Magari 3 Coaster zimeondoka Mwanza kuelekea Kigoma kuifanyia fujo Dr.Slaa

Status
Not open for further replies.
Kama mmeweza kumtungia Zitto hekaya, hili dogo kabisa.

Leteni hadithi nyingine, hii porojo wenzako tushatupa kule..

yaaani wewe kweli unatumika vibaya tena sana kiasi cha kukufanya uwe mlemavu kabisa waakili na huo ni lemavu utakuandama hadi unaingia kaburini
 
Watu wale. Wale kaul zilezile,kila thread utawaona saa 24. Sijui kama wanapata muda hata wa kupiga mswaki, mmh midomo yao itakuwaje? Wako bize na slaa huku kwao kunateketea ona KINANA amekosa watu NJOMBe
 
Kama mmeweza kumtungia Zitto hekaya, hili dogo kabisa.

Leteni hadithi nyingine, hii porojo wenzako tushatupa kule..

Bado unatishwa...?au umeshindwa vumilia kuacha umbea kwa jaili ya acting yako.Usanii ni kipaji na kinasomewa shuleni.
 
Kama , nilivyotahadharisha kuhusu Maandamano feki ambayo yamefanyika leo huko Ujiji na Mwandiga Kigoma ,muda wa saa moja lililopita kuna magari matatu yamekodishwa na Henry MAtata Meya aliyechaguliwa kihuni baada ya kutukuza uanachama Chadema , ni wa Ilemela ya Coaster yakiwa yamebeba wahuni kutoka Mwanza yanaelekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya fujo kwenye Mkutano wa Dr.Slaa.

Magari hayo yamepita eneo la Sengerema muda machache uliopita, naomba ins iweke namba kwa sasa kwani Coaster hizo zinafuatiliwa kwa ukatibu sana , na hasa baada ya baadhi ya vijana ambao wameweka kwenye mpango huo kutoa taarifa kwa Viongozi wa Chadema .

Coaster hizo , zikifika Geita zitakutana na Kizuizi baada ya vyombo vya dola kujulishwa , Aidha ikumbukwe kuwa leo wale waliandamana wametoa tamko mbele ya RPC WA Kigoma kuwa Dr.Slaa akifika Mjini Kigoma basi atauwawa .....

Naomba niwape taarifa hii kwa ufupi kwa sasa hadi hapo baadae .....

more to to come soon.

Hao ndio wahuni, mbona wale waliokuwa wanaenda kuvamia kituo cha polisi Arusha mliwaita mashujaa...............

Mliosha na nyie msubiri muoshwe.........
 
Henry Matata mwenye Magnam Gym ya kuwafunza vijana ujambazi ni mhuni jambazi mnyang'anyi mwenye kujulikana hata na watoto wa chekechea lakini kwa CCM anaonekana kama mkombozi mwigulu type! simply because CCM na serikali yake imeshindwa kuwapa wananchi maisha bora badala yake inawasababishia wananchi maisha kuwa magumu kila kukicha... Mbinu zote chafu hazitafua dafu mbele ya nguvu ya umma! Wako watanzania wengi sana wazalendo wa kweli wenye uchungu wa dhaati kabisa ambao hawapendi kuona bei ya umeme unapanda badala ya kushushwa, hawapendi kuona wafanyakazi na wafanyabiashara wakilipishwa mikodi ya kuwaua, tuko wengi tusiopenda kuona Tembo wetu wanaangamizwa, Tuko tayari kupambana na hawa vibaraka wenye kuruhusu madini yetu kusombwa bila ya kutunufaisha walengwa, hatufurahi bali tunasikitika nchi yetu kuwa na wauza sembe wengi kuliko wa Colombia...CCM must go!
 
Kama , nilivyotahadharisha kuhusu Maandamano feki ambayo yamefanyika leo huko Ujiji na Mwandiga Kigoma ,muda wa saa moja lililopita kuna magari matatu yamekodishwa na Henry MAtata Meya aliyechaguliwa kihuni baada ya kutukuza uanachama Chadema , ni wa Ilemela ya Coaster yakiwa yamebeba wahuni kutoka Mwanza yanaelekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya fujo kwenye Mkutano wa Dr.Slaa.

Magari hayo yamepita eneo la Sengerema muda machache uliopita, naomba ins iweke namba kwa sasa kwani Coaster hizo zinafuatiliwa kwa ukatibu sana , na hasa baada ya baadhi ya vijana ambao wameweka kwenye mpango huo kutoa taarifa kwa Viongozi wa Chadema .

Coaster hizo , zikifika Geita zitakutana na Kizuizi baada ya vyombo vya dola kujulishwa , Aidha ikumbukwe kuwa leo wale waliandamana wametoa tamko mbele ya RPC WA Kigoma kuwa Dr.Slaa akifika Mjini Kigoma basi atauwawa .....

Naomba niwape taarifa hii kwa ufupi kwa sasa hadi hapo baadae .....

more to to come soon.

Kwakuwa umetaja idadi ya magari nina imani kuwa unajua namba zake na angalau hata watu wachache waliongozana ktk msalafara huo. Hebu tupe namba za Coaster hizo na angalau majina ya watu wachache
 
Bado unatishwa...?au umeshindwa vumilia kuacha umbea kwa jaili ya acting yako.Usanii ni kipaji na kinasomewa shuleni.

Mkuu, naona mmezama kwene tope la gundi, siasa zimekua ngumu hapa jukwaani. Nlisema chadema mnajitafutia matatizo mkapuuza.
 
Makamanda mbona mnatuchanganya kili siku mnasema Mwanza nzima ni Chadema kumbe siyo kweli, kama kuna watu wanakubali kwenda Kigoma kutoka Mwanza kufanya maandamano ya kumpinga Dr.Slaa, basi waambie Wenje na Kiwia, wajiandae kuondoka Mwanza kuwaachia wasukuma mkoa wao.
duh, mkuu kwa ukabila umetisha!!
 
kuna ujinga mwingine unaendela gold crest mwanza ndio unaocontrol msafara huu nao naufatilia nitauripoti.
 
Tatizo hata nafasi ya kurugenzi ya habari chadema wamepeana tuu kindugu, ndio maana ufanisi ni sifuri. Masikini tumaini makene hawezi hata kuleta updates

Unataka updates za makene za nini, kwanini usiuliziea updates za CCM wameumbuka Njombe!
 
Mbona mlishasema vyombo vya dola ni vya ccm leo imekuwaje mnaviarifu viwasaidie nyie wazima kweli au mnawaza taofauti na binadamu wa kawaida.

Wapo Polisi Wachache Wanao jitambua,na wamekataa kutumiwa kama ndom na makafiri wa magamba,au umesahau ya misri na libya?
 
Henry Matata mwenye Magnam Gym ya kuwafunza vijana ujambazi ni mhuni jambazi mnyang'anyi mwenye kujulikana hata na watoto wa chekechea lakini kwa CCM anaonekana kama mkombozi mwigulu type! simply because CCM na serikali yake imeshindwa kuwapa wananchi maisha bora badala yake inawasababishia wananchi maisha kuwa magumu kila kukicha... Mbinu zote chafu hazitafua dafu mbele ya nguvu ya umma! Wako watanzania wengi sana wazalendo wa kweli wenye uchungu wa dhaati kabisa ambao hawapendi kuona bei ya umeme unapanda badala ya kushushwa, hawapendi kuona wafanyakazi na wafanyabiashara wakilipishwa mikodi ya kuwaua, tuko wengi tusiopenda kuona Tembo wetu wanaangamizwa, Tuko tayari kupambana na hawa vibaraka wenye kuruhusu madini yetu kusombwa bila ya kutunufaisha walengwa, hatufurahi bali tunasikitika nchi yetu kuwa na wauza sembe wengi kuliko wa Colombia...CCM must go!

Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kusikia Henry Matata amehamia CCM akitokea Chadema. Napata taabu hapa kukuelewa, au mwenzetu upo dunia nyingine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom