Mafyongo kama haya ya JKikwete wa Magamba,ndo yaliyo iweka pabaya Libya na Yemeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafyongo kama haya ya JKikwete wa Magamba,ndo yaliyo iweka pabaya Libya na Yemeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinganola, Aug 24, 2011.

 1. kinganola

  kinganola Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi wakichoka,wako radhi wauliwe mpaka wafe ilimradi haki ipatikane,CCM msitake nchi ifike huko,Mmesha tufilisi vya kutosha, hapo sasa basi,Mtoto akikua na kugundua kuwa kuna haki zake za msingi ulimnyima akiwa mdogo na wewe ndo chanzo cha yeye kupigika, anaweza hata akuue ili arithi mali.

  Sasa CCM,hapo mlipofika basi,ebu tuacheni na sisi tujipange,tuendeleze gurudumu hili la maendeleo,mkiendelea kutuzingua,mnakaribisha Ulibya na Uyemen hapa,Kizazi hiki hakuna mtu muoga na mshukuru mungu mlifuta mpamgo wa JKT kwa mujibu wa sheria,ingeendelea kuwepo toka enzi za nyerere,kingesha nuka hapa.
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, heading ya thread yako na maneno mbona tofauti
   
Loading...