Kuna mwanajf alikuwa anaitwa Marco Polo?hivi hii ID marehemu alimrithisha mwanae nini?
Kuna mwanajf alikuwa anaitwa Marco Polo?hivi hii ID marehemu alimrithisha mwanae nini?
Basi hapo mtoa mada ukute kajua SH Amon ni mafuta ya uhakika zaidi.Fair & white lotion kopo refu la rangi ya Gold hii haichubui Mkuu...ila kwa uhakika zaidi nunua SH Amon...anabaki na ngozi yake anakua soft tu.
Basi hapo mtoa mada ukute kajua SH Amon ni mafuta ya uhakika zaidi.
muulize uone.umenichekesha Mkuu....atakua kaniacha hoi.
Atajibu tu kama kaona commentsmuulize uone.
sijui kusema ukweliDuuh huyo jamaa ina maana alishafariki? Kuna siku aliniambiaga nimemuibia user name yake nakumbuka ilikuwa 2015 kipindi cha kampeni za Jiwe....japo hiyo user name ni kifupi cha majina yangu halisi.
R.I.P
sijui kwa nini tatzo hili linawakumba wanawake wengi hivi, mimi wangu nimechoma makopo yote ya cream, nimemnunulia mafuta ya nazi parachutte, ila nahisi kanunua mengine mana huwa anavyopaka anajificha ficha, wakati mwingine anapaka mafuta bafuniHili Tatizo ni la wanawake wengi sana, mie wangu nimempiga marufuku na sitaki kuona anabadilisha ngozi yake
Nimemwambia atumie lotion za kawaida kama Nivea,vaseline,cocoa butter na nyingine ambazo ni brand at least
Uzuri wake wangu amekubari na anatumia sasa
Me natumia vaseline tu inantoshaNdo yapi hayo..Nataka nikununulie
Aisee hadi weye unayajua haya?American Dream
Kumbe hauna gharama..Safi sana..Ya laki 2 yapi sasa?Me natumia vaseline tu inantosha
Swali nzuriAmekubali kuacha kujichubua?
..Kumbe hauna gharama..Safi sana..Ya laki 2 yapi sasa?
Kwani unafikiri hawajui kuwa kuna lotion za kuwafanya wawe laini,wanachohitaji wawe na karangi flani hivi ka weupe kama sio kujichubua kabisa,kuna mmoja ninafanya nae kazi nilikuwa najua ni mweupe,karudi juzi kutoka likizo,kwao vijijini,kumbe ni mweusi balaa...Fair & white lotion kopo refu la rangi ya Gold hii haichubui Mkuu...ila kwa uhakika zaidi nunua SH Amon...anabaki na ngozi yake anakua soft tu.