Mafuta ya ubuyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya ubuyu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by elimumali, Nov 30, 2010.

 1. elimumali

  elimumali Senior Member

  #1
  Nov 30, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimepata habari kuwa mafuta ya ubuyu ni dawa ya kumfanya mtu aache ulevi. Aliyenipa habari hii pia hana maelezo kamili. Members, nawaomba mwenye kufahamu atujulishe yafuatayo:
  1. Inapatikana wapi
  2. Matumizi yake (dose) na side effects zake
  3. Bei yake
  4. Maelezo mengine ya ziada

  Natanguliza Shukrani.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Kule Ilala kuna msikiti wanauza maziwa ya Nyati.
  Huwa najiuliza maswali mengi, je huyo ni nyati wa plastiki au wa kweli.
  Tunajua makasheshe ya nyati halafu we ndo ukajidai unamkamu, utakufa kibudu.
  Kuhusu mafuta ya ubuyu ndiyo kwanza nayasikia kwako, ngoja tu digg information, tutaibuka na majibu sahihi na tutakujulisha
   
 3. elimumali

  elimumali Senior Member

  #3
  Nov 30, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bujibuji Ubuyu una mbegu, hivyo inawezekana mafuta yanapatikana hapo - ila yanavyotengenezwa ndio sijui. Kuna mtu hapa ofisini kaniambia kuwa inawaponyesha pia vijana walioathirika na madawa ya kulevya, wanapoitumia inawafanya wasiwe na hamu kabisa ya kuyarudia. Tusaidiane kufanya utafiti namna ya kuipata tuwaokoe ndugu zetu.
   
 4. D

  Dick JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayo maziwa ya nyati yawezekana kuwa kweli kwa sababu, kule Morogoro (Mvomero) wapo nyati wa kufugwa wanaitwa 'nyati maji'. Wanafugwa kama ng'ombe na wanatoa maziwa mengi sana. Pia nasikia maziwa hayo ni tiba kwa baadhi ya maradhi.

  Nashawishika kukubali kuwa hayo maziwa ni ya nyati.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kijana kuna nyati wanafungwa tena wapo wa maziwa na wengine ni maksai.
  Kuhusu mafuta ya ubuyu icho kipindi kililushwa na ITV last week kwa kukusaidia check na ITV watakupa namba ya msambazaji wa hayo mafuta
   
 6. k

  kimondo Senior Member

  #6
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapo Nyati wa kufugwa kwa ajili ya kutoa maziwa. Waliletwa hapa nchini na Hayati Baba wa Taifa kutoka Argentina enzi hizo. Wanapatikana pia huko Muheza,Tanga.
   
 7. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mafuta ya ubuyu ni sawa na kusema mafuta ya pamba, inakuja kuja kwa mbali. Mkuu labda useme mafuta ya mbegu za ubuyu itakuwa na maana zaidi na yanaweza kupatikana. Fuata utaratibu wa kawaida wa kupata mafuta kutokana na mbegu kama wafanyavyo watu wa alizeti.
   
 8. minda

  minda JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nimeona kwa mara ya kwanza dodoma kwenye maonesho ya 88 ni kweli hayo mafuta yana msaada mwingi kwa binadamu hasa kiafya kuondoa mapunye na kufanya ngozi iwe soft na yanayofanana na hayo; lakini hiyo ya kutibu mwenendo/tabia ya mtu kuacha pombe sina uhakika nayo.  miongoni mwa kina mama wanaohusika na uuzaji wa mafuta ya ubuyu ni jirani yangu namfahamu.
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  tupe no zake pls
   
 10. minda

  minda JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  nipe muda nitaku-pm
   
Loading...