Mafuta bei juu kuanzia kesho, baadhi wafunga vituo kusubiri bei mpya

Hapa MAJANGA TU! Serikali ya kusambaza umaskini nchini katika ubora wake.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta(EWURA) imetangaza ongezeko la gharama za mafuta nchini kuanzia kesho Julai 05, 2016 kutokana na kupanda kwa bei ya nishati hiyo duniani.

Petroli itauzwa shilingi 1888 badala ya shilingi 1865 ya sasa huku Diseli ikiuzwa shilingi 1720 badala ya shilingi 1633 na Mafuta ya taa nayo yakiuzwa shilingi 1687 badala ya shilingi 1607 ya sasa.

Saa chache baada ya wafanyabiashara kugundua kupanda huko kwa bei baadhi ya vituo vimefungwa kusubiri bei mpya ambapo onyo limetolewa juu yao.

Tuliipenda wenyewe
 
Habari wana JF,

Je kuna yeyote analiye na taarifa za kama mafuta yatapanda au kushuka bei kuanzia kesho tarehe 06/July/2016.

Ahsante
 
Ni kweli, kuna mkoa wafanyabiashara wa mafuta wamefunga vituo kwa madai hakuna mafuta lakini EWURA imedai mafuta yapo
Wacha tuteseke na tukifanikiwa kufika 2020 ndio tutakuwa na akili ya kutumia kura zetu bila kukurupuka
 
Bado hatujakoma tunasubiri nauli zipande, sababu tumewapaenda wenyewe wacha wele(sijui kinanani) waisome namba.
Unajua Nyie Bavicha hamna tofauti na nyumbu na ndio maana mnaitwa nyumbu na hawakukosea! Hivi ni lini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta? Hivi kumbe hata budget hamkusoma mna kaa kupiga humu kelele?

Bei ya mafuta imekuwa ikipanda na kushuka kutegemeana na soko la dunia.. Mbona EWURA wamesema wazi kuwa ni kutokana na kupanda bei ya mafuta sokoni na duniani kote? Mnaanza kuropoka eti VAT? Hivi unyumbu mtaacha lini?

Yani kila jambo mnalialia tuu kumbe hata budget kuisoma huwa hamuisomi! Ingekuwa ni swala la VAT yangepanda toka tarehe 1 july!

Hakuna ongezeko la kodi kwenye mafuta na petrol acheni kuropoka nyie Bawacha!
Sio kupanda kwa bei duniani iyo ni nyongeza ya vat 18% per bado na vingine tutasikia tu soon

Hapa MAJANGA TU! Serikali ya kusambaza umaskini nchini katika ubora wake.
 
Unajua Nyie Bavicha hamna tofauti na nyumbu na ndio maana mnaitwa nyumbu na hawakukosea! Hivi ni lini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta? Hivi kumbe hata budget hamkusoma mna kaa kupiga humu kelele?

Bei ya mafuta imekuwa ikipanda na kushuka kutegemeana na soko la dunia.. Mbona EWURA wamesema wazi kuwa ni kutokana na kupanda bei ya mafuta sokoni na duniani kote? Mnaanza kuropoka eti VAT? Hivi unyumbu mtaacha lini?

Yani kila jambo mnalialia tuu kumbe hata budget kuisoma huwa hamuisomi! Ingekuwa ni swala la VAT yangepanda toka tarehe 1 july!

Hakuna ongezeko la kodi kwenye mafuta na petrol acheni kuropoka nyie Bawacha!
Budget za nchi hii hazijawahi tatua matatizo ya wananchi.
 
Tuliipenda wenyewe
Bavicha mtaendelea kuitwa nyumbu kwakuwa jina hilo lina wafaa..
Huwa mnajitapa humu kujifanya wafatiliaji wa mambo kumbe bure kabisa maana hadi leo hamjui kuwa kodi kwenye petrol na mafuta haikuongezwa na wala hakukuwekwa VAT!

Habari inasema wazi kuwa ni kupanda bei duniani ndio kumepelekea kupanda kwa bei nyie mnakimbilia ooh kodi ooh VAT..
Ccm mbele kwa mbele....tuliitaka wenyewee

Hapo haupo mbali mkuu ni adhabu ya kwanini tulikubali kudanganywa kwa tshirts na vilemba
 
Halafu kuna wale wenye akili ndogo wanakuja hapa kuandika bila woga wala aibu kwamba UKAWA wanasababisha umaskini nchini!! Utasababisha vipi umaskini wakati hujawahi kushika dola!?

Utasababisha vipi umaskini wakati hujawahi kuhusika hata na ufisadi, upokeaji rushwa, ujangili, wizi nchini? Ujinga wa baadhi ya Watanzania ni JANGA KUBWA LA TAIFA.

Daaaa hakuna pa kukimbilia kila kona ni kibano,
 
Kila mtu anafanya anavyotaka tu sasa!!! Hahahahahah waliyapunguza mwanzoni ili kusoma upepo, huenda yakapanda tena na tena na tena
 
Back
Top Bottom