MAFUTA YA MNYAMA NGAMIA.

jac salum

Senior Member
Mar 23, 2017
183
129
Hello JF members! Naomba kufahamishwa umuhimu wa mafuta ya ngamia katika mwili wa binadam na matumizi yake.
Jana tumechinja na kuuza nyama ya Ngamia katika kusherekea sikukuu ya Eidd. Nimepata mafuta ya ngamia. Lakini sijafaham jinsi ya kuyatumia na umuhimu wake kwa mwili wa binadamu.
NATANGULIZA SHUKRANI KWENU NA NIPEWE ELIMU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom