Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

@PRONDO na wadau wengine vp kuhusu BMW 1 Series ,ubora na udhaifu wake ,binafsi muundo wake unanivutia
 
Mkuu sasa hivi haipo hivyo maana unaweza ukawa umepewa gari huko kama zawadi na kurudi nalo wanachotaka ni kodi yao tuu...ila ukiwa nayo mengi harafu hueleweki ndio tatizo sio moja...
Mkuu Isanga family vipi kuhusu hizi disco Td5 huko majuu zipo?.. pia nazipenda sana hizi chuma
 
Attachments

  • FB_IMG_1568613475336.jpg
    FB_IMG_1568613475336.jpg
    78 KB · Views: 33
Wakuu Ni kwa nini watu wengi hawapendelei gari hizi? Tatizo ni bei na gharama za maintainance ama ni nini shida kubwa ya haya magari..?)
BMW X5 over here. Not much to complain.

I am told the parts are expensive, but that is a relative term.

I just ran over something on the road and paid $250 to replace a tire. Not your grandfather's tires though.

A year or two ago I replaced my windscreen mirror .A small pebble hit me on the road, started a crack, I had to replace the windscreen mirror, the one that has automated wipers activators during rain, I think it cost me around $500, and that was kind of a bargain, as I have seen cases where it was at least twice that much.

So, depending on where you are, what you do, how do you service your cars, what kind of taxes the government stick you with, if these figures are exorbitant, you may want to stay away from Beemers.

If not, welcome to the ultimate driving machine.
 
Hiyo shock ni mchina au genuine maana kwa pesa hiyo hata shock up ya rav 4 hupati kwa bei hiyo zinaanzia milioni 1.4
Bmw na Merc sio gari za kawaida. Ni gari luxury kwahio hata maintanance yake ipo juu, sio sawa na carina,corolla etc. Ila ukiangalia bei ya used from Japan haina tofauti sana na toyota kwasababu ya demand. Ila gharama ya maintanance iko juu vile vile kwahio ukiwa nalo jipange usije kuambiwa shock absorber moja tzs 350,000 ukapata ugonjwa wa moyo.

Ila ni gari za starehe kweli na mbio mbio kweli.
 
Kusukuma sio tatizo na BMW nyingi zinauzwa bei nzuri sana mtandaoni tena mara nyingine kwa bei ndogo kuliko Toyota etc.
Tatizo ni spare parts zikiharibika.
So far spare parts siku hizi ni nyingi na kama hakuna ni rahisi pia kuagizia.
Mkuu hayo BMW angalia mwaka na mwaka wa Toyota harafu ufananishe bei maana labda japan lakini sehemu nyingi naona BM mfano ya 2015 na Toyota ya 2015 hapo BM itauzwa bei juu tofauti na Toyota na aina za hayo magari pia...mengine yashapitwa na wakati maana wanunuzi wa BM wanaangalia mwaka kuliko wanunuzi wa magari mengine....BMW kwa bei ya mwaka wa karibuni Benz mwenyewe anaachwa mbali sana...
 
Wakuu Ni kwa nini watu wengi hawapendelei gari hizi? Tatizo ni bei na gharama za maintainance ama ni nini shida kubwa ya haya magari..?)
 
Labda hujaangalia vizuri tu. Sasa hivi VW ni nyingi sana, moja ya sababu spares zake zipo nyingi na bei sio juu sana kulinganisha na bmw/merc.

Ukiniuliza ununue gari gani ya Euro nitakwambia VW yoyote ile. Popular model bongo ni Touareg,touran,golf,polo.
Tatizo ushuru wake ni tishio..juzi nilicheki moja cif ni kama USD 4000 ila kodi ni 18,000,000
 
Mhhh hiyo siijui kuna kundi moja tupo nae naona anatupia magari ya UK kwa bei rahisi sana ila undani wake siijui kwenye biashara zake ila hana lugha ya biashara ni kama ana utoto fulani ingawaje ni mtu mzima....
Ana tuhuma hizo nadhani,maana humu jf walishamshambulia sana+ tuhuma za kula hela za rambirambi za mjane wa Mwangosi.
 
Ana tuhuma hizo nadhani,maana humu jf walishamshambulia sana+ tuhuma za kula hela za rambirambi za mjane wa Mwangosi.
Ok ya mjane niliisoma sema sikuelewa ilikuaje maana yeye alikua nje alichangisha huko huko juu na kula au ilikuje ila kwa jinsi alivyo ana wenge Sana kichwa chake hakipo sawa lolote linawezekana...
 
Ok ya mjane niliisoma sema sikuelewa ilikuaje maana yeye alikua nje alichangisha huko huko juu na kula au ilikuje ila kwa jinsi alivyo ana wenge Sana kichwa chake hakipo sawa lolote linawezekana...
Alichangisha za wabongo walioko UK then hakuziwasilisha kwny familia ya Mwangosi,utata ukaanzia hapo.

Sasa vitu kama rambirambi vikizingua vipi kuaminiana kwny vitu kama magari?

Na kuna thread flani alishaileta hapa jukwaani kuhusiana na kuleta magari kutoka UK to Bongo bei za gari zake zikawa £££ ndogo sana,watu wakabishana sana ila kiukweli CIF zake zilikua under-estimated sana kulinganisha na Market value,ikaleta wasiwasi sana.
 
OK hapo nimeelewa sema anaonekana ni mjanja mjanja fulani ila magari anatangaza bei mpaka dar Kodi ni wewe ufatilie mimi huwa nahitaji Engine za landrover 110 najishauri kumuuliza maana ana nyodo utadhani kamaliza huku kwenye vifaa yupo bei tofauti na magari CIF yake inakua chini na wanasema wana office mikocheni...
 
Alikuaga anasema ana shipping co. huko UK Sijui kama ni kweli au la,lkn ni vyema ungefanya due diligence kwanza kabla hujafanya nae dili yoyote.

Back
Top Bottom