Katika hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi Mteule Dollar Kusenge amepangiwa Halmashauri mbili tofauti katika uteuzi uliofanywa na Mheshimiwa Rais hapo jana Agosti Mosi, 2021.

Halmashauri alizopangiwa ni Halmashauri ya Mji wa Kasulu na Halmashauri ya Mji wa Njombe.
 
aende Njombe.
 
aiseee nafikiri wanapaswa kujipa muda kabla ya kutangaza matokeo...
... waombe msaada NECTA wanaotangaza matokeo ya wanafunzi laki 8 bila kasoro! Jamani matrix ya watu 184 madudu kibao haijakaa sawasawa! But I think ni sababu ya chomekachomeka kila mhusika ambaye list inapita kwake kwa uhakiki anataka kuchomeka mtu wake.
 
Hizo ndio connection za uhakika sasa usiamin connection moja ikibuma moja moja won jamaa zimewin zote kweny kubet tunaita GG both team to score
 
Ikulu siyo pango la walanguzi na wahuni ila kwa awmu ya mama wa shungi hakika huko Kuna wahuni wameingia peponi . haiwezekani hata siku moja Taifa lenye takribani watu 60 milioni ukose kuchagua watu 184 mpaka wengine wajirudie inaonekana watu hawako makini.

Hivi tukimpa awe mwalimu wa taaluma kwenye shule yenye walimu 200 kweli ataweza kupanga ratiba ya masomo.mama hili siyo taifa la kifalme kuwa mwanaccm pekee ndiyo ana haki ya kuwa kiongozi.wapo wenyesifa lakini hawana kadi za kijani.
 
Uzuri amemfuta Kazi Eliud Mwaiteleke, Alijiona Kuwa ukurugenzi Wa Chato ni mkuu wa wakurugenzi
maana yake hapo kuna nafasi mbili wazi za wakurugenzi. Kati ya hizo nafasi mbili wazi niwekwe moja wapo. Na mimi niwe mkurugenzi.

Samiah umeiona hiyo mama lake.
 
OFISI KUBWA WANAKWAMA WAPI?
Aliyekuwepo hapo Ikulu GM anampigisha Shoti Makusudi aliyeko sasa JH ili aonekane hafai kwani kwa sasa mwenye Hadhi ya juu Kiitifaki na Kiprotokali ni JH na siyo tena GM ambaye kutolewa hapo Ikulu hakupenda na Kumemuuma mno hadi hii leo japo Machoni mwa Watu anajifanya yuko sawa.
 
IKULU IMEJAZA VILAZA TUPU, AFU ETI WAO NDIYO WANAFANYA KAZI YA KUCHAKATA CLASSIFIED INFORMATION.
Kinachoniumiza zaidi 95% ya waliopo ( walioko ) katika Idara hiyo ni Watu wa Kitengo ( System ) ambao kwa Umakini mkubwa wanaotakiwa kuwa nao Kiuweledi na Kiutendaji hawakutakiwa ama Kuruhusu au kufanya Kosa la Kipumbavu ( Kipopoma ) kama hili. Nimesikitika sana!!
 
ndio maranyingi tu tumeshazoea tumezoeshwa kuendelea kufahamu tikitaka za ikulu yetu mwezetu kukimbilia Dodoma hakuwa mjinga

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kama wanashindwa kuondoa duplicates kwa Microsoft Excel tu, kitu ambacho hata mtu asiyejua computer sana anaweza ku Google na kupata jibu, kuna maamuzi mengine mangapi magumu zaidi wanaboronga na wala hatusikii?

Maana hili tumelisikia kwa sababu ni mkeka umewekwa wazi kwa umma.

Yale maamuzi ya "top secret" ambayo hayawekwi wazi wakiboronga hata hatujui mambo yanajiendea tu labda kuna madudu mengine yatakuja kujulikana athari zake vizazi vijavyo.
 
Aliyekuwepo hapo Ikulu GM anampigisha Shoti Makusudi aliyeko sasa JH ili aonekane hafai kwani kwa sasa mwenye Hadhi ya juu Kiitifaki na Kiprotokali ni JH na siyo tena GM ambaye kutolewa hapo Ikulu hakupenda na Kumemuuma mno hadi hii leo japo Machoni mwa Watu anajifanya yuko sawa.
Unataka kusema Msigwa ndio kamtumia hiyo list jaffari haniu? Aisee kuna watu mna hakili badala ya akili
 
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.

Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184View attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
Kumejaa wazenji unategemea nini
 
Kama wanashindwa kuondoa duplicates kwa Microsoft Excel tu, kitu ambacho hata mtu asiyejua computer sana anaweza ku Google na kupata jibu, kuna maamuzi mengine mangapi magumu zaidi wanaboronga na wala hatusikii?

Maana hili tumslisikia kwa sababu ni mkeka umewekwa wazi jwa umma.

Yale maamuzi ya "top secret" qmbqyo hayawekwi wazi wakiboronga hata hatujui mambo yanajiendea tu labda kuna madudu mengine yatakuja kujulikana athari zake vizazi vijavyo.
Tatizo pia sio Mara ya kwanza kuboronga hivi. Hii nchi kuna shida kubwa sana
ni kweli binadamu anakosea, Ila kwa ofisi nyeti kamaa ikulu haipaswi kukosea hivi tena Mara kwa mara
 
Back
Top Bottom