mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Wanataka prestige wkt uwezo mdogo.Bongo sijawai waelewa watuHuwa naona Gari unakuta ni Lexus ila kwenye zile Logo kama zibenadilishwa ivi mi huwa nahisi mwanzo ilikua Harrier sasa kwa nini wafanye vile? ni kitu kidogo ukikitizama ila nahisi kuna kitu apo yani Ukicheki Logo ya Mbele pale kwenye show case Nyuma kwenye Starring zote zimechezeshwa kwani kuna nini hasa hapa?
Hata hapa town kuna Bmw 3 series za kawaida tu mtu ameweka badge ya M3,nyingine marcedes za kawaida ila wameiwekea badge ya AMG.
Ndio mambo ya mjini hayo.