Mafuta yameshuka bei? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta yameshuka bei?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 2, 2011.

1. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,467
Likes Received: 5,708
Trophy Points: 280
Kwa alie sikia vituko vya Mkulo na Ewura jamani bei za mafuta zimeshuka mpaka ngapi maana wengine tunafikiria kufufa magari yaliolala kama si kununua betri upya nasema ni vitukpo maana huyu alikuwa WAZIIRI WA KWANZA KULIDNANGANYA BUNGE TAR KADHAA JUL MAFUTA YANASHUKA BEI ...NA NINAVYOONGEA WATU WANAENDELEA KUINGIZA MAFUTA KWA BEI NAFUU HUKU BEI IKIBAKI ILE ILE NDIO MAANA WAZIRI WA NISHATI NAE AKAAMUA KUDANGANYA WATANZANIA NA JANA AGGREY MWAMBI SIJUI NAE ANATUNDANGANYA LIVE
MUNGU TUSAIDIE MAANA KAMA WATAPUNGUZA KWELI ITWAKUWA BREKI BREKI NYUZIIIIIIIII KWELI

HAYA KAOOOOOOOOOOOGEEEEEEEEE

2. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#2
Aug 2, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
So where is the breaking news?

3. Lole Gwakisa

Lole Gwakisa JF-Expert Member

#3
Aug 2, 2011
Joined: Nov 5, 2008
Messages: 3,962
Likes Received: 403
Trophy Points: 180
Breaking News iko wapi? Pdidy umetoka kuvuta ganja, achana nalo linaharibu sifa yako!

4. EMT

EMT JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Jan 13, 2010
Messages: 14,464
Likes Received: 865
Trophy Points: 280
Kama nimekuelewa au sijakuelewa mafuta yatashuka bei kwa asilimia 6 kuanzia saa sita usiku huu

5. Mawenzi

Mawenzi JF-Expert Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: Sep 21, 2010
Messages: 1,261
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
usanii mtupu!! kila aina ya mafuta bei yake imeshuka kwa sh. 200 tu!! Bei mpya ya mafuta ya taa ni sh. 1,900.00

6. Fabolous

Fabolous JF-Expert Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 1,302
Likes Received: 437
Trophy Points: 180
Kaka umeongea pointi lakini heading yako ni pumba.

7. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Breking news ipo wapi mkuu?

8. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#8
Aug 2, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,446
Likes Received: 19,815
Trophy Points: 280
the really Pdidy

9. Edward Teller

Edward Teller JF-Expert Member

#9
Aug 2, 2011
Joined: Oct 31, 2010
Messages: 3,818
Likes Received: 83
Trophy Points: 145
mafuta.jpg
bei za mafuta kuanzia kesho ni hizo hapo-punguzo alilosema muheshimiwa ndi hilo-MIMI NAZAN NITATAFUTA GAR LA SOLAR POWER-LA MAFUTA SITAWEZA

10. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#10
Aug 2, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,467
Likes Received: 5,708
Trophy Points: 280

SOMA VIZURI UONI SWALI LA BREAKING NYUZI ??BADALA YA KUJIBU UNAULIZA TENA UMENIKUMBUSHA KUNA MDENISH MMOJA ALIKUWA AKIJA BONGO AKIWA NJIAN AAKAMBIWA UKIFIKA TANZANIA UKIULIZA SWALI WANAULIZA SWALI ALIPOFIKA APORT AKAULIZA ATI NASIKIA WATANZANIA MKULIZWA SWALI MNAULZA SWALI AKAJIBIWA ""NANI KAKWAMBIA"""
USIKU MWEMA JAMANI KWA WALE WENZANGU TULIO NA VALID TZ PASSPORT/CITIZEN

11. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#11
Aug 3, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
Pdidy is an issue..........

12. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#12
Aug 3, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
duh jamani sisi si ndo wenye nchi hali ni mbaya mnoo tuchukue nchi yetu haraka

13. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#13
Aug 3, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,467
Likes Received: 5,708
Trophy Points: 280

HAAAHAA NT REAL BANA

BETTER C NT GOOD ENOUGH BEST IS YET TO COME MUCH LVE ALL
HALOOOOOOOOOOOOOOOO YA NGELEJJJJJJJJJAA UO UO UOO UO UO UMEMEE MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA AKUNA KUHAMA NCHI TUBANANE HAPA HAPA

14. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#14
Aug 3, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,467
Likes Received: 5,708
Trophy Points: 280

AISEE MBONA UJAIWEKA VIZURI WATU WAONE HAWA MASHETAN WANAVYOTUNYANYASA AMA UNATENDA ZA BREAKDOWN WATU WAZIMIKIWE NJIAN KISA MAFUTA TUBEBE FAST NATANIA LAKINI NAJUTA KUANGALIA BORA NINGEONA USHENZI HUU ABSH DUH NAONA HAKA KA PREMIO KAENDELEE TU KUSAFISHWA NA MAJI KILA SIKU MPAKA TUTAKAPOPATA MAWAIRI WENYE KUJALI MAISHA YA WATANZANIA

15. Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

#15
Aug 3, 2011
Joined: Jul 3, 2007
Messages: 4,757
Likes Received: 181
Trophy Points: 160
Aaah!!! ngoja niende zangu nikakojoe MKOJO WA BIA... Mimi nilidhani kuna mtu amejivua Gamba... Pdidy umeniamsha ujue!!!

16. EMT

EMT JF-Expert Member

#16
Aug 3, 2011
Joined: Jan 13, 2010
Messages: 14,464
Likes Received: 865
Trophy Points: 280
[​IMG]

17. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#17
Aug 3, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
Mkuu i said that kwasababu the way you present your cases is very hard for one to understand, unakua kama una flights of ideas..... other than that sina issue yoyote

18. MaxShimba

MaxShimba JF-Expert Member

#18
Aug 3, 2011
Joined: Apr 11, 2008
Messages: 35,816
Likes Received: 129
Trophy Points: 160
Kiini macho, subiri baada ya mwezi mtaona mambo

Loading...