Mafuta ya kupikia yamepanda bei

alikuwa anamaanisha lita 3
Yeah hapo sawa

Ni kweli bei zipo juu sana aisee.... Tarehe 19 Dec 2020 nilinunua yale ya Korie lita 10 ni elfu 37 wakati yalikua elfu 29 mwezi September 2020 kwenye duka hilo hilo nililonunua.

Naamini leo hii yatakua yamepanda zaidi.
 
Muhimu ni kuruhusu uingizaji wa bidhaa zingine kutoka nchi zingine
Mafuta yote yameongezwa ushuru/kodi kwenye bajet ya mwaka huu kwahiyo lazima yapande bei mkuu. Pamoja na maji ya kunywa ya kwenye chupa

Tatizo wakati wa bajeti huwa hawaelezi ukweli vizuri tuelewe au hatufuatilii
 
Wanafanya kufidia Ela zilizotumika kwenye uchafuzi
 
Mimi napika najua bei zaa mafuta vizuri kabisa litre 3 ya sundrop nanunua kwa 15k till now, ila nikienda plant za alizeti litre5 nanunua kwa 20k
. Mzee umeanza kununua leo nn?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom