Mafuta ya kukuza ndevu na kuondoa uwalaza

Ingekuwa ni kweli watu wenye pesa ambao wanakwenda kufanya hair transplant surgery wangekuwa wateja wa zuri wa hii bidhaa na isingekuwapo.

Kwa kifupi hii hali sio ugonjwa ni disorder tu kama vile mtu kusa mfupi kupita kawaida, kudumaa, kuwa mrefu kupitiliza, kuwa albino, kuwa mnene isiyo kawaida. So ni mambo ya kawaida na kuya accept sababu hayakuondolei chochote kwenye maisha yako.

Kama unakipara sio jambo la fedheha its all about fashion.

Wanaume wenye vipara kisayansi ndio wanaume wenye masculinity scale kubwa zaidi above 100%. Yaani mtu ambaye ana higher levels of testosterone huwa anakuwa na higher energy levels. Tazama hata wanawake wenye hormone hiyo huwa wengi hawaolewi sababu wanaume hawawezi kuwa na mwanamke ambaye ana hiyo hormones unless akafanyiwe treatment ishuke.

Mwanaume mwenye kipara akijiweka smart kwa maana ya kunyoa, akavaa vizuri na akanukia vema, akachonga ndevu zake vizuri, akawa na kipato, asiwe muongeaji sana, akawa na deep voice, akawa ni muongeaji kidogo but vitendo ndio sana, ana possibility...sio probability..... Possibility ya 90% kumvutia mwanamke naturally bila kumtongoza wala kufanya advances zozote, sababu wanawake huwa wanakuwa stimulated na hormones zao estrogen and progesterone ambazo huwa na nguvu mara dufu pale anapokutana na mwanaume anae display masculinity details kwake.
Masculine details nyingine ni miuonekano wa mwili kwa maana usiwe na kitambi kama mimba uwe na tumbo limekatika vizuri, uwe smart kwa mavazi na muonekano, uchonge ndevu zako mtindo mzuri sio unaachia midevu na hauzisafishi. Nitakuwekea picha hapa ya brothers wanaonyoa upara na wanavyowachanganya wadada.

Mwanaume mwenye higher levels za teste testosterone hormones huwa mwili wake unakuwa very high productively kwenye swala la kufanya mapenzi. Kwao hii huwa ni kama wana extra batteries ukicompare na average humans.

Kuna vingi vipo associated na mvuto wa mwanaume naturally kwa mwanamke kipara ni mojawapo. Unaweza sikia mdada anasema mimi sipendi mwanaume anakipara ila ndie anaemtomba na anafurahia sababu jamaa show yake si ya kitoto, wanasema sijui pesa sijui nini but trust me.... Mwanamke katu huwa hamuachi mwanaume anaempa show vizuri kitandani, wanakanuni yao huwa wamasema a hard dick side dude is sweeter than a sugar daddy who pays the bills....


So mzee atalipa bili zote, mtoto stress zitamuisha unadhani mwisho wa siku atataka nini?! And hakuna mwanamke mgumu kutosheka kama ambaye hana stress tena ameridhika huwa anataka ukuni masaa yote. I speak this from experience......

Ntakuacha na picha za baadhi ya watu mashuhuri wenye style ya upara. View attachment 1506713View attachment 1506714View attachment 1506715View attachment 1506716View attachment 1506718View attachment 1506719View attachment 1506721View attachment 1506722View attachment 1506723View attachment 1506724View attachment 1506725View attachment 1506726View attachment 1506727
Tatizo wengine kwa mabichwa yetu haya tukinyoa vipara itakua balaa
 
Back
Top Bottom