Magaidi Wa Taliban Walipovaa Nguo za Kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magaidi Wa Taliban Walipovaa Nguo za Kike

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Apr 5, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,994
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Magaidi wa Taliban walipovaa nguo za kike[/TD]
  [TD]
  Polisi nchini Afghanistan wamewatia mbaroni wanamgambo saba wa Taliban ambao walikuwa wakijificha wasikamatwe kwa kuvaa nguo za kike kama vile magauni na vilemba.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Wanamgambo saba wa Taliban wamekamatwa kwenye mji wa Mehterlam mashariki mwa mji wa Kabul, wakiwa wamevaa nguo za kike kuepuka kunaswa na wanajeshi wa Marekani.

  Tukio hilo limetokea huku kukiwa na hali ya wasiwasi mkubwa wa matukio ya kigaidi kufuatia kitendo cha mwanajeshi wa Marekani Sajenti Robert Bales kuwaua kwa kuwapiga risasi watu wazima wanane raia wa Afghanistan na jumla ya watoto tisa.

  Hivi karibuni jeshi la Marekani liliunda kikosi maalumu kinachoitwa "guardian angels" ili kuwalinda wanajeshi wa Marekani wanapokuwa wamelala usiku.
  [​IMG]

  Polisi nchini Afghanistan wamewatia mbaroni wanamgambo saba wa Taliban ambao walikuwa wakijificha wasikamatwe kwa kuvaa nguo za kike kama vile magauni na vilemba.  [​IMG]

  Polisi nchini Afghanistan wamewatia mbaroni wanamgambo saba wa Taliban ambao walikuwa wakijificha wasikamatwe kwa kuvaa nguo za kike kama vile magauni na vilemba.

  [​IMG]

  Polisi nchini Afghanistan wamewatia mbaroni wanamgambo saba wa Taliban ambao walikuwa wakijificha wasikamatwe kwa kuvaa nguo za kike kama vile magauni na vilemba.

  [​IMG]

  Polisi nchini Afghanistan wamewatia mbaroni wanamgambo saba wa Taliban ambao walikuwa wakijificha wasikamatwe kwa kuvaa nguo za kike kama vile magauni na vilemba.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  NIFAHAMISHE news in photos .: Habari na picha :.
   
 2. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hawa nao wameishiwa. Tangu wapoteze dola wamekuwa kama vyangudoa. Aliyekuwa akiwapandisha chati Osama bin Laden ndiyo huyo kesheliwa na samaki. Si waachane na ugaidi wauze bwimbwi kama kawaida yao?
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,108
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180


  Hawa si watu wa Dini?, hiyo bwimbwi wapi na wapi?
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,419
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  Huu ndio uzuri wa mavazi 'yanazositiri viwiliwili'....nashauri pia yapatikane mavazi yanayositiri DHAMILA!
   
 5. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2016
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 11,880
  Likes Received: 8,555
  Trophy Points: 280
  Jamaa kweli ni hatari
   
 6. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2016
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,485
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ndio msimamo mkali huo,kujifanya mwanamke ruksa,wangewapakua kisamvu cha kopo washike adabu
   
 7. Inog01

  Inog01 JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2016
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 1,213
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Imani ikizidi ni ulemavu
   
 8. Mkushi wa kusi

  Mkushi wa kusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2016
  Joined: Jun 23, 2015
  Messages: 2,618
  Likes Received: 3,368
  Trophy Points: 280
  jeshi la haki
   
Loading...