Magaidi wa Penzi.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,352
11,485
Phillip anaamka asubuh na kujinyoosha kitandani. Ni saa 10 na nusu Alfajili, muda ambao kila siku ya kazi huamka. Muda huu usingizi huwa unakuwa mzuri sana kuliko saa nne usiku au tano na kuliko siku za weekend au siku ambazo si za kazi. Ukiwa na roho nyepesi huchelew kughairi kwenda kazini. Lakini hilo hakuliruhusu liingie kichwani pake anajiamsha kwa nguvu kama ameshtuka ili kuupaisha usingizi uliokuwa bado unamzengea. Anaenda washroom na kurudi kupiga push ups kadhaa. Ni utaratibu aliojiwekea kila aamkapo. Mazoezi yanaendelea kwa muda kadhaa. Kitandani yupo mkewe amejilaza kwa utulivu kabisa.

Kwa phillip siku ndo imeshaanza baada ya kuoga,kuvaa na kunywa chai tayari ni saa 12 kasoro anaingia kwenye gari na kubonyeza switch ya bonnet. Anashuka na kwenda mbele kufungua bonnet aweze kukagua maji, engine oil,gear box, brake fluid, hydraulic na sterling power oil. Huu ni utaratibu ambao pia amejiwekea karibia kila siku.

Anawasha gari na kuiacha ingurume kwa dakika mbili tatu kuipasha moto kabla ya kuondoka, na sasa anakuwa tayari kuondoka . hapo anamwita dada aje mfungulie geti. Barabarani anaendesha gari akisiliza countries toka kwenye collection yake ya nyimbo za johny cash,jim reeves,Conway twitty,patsy cline na lorreta lynn. Ni moja ya aina ya music anayoipenda.

Anafika ofisin dk 50 baadaye na moja kwa moja anaelekea ofisini kwake baada ya kusalimiana na watu wawili watatu aliokutana nao anapoingia ofisini. Akiwa ofisni kwake huwa hana muda tena wa kutoka labda awe ana mgeni au dharura nyingine.

Ofisini kwenye kitengo alichopo kuna wadada wengi sana kuliko wanaume na hii husababisha mara nyingi kuwe na watu wakipiga story hasa wanapokuwa hawapo busy maana ofisi zimegawanywa na kutengwa kuwa na watu wanne wanne isipokuwa ofisini kwake yeye alikuwa peke yake mpaka baadaye alipoomba aletewe mtu mmoja kwa ajili ya kuwa wanasaidiana mambo kadhaa. Hivyo wapo wawili akiwa na dada mmoja ambaye hawana sana mazoea naye zaidi ya salamu na maongezi mawili matatu ya kawaida.

Ni ngumu kuelewa kama phillip ni mpweke au ndo alivyo. Ni dakika chache mnaweza cheka na dakika chache nyingine akawa ametengeneza uso wa umakini kana kwamba hajawah kucheka. Na kwa wengi wanaomfaham wanasema ni nadra sana kumwona akicheka au akitaniana na watu. Siku hiyo akiwa anaingia ofisini secretary anamtazama kwa tabasamu na kubinya jicho. Phillip harudishi tabasamu anajifanya hajaona fujo zile… na Yule dada anasema kwa sauti “hata ukinuna mi sijambo” anafahamika kwa jina la Hilda mwenyeji wa Kilimanjaro.

Ameajiriwa hapo ofisini ni kama mwezi wanne sasa. Alikuwa na mwili wa wastani ingawa alikuwa akilalamika kuwa ni mnene hivyo mara nyingi alikuwa na chupa yake yenye aina flan ya kinywaj kwa ajili ya kupunguza mwili akidai mwili unamlemea phillip hakuwah kunotice anything katika hilo...alikuwa anapoongea anabenua midomo yake namna flan hivi na wengine walisema ni kwa ajili ya maringo. Phillip hakuliona hilo pia hivyo hakuwah kutoa comment yoyote about that. Alipoajiriwa kila mwanaume pale ofisini alitaka awe na ukaribu naye …wengi walihaingaika naye na sijui waliishia wapi. Jambo moja ambalo hakulijua Hilda ni kuwa phillip alikuwa haelewek kabisa pale ofisini. Hajulikani ni lini amefurah au lini hana furaha.aliishi maisha yake alivyojua.

Hilda anakumbuka siku zile za kwanza amefika kazini phillip alitoka kwenda lunch na aliporudi alimletea some bites na juice akamwekea mezani then akaondoka zake. Baadaye hilda alimfuata phillip ofisin kumshukuru aliingia akimkuta phillip anatype vitu kwenye computer. “asante kwa Gift nmezipenda” Phillip akamjibu bila hata kumtizama. “usijali. Karibu” basi akaendelea kufanya alichokuwa anafanya kwenye computer.

Hilder hakuelewa kama aendelee kusimama au aondoke. Mwishowe akauliza “ leo unatoka saa ngapi? Phillip akajibu akiwa bado akionekana busy. “Muda ule ule wa siku zote saa 11 kamili” Hilda akasimama kidogo akaamua kuaga. Akaondoka. Moyoni akaanza kuwaza .huyu kaka vipi mbona alionesha kuwa so kind akaniletea lunch mchana lakini naongea naye anaonekana kama si yeye aliyeniletea amechange kabisa.anyway na aliwaza kuwa toka amefika huyu kaka hakuwah kuonesha kama anatambua uwepo wake. Akakumbuka siku ile amempigia simu jumamosi na Yule kaka kuuliza nani mwenzangu huku Hilad akijua kabisa kuwa ni juzi yake tu alimpa namba ya simu.lile swali lilimuudhi Hilda kwa shingo upande alijitambulisha. Kesho yake jumapili jioni alipopiga tena alishtuka kuulizwa tena swali lile lile “Nani mwenzangu?” akataja jina na baadaye kumuuliza Phillip “ina maana namba yangu huijui? Phillip alijibu kifupi tu kuwa “sikuisave” basi simu ikakatwa. Akiwa anakaa aliendelea kuwaza huyu kaka anaringia nini? Kwa nini ana majidai hivi kwangu?” akakaa kwenye computer yake na kuendelea kufanya kazi huku akiimba taratibu na kutikisa kichwa.

Phillip alipomaliza kufanya alichokuwa akifanya akaamua kuingia facebook aweze kusoma mawili matatu kutokana na post ambazo watu wengi hupenda kuzipost huko. Actually lengo lake kubwa lilikuwa ni kumwangalia dada mmoja ambaye Phillip hakujua kwa nini alikuwa anapenda kumtizama sana. Aliingia na moja kwa moja akaenda kwenye jina la Yule dada na kuanza kuangalia picha zake. Alikuwa dada mmoja mwenye umbo la kiafrika hasa. Alikuwa na sura ya kitoto kifua kizuri kikubwa, mapaja na makalio makubwa. Alipomtizama chini aliona mguu uliojaa vyema kabisa. Dada Yule katika picha zake nyingi alikuwa amevaa sketi fupi kiasi na alikuwa anaonekana mwenye furaha lakini ndani Phillip aliona huzuni iliyoko ndani ya moyo wa yule dada. Alimtizamana na kuendelea kuangalia picha zake nyingine. Watu walikuwa wakitoa maoni yao wakimsifia kwa uzuri wake na umbo lake. Hakushangazwa na hilo ni aina ya wanawake ambao ni rahis kuwa notice katika mamia.

Phillip hakuwah ku like au kusema lolote lile katika zile picha.alimtizama tu halafu akajiwa na huruma…alitizama maoni ya wanaume wengi waliokuwa wanaonesha kumtamani Yule dada. Aliumia kwa sababu alijua ni waz katika wale walikuwepo ambao wangetaka wamjaribu tu Yule dada na kuendelea na maisha yao. Phillip haraka akatizama pete kidoleni mwake. Akarudi nyuma kuangalia posts za watu wengine. Alihisi moyoni kuvutiwa na huyu dada.

Asubuh hii Phillip anaonekana mwenye mawazo anaingia kwenye computer yake na kuangalia emails kwanza kabla ya kitu kingine. Muda si mrefu anaingia Hilda na kuvuta kiti mbele ya meza ya Phillip. “ina maana hukusikia salamu yangu?’ Phillip alimtizama Hilda halafu akaendelea kutizama computer yake… “hivi we Phillip huwa unafanya mapenzi mara ngapi kwa week maana navyokuona kila wakati nanii yako imesimama…..” alimalizia Hilda akimtizama Phillip. Phillip aliinua tu macho kumtazama Hilda na kumjibu”mke wangu akisikia unauliza swali kama hilo kweli nakwambia atakunyonga, yaani kunitizama tu hivyo umeshamkosea sana na ni kama umeshagusa mali yake.so epuka kutizama kabisa” hilda akakunja sura kidogo. “we nawe na huyo mkeo, kila siku mke wangu mke wangu utadhan wengine hawana wake” akanyanyuka na kuondoka kwa hasira.

Mchana ukawa umefika kama kawaida Phillip akawa anatoka lakini wakati huo huo Mmoja ya wafanyakazi wa kike aliyekuwa akiitwa Flora alikuwa anatoka na Phillip kuelekea Lunch. Flora alikuwa amezoeana na Phillip kiasi gani na mara kadhaa alikuwa anaweza hata kumtania kiasi flan Phillip. Kwa kiasi kikubwa wafanyakaz wengine hawakuwa na mazoea ya kutaniana naye.Hilda akawaona wanapotaka kutoka.“Phill naomba uniletee lunch please”akajibu tu sawa. Wakatoka na Flora kwenda kula baada ya kumaliza kula akaomba afungiwe chips na mishkak na Flora akabeba ule mfuko wenye hivyo vitu.

Alipoingia navyo Ofisini akaongoza mpaka sehemu ya kulia Hilda alimfuata na bila maneno Phillip alimkabidhi huo mfuko na kuondoka kuelekea ofisini kwake. Baadaye Hilda alirudi kuja ofisin kwa phillip kumshukuru.

Maisha ya ofisin yaliendelea na changamoto zake kila siku vikiibuka vituko toka kwa Hilda. Lakini siku zote Phillip alikuwa akijitahidi kukwepa kwa hali zote akijikinga na hila na mitego . Hilda alikuwa ameshajitoa mhanga...huyu alikuwa mtoto wa mjini amezaliwa na kukulia sinza…hakuwa na woga au aibu kabisa kwa kile alichokuwa akikiamini.

Siku hii ya leo Phillip anawaza akiwa ameegemea kiti chake ofisini. Kichwan inamjia picha ya Yule mwanadada wa facebook. Labda unaweza jiuliza alimfaham vipi huyu dada na kuwa marafiki. Phillip alimfaham dada huyu kupitia kwa Nduguye anayeitwa Joyce. Yeye Phillip alikuwa akifahamiana na Joyce na siku moja Joyce akawa amepost picha ambayo alikuwa na Yule dada. Phillip alimtizama Yule dada na kuhisi kama anamfaham .haifahamiki ni nini ilikuwa sababu ya yeye kuhisi anamfaham yule dada ingawa hakujua aliwah mwona au kutana naye wapi. Na hapo ndipo alipoamua kuomba urafiki naye. Wakawa marafiki.lakini bado hakuwah kuchat naye pamoja na kuwa ni marafiki zaidi ya kuingia kwenye picha za yule dada na kumtizama kwa umakini sana. Kila mara alihisi kupatwa na hisia za Mapenzi kila amtizamapo dada Yule.

Leo akawaza anawezaje kujua habari za yule dada.Ilikuwa jioni amerud toka kazini amejilaza kitandani. Akachukua simu yake na kuingia whatsapp. Akamsalimia Joyce na baada ya maongezi machache akamwambia leo wakati anapita Mwenge amemwona yule dada ambaye Joyce aliwah mwambia kuwa ni cousin wake. Alitaman kumsalimia lakini ikashindikana kwa sababu hakuwa na namba yake ya simu na yule dada alikuwa anatembea taratibu kwenye maduka ya Mwenge wakati huo yeye Phillip yupo kwenye gari.

Joyce hakuonesha sana ushirikiano kwa habari za yule cousin wake zaidi ya kusema atampa salam. Phill alijaribu sana kufanya maongezi ambayo yangempa nafasi ya kumjua Yule dada.Joyce hakuwa tayari sana. Wakaishia kuzungumzia mambo mengine na kuagana. Aliendelea kuwaza angewezaje kutengeneza ukaribu na dada anayeushtua moyo wake kila amtizapo.

Kesho yake phillip aliamka kama kawaida na kuelekea kazini alipanda kwenye lift na kushuka ghorofa ya 20. Hilda kama kawaida yake alitoa salam yenye masikhara ambayo phillip hakujibu. Moja kwa moja akaingia ofisin kwake na kukaa akiwa anatumia computer. Akakumbuka kuwa pengine aingie facebook kumtizama yule dada ambaye alikuwa akiitwa Juddie. Bahati nzuri Juddie alikuwa online wakaanza kuchat. Phillip alimpenda Yule dada lakini hakutaka kuonesha kuwa amempenda kwa sababu aliona hilo ni jambo ambalo pia lingeonesha udhaifu kwake na pia hakuwa mtu mwepesi sana kumwambia msichana wewe ni mzuri au nakupenda. Siku zote alikuwa mgumu kutamka maneno hayo. Pengine ni sababu ya kuwa mwenye maringo sana hasa kwa wanawake. Lakini pia hakupenda sana ku disclose his feelings.

Walichat kwa habari za kawaida na aligundua kuwa yule dada alikuwa anajiamini sana na mtulivu hata kwenye maongezi. Hili lilimfanya Phillip ampende pia maana hata alipojaribu kumchokoza kwa maneno flan still Yule dada alionekana kuwa so calm. Wakaagana .kesho yake tena walikutana online na Phillip akidhan kutokana na jana alimvyo mchokoza Juddie leo asingekuwa na ari ya kuchat naye.akaamua kumsalimia.akakuta bado Juddie anamjibu kwa bashasha kubwa na urafiki mzuri. Hapo phillip akaomba wabadilishane namba za simu.Hakusita kumpa Phillip namba ya simu na wakaanza mawasiliano kiurafiki.

Phillip alipiga simu na kupokelewa na sauti nzuri sana kutoka upande wa pili ilikuwa ni sauti ya asili,iliyotulia yenye kuonesha pia ina uwezo wa kuruhusu kicheko na masikhara.wakaongea na hatimaye kuagana. Siku ile ilikuwa ni siku ya kuchanganya kwa phillip alikumbuka kuwa kumekuwa na maneno mengi kuwa kwenye mitandao kunakuwa na majini pia. Na mikasa mingi imepatwa kusimuliwa kuhusiana na matumizi ya social media.kuna ambao wamewah kukutana na majini au kuwa na mahusiano na majini na mauza uza mengine. Aliwaza ni kwa nini hakuwah kusikia kuwa pia malaika wanakuwepo? Alihisi huyu hakuwa jini alikuwa ni malaika. Hivyo pengine naye angekuja kusimulia kuwa aliwah kukutana na malaika kwenye mitandao ya kijamii (social media) kila ambacho Yule dada alikuwa anafanya kilikuwa kinamvuta phillip zaidi kwake kuliko kumwondoa kwake. Alianza kujikuta anamuwaza yeye. Haraka akaangalia pete kidoleni mwake na kuukunyata moyo wake.

Siku hii nyingine phillip akiwa nyumban anaangalia movie aliingia tena facebook. Akaangalia picha za mwanamke yule. Wakati wote huo phill alikuwa akiwaza huyu mwanamke kwa macho ya kawaida unaweza dhan ni wa kawaida. Labda mtu atasema kuwa umbo lile legevu,la kibantu lilikuwa sababu ya wanaume wengi kumtaka au kumpenda. Pengine naye Phillip angewaza hivyo kulingana na uzoefu wake hapo nyuma. Lakini kwa huyu dada kulikuwa na jambo jingine la ziada. Juddie alikuwa na uzuri kutoka ndani. Si uzuri wa nje pekee. Juddie alikuwa na vitu vya ziada. Alikuwa na uzuri ambao hata akiamka asubuh anakuwa nao hauishi ,haupotei. Ni uzuri ambao hakuununua. Alizaliwa nao. Lakini huyu dada alikuwa anakosa kitu flan siku zote Phillip alikuwa anaamini hilo. Huyu dada kuna jambo kubwa alikosa ambalo Phillip aliamini angeweza kumpatia dada huyu. Dada alikosa amani na furaha ya kweli. Usoni alitabasamu lakini moyoni alikuwa na huzuni.

Phillip aliwaza nini kinaweza kuwa sababu ya dada huyu asiwe na nuru toka moyoni? Alikuwa ni almasi iliyofunikwa na Udongo. Alikuwa akihitaji kung’aa zaidi ya pale. Maana alionekana kuwa moyoni hajapata nafasi ya kufunguka zaidi.kuachia nuru yake.

Phillip akaanza kuchat na Juddie. Walikuwa wakitaniana mengi na mpaka kufikia hatua kuzungumzia habari za mapenzi. Maskini Juddie alionekana kuwa tayari na kuonesha mapenzi makubwa kwa phillip na hata pale Phillip alipotaka waonane na Juddie, alikuwa tayari kabisa waonane waweze kukaa kuongea zaidi. Siku hiyo hawakuweza kuonana. Lakini ilikuwa siku iliyoanza kutengeneza njia ya wapi walikuwa wanaelekea, kwa maneno na msg ambazo walitumiana. Mpaka usiku ni wazi tayari walikuwa wameshaamua kuwa wapenzi. Phillip alitoka nyumban jioni ili aweze kuongea na Juddie kwa uhuru akiwa anatembea. Phillip alijisikia amani ,furaha na upendo mkubwa sana kwa huyu dada ambaye hakuwahi kuonana naye face to face hapo kabla zaidi ya kuwasiliana naye tu kwenye mitandao na simu. Waliendele kuwasiliana kwa maneno mazuri na kujenga ukaribu kana kwamba ni muda mrefu walikuwa wamefahamiana. Na kujikuta wakianza hata kuongelea habari za mapenzi. Wakitumiana picha na texts za mapenzi. Wakielezana namna gan wangeweza enjoy kuwa pamoja. Kifupi ni kuwa nafsi zao zilishibana kama vile walikuwa wamefahamiana miaka mingi sana. Waliogopana na katika huko kuogopana walipendana na kutakana.walikuwa katika mchanganyiko wa fikra.

Jumamosi hii ilikuwa ni jumamosi ya kipekee. Phillip alikuwa amejilaza kwenye sofa akiangalia series moja inayoitwa Vikings. Ghafla alijiwa na hamu ya kutaka kuchat na Juddie. Aliingia whatsapp na kutafuta namba yake na wakaanza kuchat. Walitaniana na kucheka. Na mwishowe walijikuta wakiongea habari za mapenzi. Philip alisisimkwa mwili na mpaka kuhisi maumivu makubwa sehemu yake nyeti kwa kukosa ukaribu wa mwili wa Yule dada na hatimaye kukamiliza zoezi tamu la mapenzi yale yenye hisia kubwa… alielezea hisia zake kwa Juddie ambaye naye alionesha kuzidiwa na hali ile. Maskini Juddie huko aliko alikuwa ameloana sana… her thing ilikuwa kama ikishtuka shtuka(twitching) au kuhema kwa namna mbavyo alikuwa tu ameongea na huyu kaka kwa mahaba mazito na kujenga hisia.ni kama ambavyo kuna zile hadith za kufunga chura kwenye kipande cha nguo na kusema hirizi inahema. Juddie sehemu yake ilikuwa ikihema na kutoa jasho zito lenye manukato mazuri ya kuvutia. Walikuwa wameshaanza mapenzi katika uliwengu wao pasipo kuonana. Siku iliisha kwa kuagana kwa mahaba mazito na kila mtu akihisi sasa anahitaji kupata mwenzake kwa ajili ya hitimisho zito la hisia zao

Siku iliyofuata ilikuwa Jumapili. Asubuh na mapema simu iliita na phillip kuangalia ilikuwa ni simu kutoka kwa Juddie. Akaangalia saa ilionesha ni saa 12 na dk kadhaa. Akaipokea na kuweka sikioni. “ mambo, angalia kuna msg nimekutumia” ilikuwa sauti ya Juddie yenye kuonesha haraka kidogo. Simu ikakatwa. Phillip haraka akaingia inbox kuangalia ni msg gan aliyotumiwa asubuh kama ile. Alifungua msg iliyosema “ nipo njiani nakuja jiandae twende tukakutane...” Phillip alisikia kama ganzi inapiga mwilini mwake na ghafla penis yake ikasimama kwa ukakamavu mkubwa sana kana kwamba ni ile siku ya Uhuru wale wanajeshi wanapopita mbele ya mheshimiwa Rais na baadaye kuombwa kusimama kwa ukakamavu pasipo kutingishika kwa ajili ya Rais kukagua Gwaride lile la Heshima. Akajibu “sawa”

Haraka akaingia bafuni kuoga na kutafuta nguo za haraka mara simu ikaita tena…Juddie alikuwa ameshafika mpaka maeneo ya karibu. Baada ya kumwelekeza hatimaye wakafanikiwa kuonana na kuingia garini mwa Juddie kuelekea sehemu ambayo wangeweza kukaa kuzungumza kwa utulivu. Walifanikiwa kupata Hotel moja maeneo flan ya Jiji la dar wakiwa chumban wametulia.

Juddie alivua nguo zake na kuliweka wazi umbo lake lililoumbwa kwa unadhifu mkubwa sana. Akabaki na chupi yake ya Pink iliyokuwa imemkaa kana kwamba ilikuwa imechorwa juu ya ngozi yake.alivutia ,alitamanisha. Akapanda kitandani. Kitanda hakikunyamaza.kiliitika kupokea mwili uliokuwa umebarikiwa kwa namna ya pekee. Kikampokea na kumkumbatia. Juddie akajilaza na kutulia akichezea simu yake. Phillip alikuwa akimtizama kwa mapenzi mazito Juddie kwa kuibia, akijiuliza aanzaje kumla. Aanze kula sehemu gani ya mwili. Ni kama mtu aliyekuwa amekaa na njaa miaka 10 na sasa anakuja kuletewa samaki roast mkubwa mbele yake.

Kwa mshangao,woga,mpasuko wa moyo, hamu na mshawasha hakujua amfanye nini mwanamke Yule aliyekuwa kama malaika aliyelala kitandani mbele yake tayari kwa kuliwa. Maskini hakuwa na maneno mengi. Alikuwa akiwaza kuwa hapa kabla ya lolote kwanza lazima niingize asije akahairisha bure mtoto wa watu. Alivua nguo zake na kuzitundika ukutani. Akasimama akimtazama Juddie aliyekuwa amejilaza kwa aibu pale kitandani. Na katika kuficha aibu yake alikuwa akijishughulisha na kuchezea simu.Phillip aliendelea kumtizama na mwishowe taratibu alimfuata na kuanza kumkiss akimnyonya maziwa. Yalikuwa maziwa makubwa, ya moto, yenye chuchu zilizosimama laini na tamu.

Ungeweza kudhani ni cake au nyama ya kuku laini kabisa. Kiufupi Juddie alikuwa mtamu. Utamu ambao siku zote Phillip alikuwa akiuwazia. Sasa alikuwa akiupata mubashara kabisa. Alimnyonya mdomoni…Juddie alikuwa na midomo mitamu,lips nene na laini, na pumzi nzuri ya kuvutia. Natural kabisa. Hapo Phillip alikumbuka lile wazo lake la kuwa pengine wakati wengine wanakutana na majini kwenye social media yeye alipata upendeleo wa kukutana na Malaika.

Juddie alikuwa akitoa sauti nzuri ya mahaba ambayo ingemfanya mwanaume ambaye toka azaliwe hajawah kusimamisha uume wake leo usimame. She was perfect. Phillip alitembeza ulimi wake toka mdomon kwenda kwenye maziwa na chuchu,akashusha mpaka tumboni. Kwenye tumbo laini kabisa la Juddie. Akashuka mpaka mapajani huku akisikia harufu nzuri toka katikati ya mapaja yanapoanzia kushuka chini. Harufu hii ilizidi kumtia wazimu Phillip. Akaikamata mashine na kuingiza taratibu sehemu ya Juddie ambaye akaipokea kwa saut ya Miguno ya mahaba. Na taratibu Phillip akaingiza na kutoa .akaingia na kutoka…Juddie alizidi kupiga kelele na kutoa macho kama mtu aliyeambiwa ameshinda bahati nasibu ya Billion 100. “Phillip, **** mamako, unanitomba vizuri, **** you… na matusi mengi yaliendelea kutoka kwenye kinywa cha Juddie akifurahia kitendo kile” maneno hayo yalizidi kumtia wazimu Phillip ambaye aliendelea kujizuia asimalize kutokana na joto lilokuwepo mle ndani. Ndani ya Juddie kulikuwa laini, kuna joto kali na kwenye Utamu usioweza elezeka. Juddie alipiga kelele kwa sauti ya juu… akamkamata Phillip kwa nguvu akakaza mwili wake huku akiwa ameyatoa macho na kuachia mdomo waz akakata kauli kwa sekunde kadhaaa. Akalegea akajinyosha….akiwa ametua mzigo mkubwa sana.alihema huku akiongea maneno kwa lugha nyingine na mwishowe alimtizama Phillip, ambaye hakuacha…akaendelea na kumnyonya Juddie ambaye mara nyingine tna aliamka na kuanza kutoa ushirikiano kwa mahaba, akaendelea kumnyonya maziwa huku akiiingia na kutoka ndani ya Juddie ambaye naye alirudi katika ulimwengu ule na kutoa ushirikiano baada ya dakika kadhaa alikuwa ni Phillip aliyekuwa akipiga kelele na kupokelewa na za juddie “Juddie, Juddieeeeeeee…..”alipiga kelele huku akimkumbatia juddie kwa nguvu. Akavuta pumzi na kuzishusha mpaka mwisho…akalaza kichwa chake kifuani pa Juddie akimbusu.

Pazia la mapenzi kati yao lilikuwa limefunuliwa kwa namna hii. Kitabu cha mapenzi kati yao kilikuwa kimefunuliwa kwa namna hii. Sasa walikuwa wame saini mkataba wa mapenzi kati yao kwa namna ya ajabu kabisa. Phillip alimtizama Juddie asimmalize. Alishangaa huu utamu, uzuri na mahaba ilikuaje vyote alitunukiwa mwanamke huyu. Angewezaje kumkwepa baada ya pale? Angewezaje kutompenda baada ya pale. Ndo alipokumbuka kuwa siku zote alikuwa akimtizama Juddie anaona vitu vya ziada. Anaona mtoto mdogo mwenye moyo so innocent. Juddie alikuwa mtu mzima kwa akili na matendo. She was bright and smart hilo Phillip alivutiwa nalo sana. Maana miaka yote Phillip alikuwa na Jeuri hakupenda kudate Dumb Girls. This lady here alikuwa smart, alikuwa na confidence, alikuwa mzuri, alikuwa na mahaba. She had everything.

Walipoanza round nyingine Juddie alikuwa akitoa Ushirikiano mkubwa tofauti na ambavyo ungedhania kwa mwili wake. Aliinamana na kuinuka. Alichuchumaa na shughuli zote zimpasazo kufanya alizifanya.Phillip alimtizama asijue kama amwonee huruma au amfanyaje. Aligundua tu kuwa that woman was mad in love with him.siku ile tu ya kwanza. Miili yao iliumana kwa mahaba.wakitoa sauti za mapenzi na maneno chochezi. Mpaka mchana kwa shingo upande waliagana huku Phillip akiumia kuwa hakupata siku zaid na zaidi ya kuwa na mwana dada Yule aliyekuwa akipenda kumuita FAHARI YA AFRIKA.

Ukimwona Juddie anatembea ni kama hataki kutembea ila umemlazimisha. Macho yake makubwa yakitizama chini mikono ikirushwa huku na kule. Pamoja na kutembea kama hataki bado hakuwa akiburuza miguu yake iliyojaa vyema, cha kushangaza pamoja na umbo lile zuri kubwa la kiafrika hakuwa na kishindo akitembea. Mwendo wake wa maringo na hatua kama anahesabu. Alitembea kama anaogopa kuiumiza ardhi. Mikono yake ilipishana ikisambaa huku na huko kama haitak sasa anaiacha idondoke. Phillip alipenda kumtizama Juddie akitembea… alitembea kimahaba .kila alichokuwa akifanya kilikuwa ni kama kilishapigiwa hesabu za urali wake na hivyo kuwa kamilifu.

Jumapili nyingine jioni akiwa nyumban Phillip alipokea simu. Akainua na kuanza kuzungumza taratibu “hello” ilikuwa ni simu toka kwa Juddie akimwambia yupo njiani kuja anapoishi Kisukuru. Phillip hakutaka kuamini.akitizama saa ilikuwa nisaa mbili usiku na dakika kadhaa… hakujua. Hakujua. Juddie alikuwa ameshazama kwenye kina kirefu cha mapenzi… alikuwa ni aina ya mwanamke anayeamini hisia zake na kusimamia maamuzi yake. Alishaamua kuwa siku hiyo angekuja kumwona Phillip wake na akaamua kutimiza hilo pasipo kujali muda na umbali. Juddie alikuwa akiishi Kijitonyama.

Phillip alitoka nyumban kwake akiwa amevaa kaptula na sandals akielekea nje kuonana Juddie ambaye alikuwa alikuwa amekaribia kufika nyumbani kwake yupo nje getini.aliingia garini kama kondoo apelekwae kuchinjwa hakufanya hata ubishi.wakabusiana na gari kuondoka kukata mitaa ya huko Tabata kisukuru. Walizunguka tu na gari ya rangi ya Dark Gray ya Juddie aina ya Toyota Harrier. Mpaka walipofika sehemu ambayo waliamua wapark waongee. Walipiga story mbili tatu kabla ya Phillip kumvamia Juddie kwa kisses na hatimaye kumpandisha sketi yake juu.

Astaghafillulah Juddie hakuwa amevaa chupi. Hili lilimchanganya sana Phillip, kugusa akaona kumeloana na kunatoa harufu nzuri sana ya asili ya Uchi wa mwanamke anayejua kujitunza na msafi. Harufu hii ya Juddie ni kama humtia kichaa Phillip maskini Juddie wa watu alizidiwa na mahaba na mapenzi aliyokuwa nayo Phillip… alilaza kiti cha gari akajipanga kuhakikisha mwili wake unatoa nafasi ya kuupokea mwili wa Phillip ambaye alikuja juu yake na Kuingia ndani ya Juddie. Wakawa katika ulimwengu wao. Walihama dunia hii yenye mateso,yenye dhiki,yenye watu wenye roho mbaya, yenye watu wajivuni, yenye kila aina ya jambo la kukatisha tama na kuhuzunisha. Walikuwam peke yao wakielea hewani wamekumbatiana wakipata upepo mzuri usio na baridi. Walikumbatiana wakifanya mapenzi kwa mahaba wote wawili wakipiga kelele za mahaba.

Walipokuja kuachiana hawakuamini kuwa wamefanya mapenzi kwenye gari saa tatu ya usiku parking. Kwa mapenzi yao walikuwa watu ambao wameshibana…. Walipokuwa pamoja walisahau kila kitu kuhusu wao. Walisahau umri,walisahau elimu,walisahau kazi, walisahau kila kitu. Walikuwa wao na ulimwengu wao peke yao. Mapenzi ya dhati yana tabia ya kuwatenga watu na ulimwengu huu wenye mashaka makuu. Nikakumbuka moja ya ubeti wa kitabu cha Shaban Robert Kinachoitwa Mapenzi Bora anasema …

Ulimwengu kama huu”
Wenye mashaka Makuu
Kimbilio na Nafuu
Ni palipo na Mapenzi”

Kila mtu kati yao alitoka katika maisha aliyo yajua yeye mwenyewe. Lakini jambo moja pekee liliwaunganisha. Mapenzi ndiyo yaliyowaunganisha. Hakukuwa na jambo jingine. Katika ulimwengu wao walipokutana walibaki kama wao bila kitu chochote. Si mali, si ufahari si Uzuri. Waliunganishwa na mapenzi. Na ni wazi kuwa walikuwa wamezama. Wamezama kwenye kina kirefu cha bahari na pengine wakiwa huko wakanaswa kwenye majabali yaliyo chini ya Maji. Mapenzi ukiyaenzi, ukayatungia Utenzi, kuyafunika na Enzi toka kale na kale yatakufanyia Mwenzi. Naam ni wazi walikuwa wamekutana wenzi wenye Kiu nzito ya mapenzi nao wakaamua kuyaenzi. Juddie alijua kudeka na kudekeza pia. Hakuwa mwanamke wa kutaka tu apendwe bila kupenda. Juddie alikuwa akijua nguvu ya mapenzi. Alijua amemshika Phillip na Phillip alifikia hatua akakiri kuwa ameshikwa akashikika.


Juddie alikuwa akijua nguvu ya mapenzi. Alijua amemshika Phillip na Phillip alifikia hatua akakiri kuwa ameshikwa akashikika.

Kila siku zilipoenda kama ungemuuliza Phillip kwa nini unampenda Juddie angekupa jibu tofauti na la jana. Juddie hakuwa kitu kimoja kilichoishia hapo. Alikuwa mkusanyiko wa mambo au vitu vingi vizuri .sura ya ucheshi, ukimtizama usoni utamwona ni mwanamke mcheshi na pia anayeweza kubadilika within a minute kuwa serious. Alikuwa na macho ambayo ni Phillip aliweza kuyazungumzia sana na hata sababu ambazo angezitoa kuyapenda yale macho ungebak wewe kushangaa. Mashavu na midomo vilikuwa vimekaa kwa mpangilio mzuri kabisa vilivyojaa, katika sura yake ndefu kidogo na kidevu cha mfuto. Zaid zaidi alikuwa na akili pia.

Juddie hakuwa kitu kimoja. Alikuwa mkusanyiko wa mambo mengi mema na yenye mvuto.si mwendo ,si namna anavyoongea ,si kudeka,si kucheka,si kubembeleza. Phillip haweza kujizuia.Juddie alikuwa ni Kifurushi cha karne chenye kuwa na huduma zote.

Siku zikaenda mapenzi yakazidi kukomaa baada ya kuchipua. Lakini walikuwa na tatizo moja. Juddie alikuwa ameolewa na Phillip alikuwa ameoa. Nini kiliwakutanisha wanandoa hawa wawili? Kifupi ningesema ni watu wawili waliokuwa wameumbwa kwa ajili ya kila mmoja isipokuwa dunia kwa namna moja au nyingine iliwatenganisha. Sijui pengine walianza kutokana na msongo wa wanayokutana nayo kwenye ndoa… inawezekana. Lakini walivyoendelea wakagundua ilikuwa zaidi ya jambo hilo. Walikuwa wamejawa na huba na mahaba ambayo wao walikuwa na lugha ya kuyazungumza wakaelewana. Wenzi wao pengine hawakuelewa lugha yao.

Kwa waliokuwa wakimwona Phillip walimwona kama ni mtu aliye serious sana na pengine asiye na masikhara. Ni kweli lakini kwa wachache waliomfaham walikuwa wanafaham alikuwa na masikhara na mwenye kupenda michezo ya kijinga anapokuwa na mpenzi wake. Nje alipenda kuishi tofauti na ndani. Hakuwa muongeaji sana na hakupenda kuongea. Siku zote alikuwa anasema anapenda kusikiliza zaidi kuliko kuongea. Ukimtizama kwa nje alionekana mtu imara na katili sana. Ni kweli alikuwa na hasira… na kuepuka ugomv na watu alikuwa anaamua kujitenga na makundi ambayo yangezoeana naye na hatimaye kuanzisha utani ambao pengine ungeleta madhara, ndani ya moyo wake alikuwa ni mpole na mnyonge sana. Alitamani mapenzi kila wakati akitaka ampate mtu mwenye uhitaj wa mapenzi wabadilishane. Wapeane mapenzi. Mkewe Glady alikuwa ni mwanamke mwenye uzuri wake. Kwa sura na umbo. Lakini alikuwa na moyo wenye uchungu, alikuwa ni mwanamke mwenye mtizamo hasi katika kila jambo. Hili lilikuwa tatizo ambalo lilisababisha kila wakati awe ni mtu mwenye kutafuta au kuwazia mabaya tu. Philllip hili lilimtesa sana. Maana ilikuwa kama hakukuwa na jema ambalo Phillip angelifanya.

Mara nyingi alikuwa ikitokea wamepishana maneno na mkewe mke angetamka maneno makali ya kuudhi na kuumiza moyo. Phillip alikuwa akiingia kwenye gari anawasha na kuondoka kwenda sehemu asiyoijua. Mwishoni aliishia kupark gari sehemu na kulala kwenye gari akiwaza na kuumia sana. Aliishia kulia kwa maumivu ambayo hakuwa na namna ya kuyatoa. Aliumia sababu mwenzi wake hakujali hisia zake. Hakujali anamuumiza kwa kiasi gani. Glady alikuwa amejawa na kiburi,jeuri na dharau. Phillip alikuwa na Jeuri na dharau lakini hakuwah na hakupenda kumdharau mkewe. Sababu alikuwa akiona kumdharau mkewe ni sawa na kujidharau mwenyewe. Alijawa na uchungu kutendewa hayo na mkewe. Maisha haya ndiyo yaliyomchosha. Maneno na ugomvi ,husuda na ubinafsi wa mkewe, kuwa mistreated n.k kulimfanya atafute faraja. Hakujua angepata wapi faraja miaka yao yote 6 ya ndoa mpaka alipokuja kukutana na Juddie.

Sura ya 2.

Ni asubuh Phillip anaamka kama kawaida kwenda kazini yeye. Mara nyingi huamka mapema zaidi ili angalau afanye mazoezi kidogo kabla hajaenda oga. Walikuwa wote wakifanya kazi mjini lakini mara nyingi mke alikuwa akiondoka mapema kabla ya Phillip.

Siku ilianza kama kawaida akiwa kazini alikuwa akiendelea kupata vituko kutoka kwa Hilda. Hilda alikuwa amedhamiria kuhakikisha kuwa anampata Phillip na ushindani huu alikuwa ameuanzisha na Doris ambaye pia alikuwa mfanyakazi mwenzi. Doris na Hilda walipishana siku chache tu kazini lakini walikuwa na hulka zinazofanana. Walipenda sana kuongea,kuonekana na pia wote wawili walikuwa ni wanawake wanaopenda sana pombe na starehe. Walipofika ofisini kila mtu kwa wakati wake alipata majaribu kutoka kwa wanaume kadhaa wa pale ofisini. Phillip hakuwa mmoja ya wanaume hao. Hii iliwapa maswali kuwa nini ilikuwa sababu ya phillip kutowaona kama walikuwa na uzuri ambao wengine waliwaona nao.

Phillip alikuwa anajua kuwa si wanawake wabaya au hawafai. Lakini alikuwa too proud kuonesha kuwa wana mvuto kwake na kiuhalisia hawakuwa na mvuto zaidi ya kuwa walikuwa ni wanawake tu kwake. Alijiheshimu na hakutaka kuvunja heshima yake kazini. Mchuano wao ulikuwa mkali.asubuhi moja Doris alifika ofisini kwa Phillip na kuvuta kiti akakaa.

habari yako” alisalimia huku akicheka

“nzuri”alijibu phillip huku akimtizama Doris kwa upande.

“ unajua nini kimenileta? Kabla phillip hajajibu doris aliendelea.” Mwenzio jana nmeota kitu cha ajabu nikasema leo nakuja kukusimulia”

Phillip alimtizama Doris …alijua doris ni msichana aliyechangamka sana alikuwa na umri wa miaka 30 alikuwa mweupe ,mnene kiasi na ungeweza dhani kuwa ni mchaga lakini alikuwa ni mwenyeji wa Singida. Hakuwa na mtoto, hakuwa ameolewa .Hakuwa msichana decent… si aina ya wasichana ambao Phillip angependa kuzoeana nao. Doris angeweza kutamka lolote ambalo lingemjia kichwan mwake. Na hapa alihisi tu kuwa litakalokuja toka kwa doris lisingekuwa lenye upako au lenye hadhari. Akamtizama na kumjibu “pole kwa ndoto yako”

“unanipa pole umejua nimeotaje? Nimeota jambo zuri sema kweli unatakiwa kunipa pole maana nimeota tunatombana, baadaye tumemaliza nikawa nimekulalia umenikumbatia kifuani. Yaani mwenzio nmeshtuka usiku wote mpaka asubuh hii nimejaa nyege. Naomba leo ukanitombe leo mpaka nikome kabisa kukuwazia hayo. Unajua Phill mi huwa nakutizama na ulivyo unajifanya gentleman huongelei matus,huna utani na heshima tele kama kweli.kumbe watu kama ninyi wabaya kweli”

Phillip alimtizama… na kutabasamu. Akamwambia haina shida ila si leo si unajua tunatoka kazini late sana? Naomba iwe kesho jumamosi ntakuja” Doris alitabasamu na kujibu “ hizi nyege unazilimbikiza mwenyewe ,haya hiyo jumamosi unakuja kwangu au tunaenda sehemu? Na tunaanza asubuh mpaka usiku saa mbili aga mapema kwa mkeo nataka nikakutumie hasa” alimalizia Doris akimka. “Naomba tuchat whatsapp ntakwambia mengi…. Sawa?” Phillip alimjibu “ its ok.

Doris alitaka kuja kumkiss Phillip ambaye alimkumbusha kuwa kuna Camera humo ndani. “aaargh na makamera yenu utadhani humu bank. Siku nyingine nlitaka nikubinulie tu hapo mezani unipige hata kimoja tu halafu nikakae nasikilizia shahawa zako siku nzima. Haya makamera yatakunyima zile za fasta fasta …. Ningekuwa nakupa mzigo humu ndani unakula mwenyewe anytime” Doris akawa anaondoka kuelekea mlangoni.

Phillip alimtizama Doris akiondoka. Alikuwa anajua Doris si msichana decent. She was pretty but hakuwa smart upstairs na hakuwa akimvutia Phillip kutokana na tabia yake ya kuwa anaongea na kucheka cheka kwa sauti. Alichangamka sana. Phillip alikuwa amemkubalia kirahisi Doris kuwa wangekutana kwa ajili ya kufanya mapenzi ikiwa anajua kuwa asingeweza fanya jambo hilo kwa kuwa hakuwah kulifikiria jambo hata. Ila hakutaka Doris aendelee kukaa pale ofisni na watu waje kumkuta ofisini mle, hivyo akaona njia rahisi ya kumwondoa ilikuwa ni kumkubalia kirahisi na kesho yake alijua asingepokea simu yake na Jumamos hii kama nyingine angekuwa nyumbani akiangalia movies na kucheza na watoto wake Benny na Jenny.

Haraka Phillip alichukua simu yake na kuingia kwenye Phone Directory. Alitafuta jina la Juddie na kubonyeza call. Simu iliita na mara ikasikika sauti kama iliyokuwa imetoka kwenye kicheko na imenyamza ghafla baada ya simu “ hallo mpenzi” phillip alisisimmkwa na tayari alikuwa kashasimamisha….. sauti ya mwanamke yule ilikuwa kama ina umeme ambao kila anapomsikiliza inamshtua na kusababisha ile current kusambaa kwenye mwili wake.

yes my Love, umeshafika ofisini? Mambo yanaendaje? Jana sorry nlipitiwa na usingizi mapema nikaja kushtuka late sana sikutaka kukusumbua maana nlijua…..” hakumalizia hiyo sentensi akaicha hewani.”sitaki, we umeniacha mwenyewe nakusubiria angalau tuchat…nmechukia maana hata sikupata usingizi, nimelia usiku kwa ajili yako” aliongea Juddie kwa kudeka. Juddie alikuwa na miaka 30 lakini katika mapenzi alikuwa sawa na msichana wa miaka 18-20. Alikuwa sweet ,tender na mwenye kudeka.ilikuwa ngumu ukaendelea kumchukia au kumkasirikia Juddie kwa kosa alilokuwa amekukosea dk 10 zilizopita, kwa namna alivyokuwa sweet.

nisamehe baby wangu, am so sorry utaniadhibu unavyotaka mwenyewe” alijibu Phillip kwa hisia kiukweli alijisikia vibaya sana kutokana na zile lawama toka kwa Juddie.zilikuwa zinasemwa na mtu ambaye alionesha kweli ameumia kwa kile kitendo. Na hii yote ilikuwa ni Ujazo wa kiwango cha juu wa mahaba kati yao. ‘haya nimekusamehe usirudie tena” alijibu Juddie kwa kudeka kama vile mtoto anavyokuwa ana ongea kwa mamlaka kwa mzazi wake ambaye alimwomba amletee ndege au gari na mzazi akakubali baadaye anaporudi mzazi na kuulizwa ipo wapi ndege yangu? Anajichanganya na kutokana na ukweli hana uwezo wa kununua ndege au meli lakini kwa hilo mtoto huwa haelew. Anajua baba yake anaweza mnunulia kila kitu. Ni kipindi ambacho mzazi hufurah namna mtoto anavyomwamini na kumpa hadhi kubwa na wakati huo huo akisikitika kwa kutokuwa na uwezo wa kutimiza kile ambacho mtoto anamwomba kwa mapenzi. Mtoto husamehe na wanaendelea kucheka na kucheza kama kawaida.

Hivi ndivyo alivyokuwa Juddie. Alikuwa mwenye nidhamu, upendo,upole na kumwamini Phillip lakini pia mwenye wivu akihisi pengine anaweza kuibiwa. Upendo uliokuwa kati uliwafanya wasiamini binadamu wengine pembeni yao na kila mtu alihisi mwenziwe anaweza kuibiwa. Juddie alikuwa akiongea kwa mapenz.Jambo hili lilikuwa likimfanya Phillip muda wote anapoongea na Juddie awe amesisimkwa. Kama ni uchawi huu ulikuwa unafanya kazi sana. Aliwaza Phillip. Wakaongea mawili matatu wakitaniana na baadaye wakaagana. Phillip alipoweka simu chini akili yake ilibaki kwa Juddie. Maskini… machozi yalianza kumlenga lenga akiwaza kwa nini asingekuwa na mwanamke huyu miaka yake yote. Aliamini pia kuwa si kweli kuwa hakuwa na mapungufu. Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake lakini kama wangepima kwenye mizani mazuri na mabaya ni dhahiri mzuri yangelemea kwa kiasi kikubwa mabaya.

Kasoro moja juddie alikuwa nayo kama tungeiita kasoro ni kuwa she was so Open and Free… aliweza kuongea alichokuwa anakifikiria kwa Phillip hata kama ni kibaya aliongea kwanza halafu baadaye angeomba msamaha. She was a free soul. Hili jambo Phillip alilipenda.

Phillip aliendelea na kazi zake huku kila mara akijikuta anamkumbuka Juddie na mara zote walipofanya mapenzi. Alikumbuka macho ya Juddie yalivyokuwa yakuwa makubwa na huku akipiga kelele kwa mahaba. Alikumbuka harufu nzuri ya mwili wa Juddie na hasa sehemu za siri za siri. Zilikuwa safi wakati wote na Phillip alipenda kunusa harufu natural ya sehemu ya siri ya Juddie. Alikuwa kama ni mlevi. Mara kadhaa walikuwa wakigombea chupi Phillip akitaka kunusa sehemu ambayo inafunika sehemu Husika ya Juddie huku Juddie akikataa kumpa chupi yake.waliishia kugombea na Phillip alishinda katika pambano hilo mara zote. Juddie alikuwa akishangaa tabia hii… pengine angeweza hata kudhani mambo ya ajabu lakini alikuja kugundua ni mapenzi ambayo yamemshika Phillip kiasi kwamba alipenda kila kitu cha Juddie.

Walikuwa na ulimwengu wao wa mapenzi ambao kwa mwingine asingeweza kuuelewa. Siku zote rafiki zake Juddie walishindwa kuelewa ni nini kinawafanya hawa watu wapendane kiasi cha kujisahau hivi. Phillip alikuwa na rafiki yake ambaye mara nyingi walikuwa pamoja aliyekuwa akiitwa Bobby. Asubuh moja wakiwa mjini wanapata Lunch Phillip alimwambia Bob. “kuna jambo moja siee linanipa shida sana, nampenda mke wa mtu naye ananipenda mpaka hatujielew”

masikhara hayo” alijibu Bobby huku akimtizama Phill.

hebu rudi hiyo kauli maana siamini kama inatoka kwako, wewe siku zote una nipiga beat kuhusu wanawake wa nje leo unasemaje? Tena mimi huwa nataka nikamate tu wale walio huru. Wewe unazungumzia mke wa mtu… Phill hii imekaaje?”

Phill aliinama chini akafikiria maneno ya Bob… kiukweli alikuwa siku zote akipenda kumsisitzia Bobby asiwe na mahusiano nje. Lakini leo ni yeye anayezungumza haya tena kwa hisia. Akaamua kumsimulia rafikiye mkasa mzima toka mwanzo mpaka walipo. Bob alimtizama Phill pasipo kuamini. Maana likuwa akijua jamaa yake alikuwa anampenda sana mkewe na mwaminifu sana kwake. Ila hili lilimshtua kidogo. Lakini alielewa kuwa mwenzie amezama. Waliongea kwa kirefu kuhusu hilo na mengine mengi na baadaye kuachana.

Ilikuwa jumanne moja Phillip na Juddie walikutana katika muendelezo wa mapenzi yao. Kama kawaida Juddie alikuwa anavutia, ametulia na mwenye kujiamini. She was sexy and so romantic. Alikuwa na hali flan ya upole na ubabe wa kimapenzi kwa kujiamini. Kuna hatua unapopendana sana na mtu mnakuwa na hali ya kujiamini na kila mmoja kuona ana mcontrol mwenzie kimahaba. Walikuwa wametulia sehemu flan wamejitengenezea Dunia yao kama kawaida. Juddie alivua nguo mwenyewe akionesha yupo tayari kuliwa na kuwa amejitoa sadaka ya kuteketezwa kwenye nafsi ya Phillip. Alipofika kuvua chupi aliivua taratibu chupi ile nyekundu iliyokuwa na vitobo vidogo kwa ajili ya kupitisha hewa. Kama kawaida walianza kuigombania chupi ile na aliyefanikiwa kuikamata alikuwa ni Phillip ambaye aliiweka puani mwake na kuvuta harufu nzuri ya manukato toka sehemu ya siri ya Juddie. “una **** yenye harufu nzuri Juddie, nisafi wakati wote na yenye harufu ya asili” Juddie aliinamisha kichwa kwa aibu …hakujua ajibu nini.aligundua ni kweli phillip alipenda harufu ya Uchi wake. Na mwishowe akajikaza na kusema” wewe sababu unanipenda kila kituchangu utakipenda tu hata kama si kizuri”

Phillip alimtizama Juddie na kwenda kumkubatia akimbusu mdomoni.”nakupenda ni kweli lakini ni kweli pia kuwa una harufu nzuri huku chini” akipeleka mkono wake sehemu ya siri ya Juddie na kushika kwa mahaba taratibu huku akiitomasa tomasa na kama akiifinyanga na kuisugua. “Na huku pia una utamu wako na harufu nzuri ya asili” akipeleka mdomo wake kumnyonya Juddie ulimi na wakati huo huo mkono mwingine ukiwa unachezea kisimi cha Juddie. Juddie aliitikia kwa miguno na mitikisiko ya kimahaba mwili wake ukijinyonga nyonga anavyotembea mdudu katika hatua ya ukuaji anapokuwa hatua ya kuitwa caterpillar.

Alitaman amfanye vitu vingi kwa wakati mmoja na hakujua aanze na kipi. Akaishia kumwachia na Juddie kwa shingo upande akatoka mikononi mwa Phillip na kutembea akikatiza toka kona moja ya chumba mpaka nyingine akiwa bila nguo. Phillip alipenda kumtizama Juddie aliyekuwa anatembea kwa kujiamini kabisa kana kwamba alikuwa peke yake mle chumban. Juddie hakuwa na nguo hata moja mwilini. Walikuwa wameamua kuitumia siku ile kwa style yao. Wakiwa na njaa kali ya mapenzi walikumbatiana na kubusiana kila wakati.

Aliporudi kitandani alimkuta tayari Phillip yupo kitandani akimsubiri….alimpokea na kumwelekeza wapi pa kujilaza katika kitanda kile kikubwa cha futi sita kwa tano. Kama mtu wa parking akimwelekeza dereva wa Big Truck yale magari yenye kuvuta Trailer mbili kubwa. Hii yote ilikuwa ni katika muendelezo wa michezo ya mahaba yao. Juddie alikuwa ni Big Truck hasa… mama wa kiafrika ambaye ungehisi ni kutoka mikoa ya Nyanda za juu kusini Mbeya au toka Kanda ya Ziwa, Mwanza. Alikuwa ameshiba mwenye umbo Mujarabu lenye kielelezo halisi cha mwanamke mwenye mvuto. Ilikuwa hata gizani unajua tu kuwa kuna mwanamke amesimama kule mbele ukiona mgongo uwapi na sehemu yenye kubeba sura I wapi. Pamoja na mwili ule kwake binafsi hakujisikia uzito.alikuwa akishughulika katika kila hatua ya kitendo cha kufanya mapenzi. Na hata alikuwa wakati flan akifanya style hatarishi kwenye seat ya gari mbazo inawezekana kabisa mwingine asingeweza kuzifanya. Alikuwa malkia wa mapenzi. Alipenda mapenzi na mapenzi yalimpenda hasa.

Phillip alikuwa ni kichaa au mwendawazimu wa mapenzi walipokutana wote walikuwa wehu kabisa. Walifanya na kufanya. Wakafanya, wakafanya na kufanyiana,Walifanya na kufanyana kila hatua wakifurahia kana kwamba ndo wanaanza. Kama kunyonyana ndimi walinyonyana. Kama Phillip kunyonya chuchu nzuri laini na tamu za Juddy alinyonya. Kama ni kwenda kupiga deki kwenye uchi wa Juddie alipiga deki hasa. Aliitafuna sehemu ile na kuilamba bila kuchoka. Juddie alimzilia yote Phillip na kumtaka aichukue aifanye anachotaka yeye.Phill aliitizama kwa mahaba. Alisusiwa… naye akajisemea moyoni “ukisusa siye twala” basi kweli aliitumia alivyotaka. Juddie alikuwa na kazi moja tu ya kuitikia mapigo ya midundo ile toka kule chini na kutumbuiza kwa sauti ya mahaba hasa. Akifurahia, akiongea maneno ambayo wakati flan Phillip hakuwa akiyaelewa. Akitukana ,kumtukana Phillip kwa matusi yote,akimshukuru na kila aina ya alichoweza kufanya na kusema.

Phillip alikuwa busy maskini akishughulika na ile sehemu aliyopewa. Alijisikia raha zaidi ya Juddie…. Na hata alipofikia hatua ya Kuingia ndani ya Juddie alikaribia kuzimia kwa utamu aliousikia alijikaza na kupiga moyo konde asimalize kabla ya wakati muafaka. Aliingia na kutoka ndani kwa mwendo wa kasi na baadaye mwendo wa pole. Akasugua ndani kila sehemu akisikia mrejesho toka kwa juddie.walikutana wanadamu wawili waliopenda mapenzi na mapenzi yakawapenda. Katika ulimwengu wao hawakuona kama wana kasoro yoyote ya kutofurahia mahaba yao.

Kulikuwa na kelele kila mtu akiongea maneno yake ya furaha na uchungu. Furaha ya lile tendo tamu na uchungu kwa kuwa hawakuwa na nafasi ya kuwa vile siku zote usiku na mchana “ Juddie my love humu ndani unaweka nini? Kwa nini kunakuwa kutamu hivi” alilalamika Phillip akiendelea na shughuli alilalamika kwa raha na masikitiko kuwa hakuwa na access wakat wote kujipatia utamu ule. Juddie alikuwa busy naye na mambo yake akizungusha kile kiuno na kuchezesha makalio yake makubwa ambayo kwa wanawake wa kawaida wangeweza kwenda kujimegea pale watatu wakawa nao wanaonekana wanayo makubwa. Yalitikisika kama Maputo makubwa yaliyokuwa yamejazwa maji….Waligeuza kila style na Doggie Style Phillip aliyanyanyua kwa Juu apate kuona jinsi anavyoingia na kutoka ndani ya Juddie. Alitizama matako yale makubwa yakicheza na kwenda mbele nyuma,kushoto kulia. Ha ha ha..yalikuwa yakicheza gwaride na kukimbia mchaka mchaka. Hakuna kiungo katika mwili wa Juddie ambacho hakikutii Gwaride lile. Walikuwa na furaha yao peke yao. Wakipiga kelele na fujo mbalimbali. Maskini. Walikutana vichaa wenye njaa ya mapenzi ya miaka mingi.

Walipomaliza round ya kwanza walikuwa wmaeloana pamoja na kuwa na AC na feni vyote vikifanya kazi. Miili yao ilikuwa na joto kutokana na hisia za mapenzi kati yao. Huku akitweta alijilaza pembeni ya Juddie aliyekuwa naye akitweta kama mwizi aliyekimbizwa na wananchi wenye hasira kali walioshika mapanga,shoka,mawe,petrol na kiberiti tayari kumchoma moto hasa baada ya kumkata kata viungo vyake. Na hatimaye mwizi huyu kwa mbio zake na jitihada zake zote anafanikiwa kukimbia na moja kwa moja kuingia kituo cha polisi. Hiyo ndo inakuwa salama yake.

Phillip alikumbuka namna ambavyo amekuwa wakati mwingine akiwa na mkewe katika hali ya ugomv na kufananisha na mapenzi anayoyapata hapa kwa Juddie. Machoz yalimlenga lenga na kuona alistahili kuishi hivi na mpenzi huyu. Alistahili kuwa na aina hii ya kufanya mapenzi siku zote.si siku kadhaa tu katika ndoa na siku nyingine kuwa zenye kero na maudhi. Alitaka aishi hivi na Juddie. Juddie alimtimzama… moyoni alijawa na huruma. Mwanaume huyu ambaye huonekana mkaidi na mwenye kujisikia huko nje alikuwa amelala hapa na akitokwa na machozi kama mtoto mdogo kwa sababu ya mapenzi yake kwake. Alijiwa na simanzi na kumbembeleza Phill. Walishia kukumbatina kwa dakika kadhaa kila mtu alikuwa katika ulimwengu wake akiwaza ya kwake mpaka walipokuja kuachiana na kuanza kutaniana.

Hii ilikuwa moja ya siku njema kabisa machoni pao walikuwa huru wakifurah umoja wao na mapenzi waliyoanzisha. Baada ya mapumziko na chakula na mapumziko baada ya chakula walikuwa tena tayari miili yao imeshikamana. Juddie alimtizama Phillip na kumwambia kwa Upole” please usiniingize nyuma” kana kwamba alikuwa anahisi aombe hili mapema sababu ukifika wakati wa zoezi lile asingeweza kukataa. Hivyo aliomba ahakikishiwe mapema. Phill alipatwa na kicheko ingawa alijizuia maana Juddie aliongea kwa huruma kana kwamba kama Phillip angeamua kufanya jambo hilo basi Juddie asingekuwa na uwezo wa kuzuia. Ni sawa na pale mtu amekamatwa na jambazi na kujua jambazi amedhamiria kabisa kumuua naye hana nguvu ya kujinasua katika kifo hicho hivyo anaomba “tafadhari usiniue” akitia huruma, majonzi n.k

Phillip alimtimzama Juddie.” Sijawah fanya kitendo hicho na sijui kinakuaje hivyo usitie shaka” moyoni aliwaza huwa inakuaje wanapotumia njia hiyo? Kiukweli kwa umbo la Juddie ni wazi wanaume wengi wangekuwa wakifikiria kuingia kupitia njia hiyo sababau ya matako makubwa ya Juddie. Na pengine Juddie aliwaza kuwa inawezekana Phill alitaka naye kufanya jambo hilo kwa namna alivyokuwa kimtizama kwa uchu wakati wote. Phill alitabasamu moyoni alijua njia aliyokuwa naitumia ilikuwa na utamu wote alioutaka. na alilidhika sana na alichopata kwa Juddie.

Itaendelea.....
 
Back
Top Bottom