hahahahahahaYa Chama labda
Sababu aliyekamatwa nayo siyo kada ndio maana yamekuwa na thamani kubwa hivyo, kama angelikuwa kada thamani ingeshuka ya hiyo zaidi ya mara elf kumi..Guys nauliza hivi yake magamba ya kakakuona (mnyama) yanatengenezewa nini maana juzi nimesoma kwenye gazeti police wame yamekamatwa magamba ya kaka kuona kwenye mifuko wanasema magamba yenye garama ya Tsh 2 bilion nikashangaa kwani yanatengenewa nini?
NimechekaWanatengeneza dawa ya nguvu za kiume
Usicheke mkuu huo ndio ukweli. Issue ya nguvu za kiume ni janga la dunia kaka ,sisi tupo Ughaibuni huku tunajua watu wanavyo hangaika na tatizo la nguvu za kiumeNimecheka