Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Nikupe pole Jatropha.
Unatakiwa kwanza ujenge uelewa wa mgawanya wa kazi na madaraka serikalini.
TANRoads ni wakala wa ujenzi wa barabara na wala si wasimamizi wa usalama wa vyombo vya usafiri na raia barabarani.
Kwa mtazamo wako sitakushangaa kesho kuishambulia kampuni ya KONOIKE kwenda kusimamia kuongoza magari kama taa zikikatika kwa vila wamejenga barabara hiyo.
Usalama barabara ni universal popote duniani polisi wa usalama barabarani, tatizo litokeapo barabarani wanaoitwa ni polisi. Kama gari bovu na linazuia magari mengine kupita, polisi wataita taw car kuja kuvuta gari hilo.
Ni mtazamo finyu mno kufikiria Magufuli aende kuvuta gari na ni kichekesho babu kubwa.
Ninyi ndio wale ambao mtoto anapochezea toy na kwa bahati mbaya toy ikaangukia kwenye chakuna unaenda kumzaba makofi mama yake.
:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:ya