Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

shule mchanganyiko!boarding za was kwa wav. Hazina mtindo huo!zile za jinsia moja ndo zina mtindo wa kuweka mafuta ya taa

weweee mi nimesoma shule ya mchanganyiko boys n girls mafuta yataa wanaweka kama kawa sanaaa tu! tena siku nyingine sijui huwa wanazidisha kipimo had harufu inasikika kabisaa!
 
sijui sisi wa boarding tupo salama au??mafuta ya taa kuanzia form 1 hadi form6..duuh waje wanifanyie extraction maana nahisi sipo salama naweza kuripuka nikipita karibu na jiko.

hahahaaaaaaaa! ustake ncheke mie
 
weweee mi nimesoma shule ya mchanganyiko boys n girls mafuta yataa wanaweka kama kawa sanaaa tu! tena siku nyingine sijui huwa wanazidisha kipimo had harufu inasikika kabisaa!

umeona eeh,then mukiuliza wanazingua eti oooh yaliingia kwa bahati mbaya,yaan hata sijielewi hapa kama nina nguvu tena mm,..
 
Ilifikia wakati tuliandama kuhusu hii kitu ikasititishwa kabisa tangu siku hiyo. Wengi wetu tuliamini baadae unaweza kuwa ''Bwabwa'' kama utatumia kerosene daily
 
WANADAI ETI TUSITAMANIANI KUDADEKI mie mwaka mojatu 2005 shule ya umoja wa wazazi Tz a.k.a KWEMVUMO chini macta KIANGI. Nimewekewa mafuta ya taa baraa ila asahv full bata
 
Habari
Je kuna ukweli wowote kua Mafuta ya taa yanapunguza mhemko? Nakumbuka shuleni kuna wakati chakula kilikua kinawekwa Mafuta ya taa mara kwa mara ,wanafunzi wanadai wanatucontrol.
 
Nimewahi kusikoa hivyo na mara nyingine inapata harufu yake kwenye chakula. Siwezi kuthibitisha.
 
Yeah boarding hayo mambo ya msosi kuwa na mafuta ya taa yapo sana
 
Mm nlisoma boys boarding from Std 5
Mafuta yalikua yanakata sana Genye hivyo kufanya mabafu kuwa safi maana nyeto znapungua
 
Tumekula sana mamisosi yenye mafuta ya taa lakini mihemko ilikuwa palepale......sijui kwa kuwa shule Ile ilikuwa ni ya wasichana Na wavulana.!
 
Back
Top Bottom