Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
1,738
2,000
Polee sanaa mkuu...

Nilshawahi patwa na hilo tatzo mara tatu..
Mara ya kwanza nilitibiwa na dawa za kienyeji...kikapotea

Zen kikaja mara ya pili nikaenda hospitl, dooh nilijuta Mana nilikamuliwa bila ganzi na kusokomezwa mapamba Ila mwsho wa siku nikabaki na kovu tu.

Mara ya tatu kilivyoanza kuwasha tuu kuna mmama akanielekeza nichukue majani fulani hv huwa yanatumika kama ufagio uko vjjn au majani ya tembele,wanayaweka karibu na moto then unabandika sehemu husika kama mara tatu hv...basi hakijawahi kujirudia tena adi leo hii.
 
Mlatino Zeshalo

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
762
1,000
Mkuu hii kitu me niliipata kwenye kidole cha kati mkono wa kulia. Hatari. Wengi wakasema nitumie dawa za kienyeji, nilitumia hadi mzigo ukaiva. Lakini nilikuwa napata maumivu muda wa kulala maana mapigo ya moyo unayasikia yanapigia kwenye kidole.

Kijijini walikuwa wanakamua daily but usiku ngoma inajaa tena. Kidole kikaanza kutoa harufu. Ikabidi niombe waniwahishe zahati, ilikuwa jmos, zahanati pamefungwa. Nikaenda home kwa mganga. Akanichoma sindano ya ganzi then akachana sehemu kubwa na wembe akatoa uchafu wote. Akanifunga na bandage then akaniandikia dawa za kuwa nameza. Akanishauri niwe naenda clinic kusafishwa kila baada ya siju moja.

Hiyo siku nakumbuka nililala fresh, kidole hakikuuma hata kidogo. Nikapata doctor mstaafu wa jeshi ana pharmacy yake sehem. Nikawa naenda clinic. Huyo doctor alikuwa kiazi kishenz, kila nikienda anatoa bandage anaweka dawa then anafunga nyingine.

Week mbili kidole hakina dalili ya kupona. Nikawashilikisha wazazi maana wakati wote nilikuwa na bro tunahangaika. Wazee walinimind but wakanipeleka kwa nurse flani mbobezi wa vidonda. Yule nurse aliponiona akaifumgua ile bandage, kidole kilikuwa kimeanza kuoza. Mamangu alitoa machozi, nurse akaitoa ngozi yote ya kidoleni maana ilikuwa siyo ngozi tena. Kidole kilikuwa kimeanza kutunga funza. Yule nurse alinihudumia vizuri sana. Alinisafisha kidonda akanipa vifaa na kunielekezakujihudumia mwenyewe. Balaa likaanza kidole kikawa kinajikunja hakitaki kunyooka. Nikaanza kuwa naenda nurse ananinyoosha maana maza anahuruma sana. Hadi nilipona kabisa

16296646103002731746940454427028.jpg
 
TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,488

View attachment 1903980
polee sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom