from it socially.
The more money(and power) that one is perceived to possess, the more security that one needs to muster.
 
Mkuu uko ulaya nini?
Mawazo haya ni mazuri lakini yako out of touch.
Hebu mwambie Mengi akawahi daladala pale Mikocheni na utaona atakavyosambaratishwa na vibaka.
The same for Manji or Lowassa wakipanda daladala wamekwisha!!!!!!
Does not matter if this guys have got that wealth from their own sweat.... lakini not from our taxes..... also who said about daladala? Must they use VX what's wrong with mark II and the likes of Rav 4, volkswagen etc.... Whenever my hard earned cash is involved am very concerned.. i would suggest this primma donnas are given motorcycles instead of cars
 
Dr Slaa asingeibiwa kura saa hizi nchi hii ingeanza kubadilika!! Lakini sasa ndio tunaula wa chuya kwa miaka mingine mitano; jamaa haoni wala hasikii shida za wananchi anachuna tu kwa kwenda mbele yeye na genge lake.
 
Back
Top Bottom