robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 2,973
- 3,052
hahahaa. jf bwana!
Mbona wao wakituona porini hawatukamati wakatuleta mjini?
Mbona wao wakituona porini hawatukamati wakatuleta mjini?
Kwa kipindi hiki ni kawaida sana kwsbb wanatafuta maji, ht mm kuna siku aliingia kwangu ila hakufika ndani. Aliishia kwenge bustani ya mboga ambako kuna unyevu mwingi.
Sikuumua ila nilirudi ndani nikafunga milango nikabaki namchungulia dirishani badae nikaona anapanda ukuta anasepa. Baada ya hapo nikatafuta mafuta ya taa nikamwaga kuzungua uzio wote wa nyumba.
Hapana, ni huku mkoanibilashaka hapo pakikuwa dar
Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Moja ya sababu kubwa ya kuishi na hayo madude ni umasikini- sio wa kipato tu.Bongo ninacho chukia ni hayo madude na panya
Huyo chui mwenyewe aliyeonekana huko Goba watu wameplan wamkamate waue, hakuna mwenye ubavu wa kumkamata na kumfunga mnyororo shingoni kama mbwa.. thubutu yakeee
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu
Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
Najua si kwamba unawajali sana nyoka, ila kuua nyoka nayo ni kipajiKwa kipindi hiki ni kawaida sana kwsbb wanatafuta maji, ht mm kuna siku aliingia kwangu ila hakufika ndani. Aliishia kwenge bustani ya mboga ambako kuna unyevu mwingi.
Sikuumua ila nilirudi ndani nikafunga milango nikabaki namchungulia dirishani badae nikaona anapanda ukuta anasepa. Baada ya hapo nikatafuta mafuta ya taa nikamwaga kuzungua uzio wote wa nyumba.
Cloudsdah mkuu nyumbani kwako snake zinaingia kiulaini kama bashite anavyoingia kiulaini kwa babake magogoni
Mkuu, hospitali zetu nyingi (ata ukibahatika kuwa karibu na hospitali) hazina anti-venom ikitokea umeng'atwa, sasa huo mda wa kumtafiti kama ana madhara ama hana utatoka wapi
Huyo chui mwenyewe aliyeonekana huko Goba watu wameplan wamkamate waue, hakuna mwenye ubavu wa kumkamata na kumfunga mnyororo shingoni kama mbwa.. thubutu yakeee
Kosa la kwanza kuua kwa kukusudia, kosa la pilii kutaka kumchoma mtuhumiwa ambaye hajaiba wala kukudhuru, tatu wewe ni kiumbe kama yeye. Hajapangiwa wapi aishi. Makazi tuliyonayo tumewaingilia sababu wao ndo waliishi kwanza sisi ni wavamizi.Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a View attachment 1098760
Hapo aliwekwa location ya picha babuuKwani nyoka uwa anasafiri kwenye vigae? Aisee
Kosa la kwanza kuua kwa kukusudia, kosa la pilii kutaka kumchoma mtuhumiwa ambaye hajaiba wala kukudhuru, tatu wewe ni kiumbe kama yeye. Hajapangiwa wapi aishi. Makazi tuliyonayo tumewaingilia sababu wao ndo waliishi kwanza sisi ni wavamizi.
Nyoka ni kiumbe mwenye aibu na haoni kwa macho ila hisia na kuona kitu ambacho kinaonyesha ujoto. Binadamu kugongwa na nyoka mpaka umkanyage au umchokoze. Yeye atagonga panya na viumbe anaoweza kuwameza siyo dude kama wewe. Nchi zilizoendelea huwa kuna wataalamu wanaitwa wanakuja wanawakamata na kuwapeleka porini lakini siyo kuwaua. Ukimuua huyo je kesho ndugu yako akigongwa atapataje anti venom? Dawa ya sumu ni sumu yenyewe.
Soma ujue vizuri kuhusu nyoka. Nyoka haoni kwa macho anatumia sound and heat of the body.Acha kudanganya watu nyoka anaona vizuri sana kwa macho na anafuatilia windo lake kwa harufu kama mbwa anavyonusa
Piga dawa mkuu,case za kukutana na nyoka akikatiza nje ya nyumba nimekutana nazo sana kiboko siku nimemkuta tandu kajitanda kwenye sarawali halafu ndo nilitaka kuivaa siku hiyo aisee mwenyewe niliwatafuta jamaa wa fumigation kufanya kazi.Aseeee uku kwetu goba kawaida sana, yani kama sio nyoka basi tandu utamkuta bafuni
Soma ujue vizuri kuhusu nyoka. Nyoka haoni kwa macho anatumia sound and heat of the body.
With the exception of a few species that have adapted to daytime hunting, most snakes do not see well. Generally they can see shapes but not details.
This poor eyesight probably owes to their evolutionary history as burrowers, living in the dark where eyes weren't much use.
Snakes called pit vipers can see well at night by an amazing trick. Their pits (one on each side of the head) sense heat (infrared light) like night vision goggles. These pits, not eyes, actually are thought to render images of prey in the snakes' brains.
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu
Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
Jamani haoni kwa macho ila vibratration na movements. Yeye ndo maana wanamtumia Asia kucheza sababu huwa anafuata vibrartion na ujoto ule wa yule anayechezesha. Unaweza kwenda National Geographical channel uangalie kwenye maisha ya nyoka au hata google utajua zaidi.Brother nyoka anaona vizuri ila anatumia tumbo lake kutambua maadui zake wakati ukitembea anahisi kwa kutumia tumbo lake (vibration) ataangalia unatokea wapi ili ajilinde