Magamba walipotufikisha. Soma picha hii na utafsiri sahihi

Nafikiri wakati umefika sasa kwa CCM kuungana na CUF ili kizaliwe chama kipya. I have tired to hear CCM kila wakati.
 
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.stop complaining about ur country you fo********........... Just do your part well:tape2:

watanzania hawakuahidiwa ujenzi wa kigamboni wa miaka 20........waliahidiwa maisha bora

na hizo shule za kata unajua matatizo yake??????? Hakuna maabara,waalimu hakuna sayansi, watoto wanasoma kwa nguvu zao za kwenda tuition za mitaani

Kikwete hakuhid watu kuwafundisha kutumia cm

THINK BIG......... Waulize wanafauluje si kusubiri matokeo ya NECTA....ni NGUVU ZAO WENYEWE.... Tuition zimejaaa dar wewe unakuj kukurupuka JF
 
Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?Idadi ya vituo vya afya? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu?
Hii ndiyo inaitwa data corruption BWANA unatajiwa wingi wa vitu si UBORA!.. Wimbo ni IDADI, IDADI, IDADI!.. Utaambiwa shule zetu zimefaulisha wanafunzi kwa aslimia mia moja (yaani wote wanafaulu) huambiwi one ngapi, two ngapi? three ngapi? four ngapi?. Ukichunguza utashangaa kuona 90% division four na the rest 10% . Hata four za D mbili zinahesabiwa kuwa ni ushindi mkubwa.
 
Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.
Sasa kazi kuu ya serikali ni nini?. Kodi inayokusanywa ni kwa ajili ya nini?
 
wengi wetu humu JF ni imani yangu kuwa tumepita shule, idadi ya waliokuwa wanasoma miaka ya 1960-2000 ni ndogo ukilinganisha na alivyoingia JK.

Serikali kipindi hicho iliweza kutoa huduma mbalimbali kwa wanafunzi wa ngazi zote.

Leo hii idadi kubwa inataka huduma zilezile walizokuwa wakipata wanafunzi wa enzi hizo, unatarajia kwa hali hii ubora unaousema wewe utapatikana?

Kama hukuwai kufika katika nchi yeyote iliyoendelea, basi usome hata majarida mbalimbali ya nchi hizo. Mfano, Marekani mpaka leo bado haijaweza kutoa huduma kwa shule za umma na vyuo vyake, kama zinazotolewa na watu binafsi.

Ila mbona atujiulizi hawa wanafunzi wa shule hizo mnazosema sio bora, mbona kuna wanafunzi wanaofanya vizuri? na hata wakifika juu wanaendelea kufanya vizuri?

Binafsi sijawai kupata fursa ya kufaidika kwa kufundishwa na mwalimu darasani kwenye masomo yangu yote. Lakini jitihada binafsi za mwanafunzi zinahitajika katika kufanikisha na kufikia malengo yake.

Hii ndio silaha pekee ya kula keki ya taifa, kupata taaluma na kutumia taaluma kubadilisha hali yako na ya jamii inayokuzunguka.

Badala ya kuilaumu serikali, ambayo kimsingi ni kama muwezeshaji tu, lakini nafasi kubwa ni sisi wazazi na walezi kuwaimiza vijana wetu wazingatie masomo yao.

BADILIKA UBADILI TAIFA.
 
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:
Unaweza kuropoka unavyoweza kwa kuwa unaishi maisha bora yanayotokana na mfumo uliopo, ambao unawanufaisha wachache na kuwaumiza wengi.. Na yamkini wewe ni mmoja wa wanufaika... Ni lazima utatetea kwa kuwa unakula, unashiba na kutapika, wala hupati tabu kufikiri kuwa kuna watu wanakula mlo mmoja Hali imekuwa mbaya sana hata kwa sisi wajasiriamali biashara haziendi, wakulima ambao ni wateja wetu wakubwa huku vijijini wapo hoi! Mazao yao wanakopwa kwa mfumo wa stakabadhi ghalani na hawalipwi mpaka waandamane... Pamoja na kwamba mnalinda maslahi yenu yanayolindwa na mfumo huu, jitahidini kuwa objective muone ukweli usoni!
 
Sasa kazi kuu ya serikali ni nini?. Kodi inayokusanywa ni kwa ajili ya nini?

Kwa namna hii ndio JF itakavyorudisha heshima na hadhi yake, badala ya kuanza kushambuliana ni vyema tukawa tunauliza maswali, ili kujibishana na kulumbana kwa HOJA.

Majukumu ya msingi ya serikali ni kutunga na kusimamia sera. Kusimamia sheria za nchi na kutoa huduma kwa raia wake.

Sasa tukianza kuongelea sera, mfano katika elimu, serikali ilisema itajenga shule za sekondali katika kila kata. Imefanya hivyo, lakini swala hili linachangamoto zake na bado serikaji inafanya jitihada kukabiliana nazo. Kuna haja ya kuwa na vifaa vya kufundishia, kama madawati, chaki, vitabu na mahitaji mengine ya msingi ya shule. Nyumba za walimu nazo pia ni kipaumbele cha serikali katika utekelezaji wa sera hii.

Kuna huduma kama ujenzi wa miundombinu ya maji, barabara+madaraja na ya umeme. Haya ni majukumu ya msingi ya serikali. Na tumeshuhudia barabara nyingi za mikoa zikijengwa kwa kiwango cha lami. Huduma ya umeme pia bila kusahau ujenzi wa madaraja kadha wa kadha.

Vituo vingi vya afya vimejengwa na kuongezeka kwa madaktari na wahudumu katika vituo husika. Muhimbili wameweka kitengo maalumu cha magonjwa ya moyo ili kupunguza ulazima wa watanzania kwenda nje ya nchi sanasana India ili kupata matibabu ya magonjwa ya moyo.

Upatikanaji na ugawaji wa huduma ya maji safi na salama, hapa sina haja ya kuongelea maana tumeshuhudia ujenzi wa miundombinu kadha ya maji na wananchi wengi wamepunguziwa mzigo wa kutembea masafa marefu kupata huduma hii ya msingi.

Katika swala la kusimamia kilimo kupitia dhana ya "kilimo kwanza", tumeona jinsi ilivyowasaidia wakulima katika kupandisha thamani mazao yao na kuuza nje kwa wingi na kujipatia kipato. Lakini kutokana na majanga kadha ya njaa yaliyoikumba nchi yetu, serikali iliwazui wakulima kuuza nje mazao ili kulikombomboa taifa na janga la njaa.

Kukabiliana na mfumuko wa bei, hapa kupitia kazi nzuri inayofanywa na gavana wa benki kuu, tunaweza kununua bidhaa mbalimbali kwa fedha kiduchu, mfano kutumia sh. 1000/= kupata sahani ya wali, hii ni kutokana na kazi ya gavana kulinda thamani ya pesa. Sio kazi ndogo ndugu yangu.

Ulinzi na usalama, kusimamia na kulinda mipaka ya nchi na ile ya ukanda wa bahari.

Majukumu yako mengi na wamefanya mengi sana, lakini hawajaweza kufanya yote na bado awamu ya nne haijaisha. Sio vyema kuanza kudhihaki serikali kuwa IMESHINDWA.
 
huyo bwana anasema "do your part well" lakini kama nchi inafilisiwa na wenye dhamana ya kuiongoza mchango wa mtu binafsi utasaidia nini?

Yaani uliwaza kama mimi, ninakutana na watu wa jinsi hii sana huku mtaani. Ni sawa na kujaza maji kwa kuendelea kwenye pipa huku likiwa linavuja. Hivi watu wana akili!!!!
 
images
images
 
watanzania hawakuahidiwa ujenzi wa kigamboni wa miaka 20........waliahidiwa maisha bora

na hizo shule za kata unajua matatizo yake??????? Hakuna maabara,waalimu hakuna sayansi, watoto wanasoma kwa nguvu zao za kwenda tuition za mitaani

Kikwete hakuhid watu kuwafundisha kutumia cm

THINK BIG......... Waulize wanafauluje si kusubiri matokeo ya NECTA....ni NGUVU ZAO WENYEWE.... Tuition zimejaaa dar wewe unakuj kukurupuka JF
Achana nae mpuuzi, he/she is out of touch, yaani majibu mepesi kwa maswali mazito, eti mlimani city, watanzania wangapi wanaenda mlimani city hata kuangalia tu, sembuse kununua soda? Hiyo serikali yake yenyewe imekubali kuwa shule za kata ni tatizo!
 
Yaani uliwaza kama mimi, ninakutana na watu wa jinsi hii sana huku mtaani. Ni sawa na kujaza maji kwa kuendelea kwenye pipa huku likiwa linavuja. Hivi watu wana akili!!!!

watoto wa maskini wana'do their part' wanaishia kupata divishen foo, wakati wa wenye fedha (wanaosoma feza sent sent) wana faulu katika maana ya kufaulu. Akina mama na wagonjwa masikini wanakufa zahanati kutokana na huduma mbovu. Wachache wenye nazo wanatibiwa hospitali binafsi na rate ya vifo vyao iko chini sana. Serikali inalala na matakwimu ya kipuuzi tu
 
Mkuu unaakili sana na nimependa jinsi ulivyojenga hoja yako hapa.

Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.

Jiulize wewe hapo ulipo kwa nafasi yako, umepambana vya kutosha kustahili kuilaumu serikali? au na wewe unastahili kulaumiwa na watoto wako?

Jukumu la kulisha, kusomesha na kuangalia kwa kusimamia na kuchunga maadili ya watoto wetu ni ya mzazi au mlezi.

Kama haupo tayari kutoa huduma hizo nilizo orodhesha hapo juu, kaa na ugumu wako utulie, sio kufyatua watoto utarajie waje wapate elimu bure na bora kwa mgongo wa serikali, ambayo kimsingi inapata mapato yake kutoka kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wakulima. Sio wavivu na wazembe kama wewe ambae unatarajia kila kitu ufanyiwe na CCM.

Serikali imefanya mambo mengi makubwa na kwa yeyote mungwana basi hana budi kuipongeza kwa kazi nzuri. Ila kama ilivyo ada, hakuna kilichokamilika chini ya jua, kama kuna mapungufu yamefanywa na serikali, basi kuna namna ya kufanya tathmini na kuiwajibisha kama ipasavyo.Sio huu utaratibu wa kuja kutukana, kukebei, kukashfu na kuelemea upande wa makosa tuuu kwa serikali yetu.

Mimi naona mleta mada kama angekua ni mtu mwenye akili timamu, angeorodhesha ahadi za kikwete, aorodheshe yaliyofanikiwa na ambayo yanaendelea kushughulikiwa, halafu aeleze yaliyoshindikana kabisa.

Hapo ningemwona mungwana, sio huo upuuzi wa kuweka wabunge 3 wa CCM kati ya wabunge zaidi ya 230 wa CCM hapo bungeni, heti tukubaliane nae kuwa HAWAFAI?

Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?

Idadi ya vituo vya afya? utoaji wa huduma ya maji safi na salama? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu? uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya maji, umeme na barabara+ madaraja? Kutetea na kuzitambua haki ya mwanamkee na watoto? kukomesha mauaji ya vikongwe na albino?, kufuta kabisa ujambazi? Haya yote ni katika kudumisha ulinzi na usalama.

Siku nyingine huyu mleta mada alete na mazuri basi sio kusema tu mheshimiwa rais AMESHINDWA, great thinkers hawawezi kufanya tathmini kirahisi rahisi hivyo, labda uwapelekee hizi picha zako wajinga wenzio.

usipende kuwa mvivu wa kufikiria na kuja na maneno mengi yasiyo na maana. Napenda tu kukuuliza hivi ungekuwa wewe unaona nchi zingine hazina raslimali lakini zimendelea/zinaendelea kwa kasi lakini sisi kabla ya kuendelea ndio tunategeneza tabaka kati walionacho na wasionacho. tusipende kuwa washabiki bali tujiangalieni tuko wapi na kwa sababu ya nani. CCM ilikuwa na misingi mizuri sana lakini kutokana na viongozi wake kukosa utu ndio maana tunaona hatunabudi kubadili mwelekeo. Hata kama cha chochote cha upizani kama kitakosa direction tutaaachana nacho lengo ni kutufikisha pazuri wala sio kututumia ili kundi la wachache wafaidike.
 
hawa jamaa sijui wanafaidi kwa kiasi gani? Yaani hata ukiwaambia rwanda inakua kwa kasi ya ajabu licha ya kutoka kwenye genocide miaka michache iliyopita wanakwambia 'eti hako kanchi kadogo kuliko yetu'. Vipi raslimali walizonazo ikilinganishwa na sisi? Vipi population density kwao na kwetu? Kwa nini tupo hapa miaka 7 ya jk? Kwanini hata baada ya uhuru 50 tuko hivi tulivyo? Hawana majibu ila excuses ndo zimewajaa
 
Mkuu unaakili sana na nimependa jinsi ulivyojenga hoja yako hapa.

Tatizo tulilonalo watanzania wengi ni kutojua majukumu ya kila kada. Utawasikia wanalalamika kuwa "serikali imetufikisha hapa kwenye huu umaskini" as if ni jukumu la serikali pekee kupambana na umaskini.

Jiulize wewe hapo ulipo kwa nafasi yako, umepambana vya kutosha kustahili kuilaumu serikali? au na wewe unastahili kulaumiwa na watoto wako?

Jukumu la kulisha, kusomesha na kuangalia kwa kusimamia na kuchunga maadili ya watoto wetu ni ya mzazi au mlezi.

Kama haupo tayari kutoa huduma hizo nilizo orodhesha hapo juu, kaa na ugumu wako utulie, sio kufyatua watoto utarajie waje wapate elimu bure na bora kwa mgongo wa serikali, ambayo kimsingi inapata mapato yake kutoka kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wakulima. Sio wavivu na wazembe kama wewe ambae unatarajia kila kitu ufanyiwe na CCM.

Serikali imefanya mambo mengi makubwa na kwa yeyote mungwana basi hana budi kuipongeza kwa kazi nzuri. Ila kama ilivyo ada, hakuna kilichokamilika chini ya jua, kama kuna mapungufu yamefanywa na serikali, basi kuna namna ya kufanya tathmini na kuiwajibisha kama ipasavyo.Sio huu utaratibu wa kuja kutukana, kukebei, kukashfu na kuelemea upande wa makosa tuuu kwa serikali yetu.

Mimi naona mleta mada kama angekua ni mtu mwenye akili timamu, angeorodhesha ahadi za kikwete, aorodheshe yaliyofanikiwa na ambayo yanaendelea kushughulikiwa, halafu aeleze yaliyoshindikana kabisa.

Hapo ningemwona mungwana, sio huo upuuzi wa kuweka wabunge 3 wa CCM kati ya wabunge zaidi ya 230 wa CCM hapo bungeni, heti tukubaliane nae kuwa HAWAFAI?

Mbona hujakiweka UDOM? chuo cha mandela pale Arusha? takwimu ya kuongezeka kwa vyuo vikuu? idadi ya kuandikishwa wanafunzi shule za msingi? unajua hamasa wamepata wapi? idadi ya wanaoingia sekondari? idadi ya wanaoingia vyuo vikuu? idadi ya wanaopata ajira na wanaojiajiri?

Idadi ya vituo vya afya? utoaji wa huduma ya maji safi na salama? ulinzi na usalama? ongezeko la madaktari? ongezeko la walimu? uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya maji, umeme na barabara+ madaraja? Kutetea na kuzitambua haki ya mwanamkee na watoto? kukomesha mauaji ya vikongwe na albino?, kufuta kabisa ujambazi? Haya yote ni katika kudumisha ulinzi na usalama.

Siku nyingine huyu mleta mada alete na mazuri basi sio kusema tu mheshimiwa rais AMESHINDWA, great thinkers hawawezi kufanya tathmini kirahisi rahisi hivyo, labda uwapelekee hizi picha zako wajinga wenzio.

Mjinga hapa ni wewe na wenye mawazo kama yako. Unaita mafanikio kuwa na ongezeko la idadi ya wanafunzi wasiojua kusoma? Unamsifia kikwete kwa chuo kinachogharamiwa na AU? Unayaita mafanikio kuwa na ongezeko la vituo vya afya ambavyo havina dawa wala wahudumu wa afya? Serikali inayoshindwa hata tu kuendesha properly zoezi la kuhesabu watu unaita yenye mafanikio?
 
A fool.....
shukrani ya punda.......shule za kata,unajua kubofya cm,unangia mliman city na foleni barabarani kuonyesha maisha bora kwa kila mtz,mpewe nini jmn mpewe nini?awamu ya mwinyi mmelalamika,ya mkapa mkalalamika kwa sana kaja kikwete ndo usiseme,na atakayekuja baada ya kikwete mtamkumbuka kikwete.STOP COMPLAINING ABOUT UR COUNTRY YOU FO********........... JUST DO YOUR PART WELL:tape2:
 
hivyo vyuo vikuu wanasoma watoto wa akina nani wake wa shule ya ukata si wanafeli asilimia 90 hawaendelei kidato cha 5
 
Back
Top Bottom