Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu

Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
Mmeshawahi kutana na kifutu mfalme wa vita ndani, yule mdudu hana amani yani huo mda wa kumtafutia miundo mbinu ya kumhamisha mji utakuwepo kweli
 
Mmeshawahi kutana na kifutu mfalme wa vita ndani, yule mdudu hana amani yani huo mda wa kumtafutia miundo mbinu ya kumhamisha mji utakuwepo kweli
Inawezekana ukijipanga vyema -- but kama ameonyesha kutaka kukudhuru sawa unayo haki ya kujihami " .... ila kama hajaonyesha hilo kwanini umdhuru !!!?
 
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a View attachment 1098760
si vizuri kuchoma moto viumbe vya Mwenyez Mungu.. maana yeye pekee ndie mwenye idhini ya kuchoma kiumbe chake moto.. ila kama kuua kawaida Ua maana ni hatar kwako ila si kumchoma moto..
 
Inawezekana ukijipanga vyema -- but kama ameonyesha kutaka kukudhuru sawa unayo haki ya kujihami " .... ila kama hajaonyesha hilo kwanini umdhuru !!!?
Narudia tena muda na usumbufu, kumhamisha nyoka ina maana umpereke kwenye eneo lisilokuwa na watu ili asifanye uharibifu uko pia, na akikudhuru kuna mdau amesema apo juu mpaka ufike hospitali na io hospitali kue na io anti-venom ni shughuli, ilishatokea kwa mdogo wangu, tukamkimbiza mpaka tumbi Kibaha ila hawakuwa na dawa wakamuweka dripu tu ya maji.. Bahati nzuri hakuwa na sumu yule nyoka So aliuguza tu kidonda
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom