Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,306
- 92,398
Wanataka tuamini kwamba sigara hazina madhara kwa sababu wanapata kodi nyingi.OBAMA kaona fursa.......!!!, sasa ubuyu utaanza kupelekwa USA halafu yataletwa mafuta TZ.....!!!?
Aliyetuloga.....alishakufa....!!!?, wanasayansi au wataalamu wetu huona madhara katika bidhaa za ndani tu...? Hakuna kitu kisichokuwa na madhara....., bali katika kuleta maendeleo, wataalamu hujikita katika kupunguza madhara; hivyo basi wajibu wa TDFA ilipaswa vilevile kutafuta jinsi ya kupunguza madhara kwa bidhaa hii ambayo kwa sasa inaonekana kuwa na soko zuri hapa nchini.