Magamba ya kakakuona

kistick

Member
Oct 30, 2013
68
22
Guys nauliza hivi yake magamba ya kakakuona (mnyama) yanatengenezewa nini maana juzi nimesoma kwenye gazeti police wame yamekamatwa magamba ya kaka kuona kwenye mifuko wanasema magamba yenye garama ya Tsh 2 bilion nikashangaa kwani yanatengenewa nini?
 
Sababu aliyekamatwa nayo siyo kada ndio maana yamekuwa na thamani kubwa hivyo, kama angelikuwa kada thamani ingeshuka ya hiyo zaidi ya mara elf kumi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom