Magari 20 ya kusafirisha mizigo Kongo yanahitajika haraka :

Bizney

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
454
48
Ndg ikiwa wewe ni mdau na una magari ya kusafirisha mizigo tafadhali tuwasiliane baada ya kukubaliana na bei elekezi. Tunalipa $7,700
lakini pia kuna hakika ya mzigo wa kurudi.
Wasiliana nami 0713468920

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg ikiwa wewe ni mdau na una magari ya kusafirisha mizigo tafadhali tuwasiliane baada ya kukubaliana na bei elekezi. Tunalipa $7500

Wasiliana nami 0713468920

Sent using Jamii Forums mobile app
Congo kubwa wewe, taja kolowezi, lubumbashi, katanga etc ni kila sehemu ina bei yake..

Also hiyo kazi iweke wazi, container(ft?) or loose cargo, adv bei gani na bal ni bei gani na kwa mda gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Give me full details.
1. Type of container(size)- 40’
2. Tonnage per container, - 11 tons
3. Date of loading,- today
4. Amount offered, - 7,700$
5. Advance to be paid and - 50%
Or 70% with fuel
6. Balance will be paid within how many days ? - 7 days from POD
Free Demurrage - 45 days

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom