Yana kazi gani? Cja kejeli bali nataka kujua
Vipi kuhusu ubora?
Habari wadau,mafuta yaliyokamuliwa kutokana na mbegu za UBUYU yanapatikana,lita moja ni shilingi elfu 30 tu.
Kwa mawasiliano zaidii
piga simu namba zifuatazo:
0712385456
0713890628
Unapatikana mji gani? Au hiyo bei ni pamoja na usafiri kwa walio mikoani?
Unapatikana mji gani? Au hiyo bei ni pamoja na usafiri kwa walio mikoani?
WEka references za ukweliyanasaidia kuongeza cd 4,kupunguza koresto,matatizo ya kisukari pia
WEka references za ukweli
Yanaletwa mdauNa kwa Arusha je?
bila kujali idadi right?na gharama za usafirishaji nani anacover?Yanaletwa mdau