Mafuta ya ubuyu yanapatikana:

Nov 19, 2012
14
3
Wana jf kwa wanao itaji mafuta ya UBUYU yanapatikana kwa bei poa tu kwa LITA 1,tz shs:50,000/=NUSU LITA shs 30,000/= kwa waliopo dar es salaam popote ulipo unafikishiwa mzigo kwa anae itaji namba hiyo 0754448311. WAHI SASA.
 
Mafuta yanapatikana kuanzia ujazo wa lita moja na zaidi.
MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana vitamin A, B, C, D na F. Pia yanatibu magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:

1. Yanatengeneza seli zote ndani ya mwili.
2. Huzuia ngozi isiharibike wala kupata makunyazi.
3. Yanaondoa mafuta au koresto ndani ya mishipa ya damu.
4. Yanapunguza uzito ulizidi.
5. Yanarutubisha ini na figo.
6. Yanaleta hamu ya kula.
7. Yanaimarisha mifupa, kucha na nywele.
8. Yanaongeza kinga ya mwili {CD4}.
9. Yanaondoa sumu.
10. Yanatengeneza sukari iwe katika kiwango kinachotakiwa.
11. Yanasaidia kuona vizuri na kumbukumbu.
12. Yanapunguza vitambi na matumbo makubwa.
13. Yanavirutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.
14. Yanaondoa madoa, chunusi, fangasi, upele, m'ba na muwasho.
15. Yanafaa kwa walemavu wa ngozi {albino}.
16. Huondoa hamu ya kutumia madawa ya kulevya.
17. Huondoa vidonda vya tumbo.

Endelea kutumia mafuta bora ya ubuyu, ni bidhaa asilia ya kitanzania. Ni mafuta yasiyochanganywa na kitu chochote, ni mafuta asilia.

MATUMIZI – USICHEMSHE.
1. Kwa wagonjwa wa kisukari tumia kijiko cha chakula 1 tu nusu saa kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, na ya pili na ya tatu {kila baada ya siku 15 za kila dozi. Pumzika wiki moja na endelea kupima kila wiki}.
2. Kwa vidonda vya tumbo, figo na ini kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 kabla hujala chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, siku 15 dozi ya pili, siku 15 dozi ya tatu {kila baada ya siku 14 pumzika wiki moja}, baada ya dozi tatu kuisha anza kunywa kila wiki mara moja, asubuhi nusu nusu saa kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja asubuhi kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja, asubihi kabla hujala chochote kwa muda wa miezi sita mfululizo.
3. Kwa utoaji wa sumu kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kila siku kwa muda wa siku 14, kisha kunywa kila mwezi mara 1 kwa muda wa miezi sita mfululizo.
4. Kwa kuongeza CD4 mwilini, tumia mafuta haya kama ifuatavyo:
Asubuhi kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chakula cha usiku kwa muda wa miezi mitatu. Mgonjwa aanze kunywa baada ya kipimo cha mwisho alichopima.



Mafuta yanapatikana kuanzia ujazo wa nusu lita na zaidi ( wasiliana nasi kupitia 0712700280 au 0766550881) Tupo Dodoma karibu na Dodom Hotel.
 
Back
Top Bottom