Mafuta ya kujichua kwa wanawake

Si kila mtu parachute inampenda jamani
sijui kwa nini tatzo hili linawakumba wanawake wengi hivi, mimi wangu nimechoma makopo yote ya cream, nimemnunulia mafuta ya nazi parachutte, ila nahisi kanunua mengine mana huwa anavyopaka anajificha ficha, wakati mwingine anapaka mafuta bafuni
 
Hongera unajua majukumu yako

Mtoa mada ata haya mazuri hayachubui ila kuna ile maji yake ikishawekwa lazima tu ung'ae
Asante mkuu, maisha ndio haya haya hela ya bugati sina hata mafuta nayo nishindwe
 
Atumie mamiz, movit, body line na mafuta mengine yote ya mgando pia na ya kula itamfaa zaidi kumfanya abaki asilia..
 
Back
Top Bottom