Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikuwa anamaanisha lita 3Wewe angalia vizuri bandiko lako.
Inawezekana vipi lita 8 ilikua 8,000 na lita 5 ikawa 12,000?
Kuna makosa sehemu, fanya kurekebisha maana nimeshindwa kuelewa.
Mafuta yamepanda kwasababu mvua za mwaka Jana zimeharibu alizeti hivyo kufanya alizeti kuwa adimu na chache.
Yeah hapo sawaalikuwa anamaanisha lita 3
Na nyama je? Mwaka Jana mwezi wa 6 kilo SHS 6500 leo 9000.Mafuta yamepanda kwasababu mvua za mwaka Jana zimeharibu alizeti hivyo kufanya alizeti kuwa adimu na chache.
Mafuta yote yameongezwa ushuru/kodi kwenye bajet ya mwaka huu kwahiyo lazima yapande bei mkuu. Pamoja na maji ya kunywa ya kwenye chupaMuhimu ni kuruhusu uingizaji wa bidhaa zingine kutoka nchi zingine
Korie nayo imepanda.Mafuta yamepanda kwasababu mvua za mwaka Jana zimeharibu alizeti hivyo kufanya alizeti kuwa adimu na chache.
Korie ndo yale ukipita banda la mamantilie kama anapika chapati yana harufu kaliiii? yale ukila chapati zake baada ya muda unaanza kubeua mafuta yanapanda kooni?Korie nayo imepanda.
Wstakwambia wanalinda viwanda vya ndani kwa gharama za mtumiaji.Muhimu ni kuruhusu uingizaji wa bidhaa zingine kutoka nchi zingine
Mafuta mengi ni sumu Tu, hiyo alizeti haishikiki ngoja tupaliwe Tu hakuna namna.Korie ndo yale ukipita banda la mamantilie kama anapika chapati yana harufu kaliiii? yale ukila chapati zake baada ya muda unaanza kubeua mafuta yanapanda kooni?
Wanafanya kufidia Ela zilizotumika kwenye uchafuziMafuta yote yameongezwa ushuru/kodi kwenye bajet ya mwaka huu kwahiyo lazima yapande bei mkuu. Pamoja na maji ya kunywa ya kwenye chupa
Tatizo wakati wa bajeti huwa hawaelezi ukweli vizuri tuelewe au hatufuatilii
Huku Tunduma sukari ya Zambia tsh. 2000.Wstakwambia wanalinda viwanda vya ndani kwa gharama za mtumiaji.
Mfano pale mpakani Uganda na Tz, mfuko wa sukari wa 25kg ni TSH.elfu 60+ upande wa Tz, na TSH 42 elfu ukivuka mpaka na kuingia Uganda.
Mbona steiki kiloTZS 9 000 kawaidaaTZS 5 000 KWA mikoa ya jirani na DodomaNa nyama je? Mwaka Jana mwezi wa 6 kilo SHS 6500 leo 9000.
Bongo hiyo. Dodoma kawaida 7000 steak 10000 Ila Chang'ombe, maili mbili bei inapoa kidogo.Mbona steiki kiloTZS 9 000 kawaidaaTZS 5 000 KWA mikoa ya jirani na Dodoma
Na nyama je? Mwaka Jana mwezi wa 6 kilo SHS 6500 leo 9000.