Mafuta Ya Break ni dawa Ya mmba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta Ya Break ni dawa Ya mmba

Discussion in 'JF Doctor' started by mfupa2, May 5, 2012.

 1. m

  mfupa2 Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ivi ni kweli Mafuta Ya Break ya Gari au Pikipiki ni dawa na inatibu Matatizo Ya Ngozi Kama mmba????? Sielewi kitu Kuhusu hili
   
 2. M

  Malikauli Senior Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Umenikumbusha mbali sana,enzi hizo kijijini niliwahi pata ushauri huo na nikatumia,ni kweli within few days fungus inatoweka ila haichukui muda tena,waone wataalam mkuu kuna dawa ni efficient sana,naamini fungus yoyote hutibika hospitalini
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Labda kama ni ya nje lkn kama inatoka inside haitibu mpaka unywe vidonge!
   
Loading...