Magamba threads(unatakiwa kuwa kichaa au kujifanya kichaa kuchangia huku)

Tolowski

Senior Member
Apr 28, 2011
122
20
Huku ni kwa wale wanaoitetea na kuisapoti ccm tu(kama wanaweza kujitokeza hadharanii!!!). Ni kichaa tu,au anayejifanya chizi anaweza kuchangia huku. Tunahitaji wachangiaji ambao WANATETEA MAMBO YAFUATAYO: mgawo wa umeme usio na kikomo, kutopatikana kwa maji safi na salama kwa uhakika tz nzima, foleni kali za barabara dsm, uzembe makazini,wizi na rushwa kwa viongozi wa ccm,asilimia 95 ya watanzania ni maskini,misamaha ya kodi kwenye madini,mawaziri wapenda anasa ambao saa11 alfajiri unawakuta club and asubuhi yake wanaingia bungeni,malipo mabovu ya wafanyakazi,kufeli kwa wanafunzi mashuleni,elimu yetu kushuka hata vyuoni,safari za kila siku za jeikei,mauaji ya polisi,watu kujilipa maposho makubwa kila siku,wasira kutafakari kwa kutumia mbonji,kuitana wenyewe kwa wenyewe magamba!!! Yapo mengi wazee,mnaweza kuyaongeza!!UKIWA TAAHIRA WAWEZA KUSAPOTI NA KUTETEA UPUPU HUU WA CCM!!
 
Kigwagwala kutetea wawekezaji bungeni jana, wakati wiki mbili zilizopita aliiongoza maandamano ya kulaani na kupingawawekezaji wa Rusolute Gold mine.
 
Sticky: Magamba threads(unatakiwa kuwa kichaa au kujifanya kichaa kuchangia huku)

Duuu!...kwahiyo?
 
Kigwagwala kutetea wawekezaji bungeni jana, wakati wiki mbili zilizopita aliiongoza maandamano ya kulaani na kupingawawekezaji wa Rusolute Gold mine.

Huyu jamaa ni gonjwa lingine jamani............hivi ana Phd au ni Dr of medicine...............
 
nafikiri hii sio forum ya chadema la sivyo ingeitwa chadema forum.kila mtu ana haki ya kutoa comments zake humu regardless anatoka chama gani hence si busara kuzuia watu wasichangie hoja za ccm au kuanza kutukana watu wanaotoa msimamo tofauti na chadema.michango yetu lazima iwe critical na i reflect kwamba forum hii ni home of great thinkers...........and not the home of great liars ,insulters,cowards and hypocrites!
 
Huyu jamaa ni gonjwa lingine jamani............hivi ana Phd au ni Dr of medicine...............
Ni Dr of Medicine mkuu, alisoma muhimbili na alishawahi kuwa kiongozi kipindi cha migomo, leo keshasahau baada ya kuvaa gamba na kuwaona wanaogoma UDOM hawana nidhamu...
 
Back
Top Bottom