Magari 3 Coaster zimeondoka Mwanza kuelekea Kigoma kuifanyia fujo Dr.Slaa

Status
Not open for further replies.

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,780
3,208
Kama , nilivyotahadharisha kuhusu Maandamano feki ambayo yamefanyika leo huko Ujiji na Mwandiga Kigoma ,muda wa saa moja lililopita kuna magari matatu yamekodishwa na Henry MAtata Meya aliyechaguliwa kihuni baada ya kutukuza uanachama Chadema , ni wa Ilemela ya Coaster yakiwa yamebeba wahuni kutoka Mwanza yanaelekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya fujo kwenye Mkutano wa Dr.Slaa.

Magari hayo yamepita eneo la Sengerema muda machache uliopita, naomba ins iweke namba kwa sasa kwani Coaster hizo zinafuatiliwa kwa ukatibu sana , na hasa baada ya baadhi ya vijana ambao wameweka kwenye mpango huo kutoa taarifa kwa Viongozi wa Chadema .

Coaster hizo , zikifika Geita zitakutana na Kizuizi baada ya vyombo vya dola kujulishwa , Aidha ikumbukwe kuwa leo wale waliandamana wametoa tamko mbele ya RPC WA Kigoma kuwa Dr.Slaa akifika Mjini Kigoma basi atauwawa .....

Naomba niwape taarifa hii kwa ufupi kwa sasa hadi hapo baadae .....

Updates.......
Henry MAtata , akiwa kwenye VX Nyekundu , akiwa na Msafara wa magari mawili aina yacDouble Cabin alivuka Kizuizi cha Police cha Buseresere , Wilaya ya Chato akiwa anaongoza Msafara wa hao wahuni wake .......

more to to come soon.
 
Tuna idara za ulinzi wa chama, viongozi na mali za chama,

Tuna ulinzi usioonekana (Invisible S.U)

Tutawadhibiti na kuvunja kabisa malengo yao,

Katiba inaturuhusu kuwadhibi, dhamira pia inaturuhusu kuwadhibiti,

Kwaumoja wetu Wanachadema popote mlipo peaneni taarifa za hao mumiani.
 
Kama mmeweza kumtungia Zitto hekaya, hili dogo kabisa.

Leteni hadithi nyingine, hii porojo wenzako tushatupa kule..
 
Tuna idara za ulinzi wa chama, viongozi na mali za chama,

Tuna ulinzi usioonekana (Invisible S.U)

Tutawadhibiti na kuvunja kabisa malengo yao,

Katiba inaturuhusu kuwadhibi, dhamira pia inaturuhusu kuwadhibiti,

Kwaumoja wetu Wanachadema popote mlipo peaneni taarifa na hao mumiani.

Ni kama nasoma ngonjera andiko lako hili.
 
Kama , nilivyotahadharisha kuhusu Maandamano feki ambayo yamefanyika leo huko Ujiji na Mwandiga Kigoma ,muda wa saa moja lililopita kuna magari matatu yamekodishwa na Henry MAtata Meya aliyechaguliwa kihuni baada ya kutukuza uanachama Chadema , ni wa Ilemela ya Coaster yakiwa yamebeba wahuni kutoka Mwanza yanaelekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya fujo kwenye Mkutano wa Dr.Slaa.

Magari hayo yamepita eneo la Sengerema muda machache uliopita, naomba ins iweke namba kwa sasa kwani Coaster hizo zinafuatiliwa kwa ukatibu sana , na hasa baada ya baadhi ya vijana ambao wameweka kwenye mpango huo kutoa taarifa kwa Viongozi wa Chadema .

Coaster hizo , zikifika Geita zitakutana na Kizuizi baada ya vyombo vya dola kujulishwa , Aidha ikumbukwe kuwa leo wale waliandamana wametoa tamko mbele ya RPC WA Kigoma kuwa Dr.Slaa akifika Mjini Kigoma basi atauwawa .....

Naomba niwape taarifa hii kwa ufupi kwa sasa hadi hapo baadae .....

more to to come soon.
Mbona mlishasema vyombo vya dola ni vya ccm leo imekuwaje mnaviarifu viwasaidie nyie wazima kweli au mnawaza taofauti na binadamu wa kawaida.
 
Tuna idara za ulinzi wa chama, viongozi na mali za chama,

Tuna ulinzi usioonekana (Invisible S.U)

Tutawadhibiti na kuvunja kabisa malengo yao,

Katiba inaturuhusu kuwadhibi, dhamira pia inaturuhusu kuwadhibiti,

Kwaumoja wetu Wanachadema popote mlipo peaneni taarifa na hao mumiani.

I support you 100%. Tunataka redbrigade itimize wajibu wake hata kama police hawatataka kutoa ulinzi wakutosha ktk mkutano huo. Maandamano yao yameisha leo nakesho ni Mkutano wa Dr. Slaa. Tanzania ni yetu sote, na iwe haki kwa wote.
 
Hao wakifika mbele ya Dr. Ph.D,. Watajioni kama ki..nye...si! Watajuta kumfahamu
 
Nasema na ninarudia tena
ZZZK sio tuu ametusaliti sisi watz ila amemwaga damu nyingi za watz
Hizi damu tena za watoto wadogo wasiokuwa na hatia yoyote zitamtafuna hadi kaburini
Mungu ni mwema na mwenye huruma hasa kwa watoto
Leo hii watoto wengi wamekufa wengine ni vilema
Zitto huyu huyu ndo anataka tena kuua ee Mungu njoo haraka
Mimi ninausongo sana na Zitto njoo tena Ujerumani haki ya Mungu tutakuumbua vibaya sana
 
Ukitaka kujua ni wanafunzi wangapi wanaelewa darasani uliza swali katika kipindi kilichopita...........
Na ukitaka kujua nani kafanya kosa uliza alafu utaona atakaye ropoka wa kwanza ndiye..............

Sasa niseme kwamba maccm ndo wanaowalipa kuwatukana CDM
Hela zetu za walipa kodi ndo zinafanya kazi ya kuwalipa ili mtukane CDM
Shame on you and RIP over

Kumbuka bila zitto usingepata hiyo hela unayopewa ili umtukane siku akiwa mwenyekiti wa chadema jiandae kuhama pengine ukae kwenu machame siku zote.
 
hawatafanikiwa daima hao wanaotaka kuvuruga mkutano wa chadema ni sawa ndoto za kichaa kujenga ghorofa angani
 
Makamanda mbona mnatuchanganya kili siku mnasema Mwanza nzima ni Chadema kumbe siyo kweli, kama kuna watu wanakubali kwenda Kigoma kutoka Mwanza kufanya maandamano ya kumpinga Dr.Slaa, basi waambie Wenje na Kiwia, wajiandae kuondoka Mwanza kuwaachia wasukuma mkoa wao.
 
Kama mmeweza kumtungia Zitto hekaya, hili dogo kabisa.

Leteni hadithi nyingine, hii porojo wenzako tushatupa kule..

I don't see a reason for all these kufanyika Zitto ni mwanasiasa kijana na anayekubalika as we think.... Vyama vya Siasa ni vingi why asiondoke and join CCM or other parties?? Has anyone asked himself/herself why CCM Wanaweweseka sana na yanayomkuta Zitto huko CHADEMA?? Why they didn't do the same kwa wengine waliowahi timuliwa huko CHADEMA? And his press conference was organized na kuratibiwa na kina mwamcotton na Shonza, vijana toka CCM... Let's think loudly here!! Only in his press na hao CCM kujitokeza will all means kumtetea...raises eye brows!! Ni hapo wanaojidai kutoa matamko once Zitto anaondoka CHADEMA na kuachana na Siasa as he once mentioned hao watoa matamko ndo mwisho wao!! Where is Tambwe Hiza? Hao kina Shonza washatumika na CCM as co.n.do.m sasa wapo tu...... Politics is a dirty game... No permanent friend or permanent enemy usije shangaa jioni pale Dodoma Mbowe na Zitto wanapata bia pamoja... Huku jamiiforums watu wanataka kutoana roho!!
 
Tatizo hata nafasi ya kurugenzi ya habari chadema wamepeana tuu kindugu, ndio maana ufanisi ni sifuri. Masikini tumaini makene hawezi hata kuleta updates
 
Kama , nilivyotahadharisha kuhusu Maandamano feki ambayo yamefanyika leo huko Ujiji na Mwandiga Kigoma ,muda wa saa moja lililopita kuna magari matatu yamekodishwa na Henry MAtata Meya aliyechaguliwa kihuni baada ya kutukuza uanachama Chadema , ni wa Ilemela ya Coaster yakiwa yamebeba wahuni kutoka Mwanza yanaelekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya fujo kwenye Mkutano wa Dr.Slaa.

Magari hayo yamepita eneo la Sengerema muda machache uliopita, naomba ins iweke namba kwa sasa kwani Coaster hizo zinafuatiliwa kwa ukatibu sana , na hasa baada ya baadhi ya vijana ambao wameweka kwenye mpango huo kutoa taarifa kwa Viongozi wa Chadema .

Coaster hizo , zikifika Geita zitakutana na Kizuizi baada ya vyombo vya dola kujulishwa , Aidha ikumbukwe kuwa leo wale waliandamana wametoa tamko mbele ya RPC WA Kigoma kuwa Dr.Slaa akifika Mjini Kigoma basi atauwawa .....

Naomba niwape taarifa hii kwa ufupi kwa sasa hadi hapo baadae .....

more to to come soon.
waangalie ya kwao kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom