Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Bongo sijawai waelewa watuHuwa naona Gari unakuta ni Lexus ila kwenye zile Logo kama zibenadilishwa ivi mi huwa nahisi mwanzo ilikua Harrier sasa kwa nini wafanye vile? ni kitu kidogo ukikitizama ila nahisi kuna kitu apo yani Ukicheki Logo ya Mbele pale kwenye show case Nyuma kwenye Starring zote zimechezeshwa kwani kuna nini hasa hapa?
Wanataka prestige wkt uwezo mdogo.

Hata hapa town kuna Bmw 3 series za kawaida tu mtu ameweka badge ya M3,nyingine marcedes za kawaida ila wameiwekea badge ya AMG.

Ndio mambo ya mjini hayo.
 
Haya magari pamoja na Audi mbona engine size kubwa sana?
Unakuta gari ndogo tu size ya IST lakini engine cc 3150

Bmw wana magari yenye engine ya kawaida tu kama 112i,114i,116i,118i,316i,318i,320i,325i,520i,525i na diesel version zake.

Audi zipo pia Audi A3 1.4tfsi,A1 1.2 L TFSI ,A1 1.4 L TFSI etc
 
View attachment 443027
Benz ya 2015 model zipo vizuri hizo mashine ni vile kodi yake ipo sawa na bei yake ndio maana tunakimbilia kwenye toyota hiyo gari ugusi kitu zaidi ya kumwaga oil kwa kipindi kirefu sana..
Mkuu,kuhusu haya magari kodi zake,je nikilinunua nje huko mimi mwenyewe nilinunue likiwa used nije nalo hapa Tanzania nitatakiwa kulisajili ndani ya muda gani ?
 
Mkuu,kuhusu haya magari kodi zake,je nikilinunua nje huko mimi mwenyewe nilinunue likiwa used nije nalo hapa Tanzania nitatakiwa kulisajili ndani ya muda gani ?
Mkuu gari aina gani unataka wewe ukipenda gari zuri changa tafuta la miaka ya karibuni ulilolipenda nunua tumia mpaka lianze kukusumbua sio leo maana ukiingia humu kila gari ni bovu harafu mtaani hayapo huo ubovu sijui wameujulia wapi...
 
Kweli kaka Isanga, unajua watu tuna sikiliza sana maneno ya watu juu ya gari isiyo toyota... Benz sina experience nayo sana ila frankly % kubwa ya wamiliki sijawahi kuona waki lalama... mi naamini hata gari za toyota ukiwa na fundi asiyemzuri lzm ikusumbue.. yaan mi afe simba afe masai gari yangu ya 2 itakuwa Benz.. tuombe uzima
Na ukiingia kwenye Benz hutoki ni gari ya tofauti sana Mkuu
 
Back
Top Bottom