Mafuta ya upako yanazalishwa kwa miti na matunda kama ilivyo mafuta ya mawese; Wajinga wengi wanazani yanatoka mbinguni

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ipo miti mbalimbali inayotumika kutengeneza (Olive oil)

Olive oili ni mafuta yatokanayo na miti yenye nguvu za kiroho!

Miongoni mwa miti hiyo ni pamoja na MUNAILA, MZAITUNI n.k

Miti hiyo inamatunda ambayo yakikamuliwa hutoa mafuta maaluf (Olive Oil)

Mafuta hayo kutokana na kutokupendwa na roho chafu! Yamekuwa yakitumiwa sana na wachungaji wahuni kujipatia umaarufu kwa kuyaita Mafuta ya Upako au (Magic oil)

Asili ya mafuta hayo yenye muonekano kama yalivyo mafuta ya nazi au mawese! Ni kama ifuatavyo!

Pasipo kujali dini wala dhehebu wala imani yako; Olive oil (Mafuta ya maajabu) :
  • Ni mafuta ambayo hayapendwi na washirikina au mapepo kama ilivyo paka ambavyo hapendi harufu ya diesel
  • Ni mafuta yenye kemikali ambazo zikipakwa kwenye ngozi hupenya na kuzibua mirija hivyo yanaweza kuwa kinga ya maradhi kama stroke au moyo
  • Kama mnakumbuka elimu ya monocotyledon na dicotyledon basi mafuta hayo yana Monosaturated acid ambayo ukipaka kwenye ngozi yanapenya haraka
  • Mafuta haya yana weza ondoa uchovu na maumivu ya magoti au miguu kuwaka moto
Mafuta hayo ya maajabu yanaweza kufanya kazi bila kujali umetoka kufanya dhambi gani! Yanatumiwa na watu wote malaya na majambazi.

Ngoja nikumegee siri ya mafuta haya kiroho;
Hayapatani na mapepo au roho chafu!

USISHANGAE KABISA UKIYAPAKA mafuta haya ya maajabu KILA DEMU UNAYEMTONGOZA AKAKUKATALIA;

MAFUTA HAYO NDIVYO YALIVYO HAYANA UHUSIANO WOWOTE NA MWAISAIPILE WALA MWAMPOSA kwasababu hata mimi ukini PM inbox namba yako ukatuma na elfu 20,000/= tu nakutumia litre nzima upambane na hali yako

ALAMSIKI!!
 
Back
Top Bottom