Mafuta ya taa kwenye chakula

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,506
1,324
Heshima yenu wakuu.Je mafuta ya taa yana madhara kwa afya ya binadam? Kama ndiyo kwanini mashuleni wanafunzi hutiliwa mafuta hayo kwenye chakula? Najua wapo watu ambao hawajawahi kukutana na hii kitu ila naamini kwa wanafunzi au waliopita shule hususani shule za upili wanaifahamu.Kama ina madhara selikari inasema nini kuhusu kukomesha hili? Asante.
 
Hii ni common kwa shule za boys! Sina hakika ila wanaeka mafuta ili wapunguze hamu ya kingono kwa wanafunzi.
 
The story behind ni kuwa.

Maharage yanayopikwa Shuleni yana Protein Nyingi sana. Actually Maharage yana protein Sana. Na Protein Husaidia Sana Kwenye Production ya Sperm Hivyo huongeza hamu Ya Ngono.

Mafuta Ya Taa hufanya Denaturing ya Protein, Yaani Huua ile Real Structure ya Protein na Hivyo Kutokuwa na Kazi Yoyote Mwilini. Ni story Ndefu lakini kifupi lengo huwa Kuuwa Ile Protein Isifanye kazi Yoyote Mwilini
 
Kwa lugha rahisi wanawalisha watoto vyakula visivyo na virutubisho?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom