Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,042
- 23,487
Mamlaka inayohusika na usimamiaji wa ruti za madaladala ni jipu sugu,kwa imeshindwa kabisa kusimamia magari haya ambayo pengine mamlaka hiyo ndiyo inayowapa leseni.
Naomba nimwamshe waziri mteule wa masuala hayo aanze kufa na hili kwanza kwani litampunguzia MNYONGE NA MLALAHOI MAKALI YA MAISHA.
PIA TUNAMWOMBA ARUHUSU MAGARI YAWEZE KUFIKA POSTA MPYA.
baadhi ya ruti ambazo zinafupishwa!
Buguruni ---Dondwe
Buguruni---nzasa
Na kwingine kwingi tu,Inapokugusa iandike hapa!
ILI WAHUSIKA WAAMKE SASA.
MNYONGE APATE NAFUU HARAKA.