mafuta ya alizeti

sky_haf

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
220
23
JF Doctors, mafuta ya alizeti yana umuhimu gani katika afya ya binadamu(kwa kujipaka)??
 
Mkuu.@sky_ha mimi kwa ushauri wangu kwa kujipaka tumia Mafuta ya Nazi au Mafuta ya zaituni kama huko nyumbani yanapatika usitumie mafuta ya Alizeti kwa kujipaka.
 
That's good of you_alwayz on time with very usefull comment(kwenye jukwaa hili-you are very usefull mkuu)..God bless
 
Mkuu,mi ni mmoja wa watumiaji wa mafuta ya alizeti katika kupaka,je unaweza kuelezea madhara(kama yapo) yanayotokana na matumizi yz mafuta haya? natanguliza shukrani.
 
Mkuu.@sky_ha mimi kwa ushauri wangu kwa kujipaka tumia Mafuta ya Nazi au Mafuta ya zaituni kama huko nyumbani yanapatika usitumie mafuta ya Alizeti kwa kujipaka.

Mkuu,mi ni mmoja wa watumiaji wa mafuta ya alizeti katika kupaka,je unaweza kuelezea madhara(kama yapo) yanayotokana na matumizi yz mafuta haya? natanguliza shukrani.
 
Mafuta ya alizeti si mabaya kupaka wala si mazri pia kupaka, ila kama hakuna mafuta yenye virutubisho vya ngoz waweza kupaka tu maana hayo hayagandi na hayazibi njia za kumwili kupumua wadau.
pia si justification kwa miili yooote kwani kuna cell guard tofauti pia nalo li napaswa kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom