Naomba kujua mafuta mazuri kwa Masaji

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Mbukwenyiii wadau.,

Jamani naombeni msaada, ni mafuta gani mazuri kwa masaji?? Na upatikanaji wake.

Nataka niwe professional masseur, lakini ni kwa ajii ya mke wangu tu. Mke wangu anapenda masaji hadi basi, yaani hata kama alikuwa hataki kutoa mzigo nikimpa kamasaji kadogo tu tena kakavu lazima alendemke.

Sasa nataka niwe profesheno wake wa masaji, nataka niwe namfanyia masaji za ukweli hadi mwenyewe ajione kabahatika kumpata kidume mimi, maana nahofia huu udhaifu wake usijevuka mlango wa nje afu ikawa balaa baadaye maana hawa viumbe wakikosa kitu ndani lazima wakakitafute nje.
 
kwa mimi njia rahisi ilikuwa wewe kwenda saluni za kike wakupe maelekezo, ila kwa kuwa kuna wataalam hata humu ngoja waje!
 
Uamke alfajiri sana, ukimbizane na mafoleni barabarani, ufike ofisini, ukae dirishani hapo hadi jioni, ubalance mahesabu, ukae tena foleni ya masaa, urudi home umechoka mbaya. Tena uanze shughuli ya masaji, iishe, upige vigoli viwili, mkeo aseme haridhiki. Chakula juu yako, saloon juu yako, ada za watoto juu yako.

Ukubwa dawa hasa ukiwa mwanaume
 
Kuna mafuta flani. Baada ya kama nusu saa nakuletea jina., ngoja niende hapo juu supermarket ni mazuri yana umotomoto flani. Olive nayo ni nzuri yanawahi kukauka, Inabidi umdabikedabike meeeengiiii. halafu ni ya baridi tofauti na hayo namsuguaga mama kijacho mpaka analimwaga kojo.
 
Kuna mafuta flani.... baada ya kama nusu saa nakuletea jina....ngoja niende hapo juu supermarket..... ni mazuri... yana umotomoto flani..... olive nayo ni nzuri..... ila inawahi kukauka... inabidi umdabikedabike meeeengiiii.... afu ni ya baridi tofauti na hayo...... namsuguaga mama kijacho mpaka analimwaga kojo....

Hahaha, mkuu nasubiri hayo. Usisahau mkuu
 
Castor oil hata siyajui. Castor oil nayoifahamu ni ile ya magari pikipiki sasa sijui muulize alieitaja. Labda kuna hiyo bidhaa.
 
Mafuta mazuri hutegemea pia na ngozi ya mtu lakini pia yamegawanyika yapo yenye harufu na yasiyo na harufu, yapo ambayo ukitumia habakiwi na mabaki ya mafuta mwilini anahisi mpauko wa kawaida baadhi ya mafuta ni kama:
1. Sweet Almond oil
2.Apricot kernel oil
3. Jojoba oil
4.Fractionated oil
5. Sunflower oil

Haya ndio mazuri zaidi na ya kiwango cha juu na hata kiafya pia yanashauriwa kutumika
 
Lakini pia Olive Oil ni nzuri sana, kwani bei ni chini na yanapatikana kirahisi lakini kuna Avocado, Cocoa butter, Greepeseed, Kukuinut oil, Sesame oil, Shear Butter, wheat Germ oil nayo sio mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom