Magari kutoka Korea kusini

Tibalikwenda

JF-Expert Member
Aug 27, 2020
285
595
Wakuu Kuna hiz gari kutoka Korea kusini Kama Kia Sportage iko halmashaur moja kanda ya ziwa ilikuja na km elfu 60 kwa sasa inasoma 100,000 na point mi nataka kuagiza gari moja matata sana kia Sorento, but ni left hand, diesel , 7 seater naombeni ushauri wenu wakuu, nilihitaj kluger ila 7 seater ni chache sana naona kia itanifaa Zaid.
 
Kwa uchunguzi wangu gari za korea nyingi bodi zao nndio uchawi haxihimili kabisa mazingira ya africa ila kama ukiwa mtunzaji unaweza kukaaa nayo japo body spare parts pia zinatesa upatikanaji mpk mfukoni uwe vizuri ila Engine spear parts zake zipo vizuri

sent from HUAWEI
 
Wakuu Kuna hiz gari kutoka Korea kusini Kama Kia Sportage iko halmashaur moja kanda ya ziwa ilikuja na km elfu 60 kwa sasa inasoma 100,000 na point mi nataka kuagiza gari moja matata sana kia Sorento ,but ni left hand ,diesel ,7 seater naombeni ushauri wenu wakuu, nilihitaj kluger ila 7 seater ni chache sana naona kia itanifaa Zaid.
Jamaa wana gari nzuri sana, kama unataka right hand angalia katika soko la India au Indonesia, utazipata kuanzia 0 km
 
Kuna kagari ka Chevrolet Cruze LTZ nimekapenda sana nimekaona befoward location South Korea. Sema Sijui kama nitakamudu kwa spare.
 
Back
Top Bottom