Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

bilashaka hapo pakikuwa dar
Kwa kipindi hiki ni kawaida sana kwsbb wanatafuta maji, ht mm kuna siku aliingia kwangu ila hakufika ndani. Aliishia kwenge bustani ya mboga ambako kuna unyevu mwingi.
Sikuumua ila nilirudi ndani nikafunga milango nikabaki namchungulia dirishani badae nikaona anapanda ukuta anasepa. Baada ya hapo nikatafuta mafuta ya taa nikamwaga kuzungua uzio wote wa nyumba.
 
Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!

Huyo chui mwenyewe aliyeonekana huko Goba watu wameplan wamkamate waue, hakuna mwenye ubavu wa kumkamata na kumfunga mnyororo shingoni kama mbwa.. thubutu yakeee
 
Kuna Siku nilimuona nyoka wa kijani kwenye maua.nikachukua Mafuta ya taa kumwagia.baada kama ya dakika moja akabadilika kuwa mweusi sana,anahangaika na kutoa mlio wa ajabu kama kifaranga cha Kuku,
 
nyoka huwa ana sumu kwa ajili ya kuwinda mawindo yake kama vile panya na pamoja na kujilinda kama atachokozwa na siyo kwa ajili ya kuua watu!
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu

Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
 
Kwa kipindi hiki ni kawaida sana kwsbb wanatafuta maji, ht mm kuna siku aliingia kwangu ila hakufika ndani. Aliishia kwenge bustani ya mboga ambako kuna unyevu mwingi.
Sikuumua ila nilirudi ndani nikafunga milango nikabaki namchungulia dirishani badae nikaona anapanda ukuta anasepa. Baada ya hapo nikatafuta mafuta ya taa nikamwaga kuzungua uzio wote wa nyumba.
Najua si kwamba unawajali sana nyoka, ila kuua nyoka nayo ni kipaji
 
Nyoka ana sumu kwa ajili ya kuwinda mawindo yake kama vile panya na kujilinda kama atachokozwa na siyo kwa ajili ya kuua watu!!
Mkuu, hospitali zetu nyingi (ata ukibahatika kuwa karibu na hospitali) hazina anti-venom ikitokea umeng'atwa, sasa huo mda wa kumtafiti kama ana madhara ama hana utatoka wapi
 
Huyo chui mwenyewe aliyeonekana huko Goba watu wameplan wamkamate waue, hakuna mwenye ubavu wa kumkamata na kumfunga mnyororo shingoni kama mbwa.. thubutu yakeee

Mkuu yule alikuwa kicheche ndiye aliyewafanya wanaume wa Dar kujifungia ndani kwa wiki nzima
 
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a View attachment 1098760
Kosa la kwanza kuua kwa kukusudia, kosa la pilii kutaka kumchoma mtuhumiwa ambaye hajaiba wala kukudhuru, tatu wewe ni kiumbe kama yeye. Hajapangiwa wapi aishi. Makazi tuliyonayo tumewaingilia sababu wao ndo waliishi kwanza sisi ni wavamizi.

Nyoka ni kiumbe mwenye aibu na haoni kwa macho ila hisia na kuona kitu ambacho kinaonyesha ujoto. Binadamu kugongwa na nyoka mpaka umkanyage au umchokoze. Yeye atagonga panya na viumbe anaoweza kuwameza siyo dude kama wewe. Nchi zilizoendelea huwa kuna wataalamu wanaitwa wanakuja wanawakamata na kuwapeleka porini lakini siyo kuwaua. Ukimuua huyo je kesho ndugu yako akigongwa atapataje anti venom? Dawa ya sumu ni sumu yenyewe.
 
Acha kudanganya watu nyoka anaona vizuri sana kwa macho na anafuatilia windo lake kwa harufu kama mbwa anavyonusa

Soma ujue vizuri kuhusu nyoka. Nyoka haoni kwa macho anatumia sound and heat of the body.
With the exception of a few species that have adapted to daytime hunting, most snakes do not see well. Generally they can see shapes but not details.

This poor eyesight probably owes to their evolutionary history as burrowers, living in the dark where eyes weren't much use.

Snakes called pit vipers can see well at night by an amazing trick. Their pits (one on each side of the head) sense heat (infrared light) like night vision goggles. These pits, not eyes, actually are thought to render images of prey in the snakes' brains.
 
Aseeee uku kwetu goba kawaida sana, yani kama sio nyoka basi tandu utamkuta bafuni
Piga dawa mkuu,case za kukutana na nyoka akikatiza nje ya nyumba nimekutana nazo sana kiboko siku nimemkuta tandu kajitanda kwenye sarawali halafu ndo nilitaka kuivaa siku hiyo aisee mwenyewe niliwatafuta jamaa wa fumigation kufanya kazi.

Baada ya muda wale waliokuwa tayari ndani walitafutana wakajikusanya sehemu moja wakafa na waliokuwa nje wakitaka kuingia ndani walikuwa wanafia mita chache kutoka mlangoni.

Kama nyumba ina watoto wadogo jaribu sana kujali hilo maana huwa hawajui mdudu yupi ni hatari na yupi si hatari sana.
 
Brother nyoka anaona vizuri ila anatumia tumbo lake kutambua maadui zake wakati ukitembea anahisi kwa kutumia tumbo lake (vibration) ataangalia unatokea wapi ili ajilinde
Soma ujue vizuri kuhusu nyoka. Nyoka haoni kwa macho anatumia sound and heat of the body.
With the exception of a few species that have adapted to daytime hunting, most snakes do not see well. Generally they can see shapes but not details.

This poor eyesight probably owes to their evolutionary history as burrowers, living in the dark where eyes weren't much use.

Snakes called pit vipers can see well at night by an amazing trick. Their pits (one on each side of the head) sense heat (infrared light) like night vision goggles. These pits, not eyes, actually are thought to render images of prey in the snakes' brains.
 
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu

Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu

Sema hivyo kama haujawahi kukutana na nyoka wakali, imagine kaingi koboko (black mamba) kwenye zizi la ng'ombe au banda la kukuku utashuhudia mizoga tu hafu hiyo hasara useme huyo nyoka hutomuua, Nyoka wengi wanasumu kali sana hata kifutu usinchezee akikuuma ujue utaishia kuoza mwili.
 
Brother nyoka anaona vizuri ila anatumia tumbo lake kutambua maadui zake wakati ukitembea anahisi kwa kutumia tumbo lake (vibration) ataangalia unatokea wapi ili ajilinde
Jamani haoni kwa macho ila vibratration na movements. Yeye ndo maana wanamtumia Asia kucheza sababu huwa anafuata vibrartion na ujoto ule wa yule anayechezesha. Unaweza kwenda National Geographical channel uangalie kwenye maisha ya nyoka au hata google utajua zaidi.
 
Back
Top Bottom