Mafuta ya kupaka during sex act

Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
584
267
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
 
Kama mpenzi wako anakuwa mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.

Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.

Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza pepeta zake shambani kule Mvomero.
 
swafi!
 
Tumia saa moja KumcheZea mpenzi Wako ili mwili wake Utoe natural Lubricants then Mwanze kupiga Msungunyungu (kuegegedana)
 
Kuna mademu wengine wapo naturally dry. Hata ukiplay kiasi gani analowa kidogo sana. Na baada ya kupiga machine sana anakauka haraka. So lubricant ina play part hapo. Hata mm nilikua nae mmoja wa hivyo. Siku za mwanzoni alinipa tabu kidogo. Nikamuuliza several times nikagundua ndivyo alivyo. Na yy ndie aliekuwa anaandaa lubs kabisa. So anajifahamu alivyo.
 
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.

umeipata Coment yangu? Kama unaswali niulize
 
tumia Greece.

Ukimaanisha Grease?

multi-purpose-grease-250x250.jpeg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom