Mafuriko ya kihistoria Houston, Marekani: Watu 7 wafariki dunia

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Houston is reeling from floods that swept across the area Monday morning, leaving at least six people dead, hundreds displaced and thousands more without power.

Over 17 inches of rain fell in Harris County, Texas.

Houston Intercontinental Airport received 9.92 inches of rain Monday making it the wettest April day on record and the second wettest day ever for the city.

Texas Gov. Greg Abbott declared a state of disaster for several counties. Houston Mayor Sylvester Turner also urged residents to stay home, citing the severe floods.

CenterPoint Energy said more than 13,000 customers were still without power. Meanwhile, 800 flights were canceled at Houston’s Bush Airport.

The Houston Independent School District, the state’s largest, and many other schools affected by the flooding are closed again today.

Source: ABC News

download.jpg
WireAP_1dce731226504fc1838218c48c245cd4_16x9_1600.jpg
download.jpg
Severe-Weather-Texas.JPEG-e.jpg
 
Mafuriko yametokea Houston jana na lep,ambayo mtangazaji wa ABC News ameyaita 'historic',watu kadhaa wamekufa
 
Umeshasema Houston. Sisi huku Tanzania yanatuhusu nini? Fikiria Impact ya habari yako kabla kubandika upuuzi humu. Tuondolee this nonsense, ndiyo ujinga huu unawaponza wabongo wengi. Mtu yupo hapa bongo eti anawaza Beyoncé kala nini jana, atajitahidi na yeye apike kisha kubandika insta na fesibuku wakati Beyoncé doesn't give a damn kuhusu huyo wannabe wa kibongo. Jirekebisheni.
 
Acha kuwa narrow minded...si kila mtu humu anapost tokea Mwananyamala kama wewe....punguza ushamba
 
Umeshasema Houston. Sisi huku Tanzania yanatuhusu nini? Fikiria Impact ya habari yako kabla kubandika upuuzi humu. Tuondolee this nonsense, ndiyo ujinga huu unawaponza wabongo wengi. Mtu yupo hapa bongo eti anawaza Beyoncé kala nini jana, atajitahidi na yeye apike kisha kubandika insta na fesibuku wakati Beyoncé doesn't give a damn kuhusu huyo wannabe wa kibongo. Jirekebisheni.
Asilimia Mia wewe Ni mchawi orijino, asilimia 99, huendi maendeleo, kwaheri
 
Umeshasema Houston. Sisi huku Tanzania yanatuhusu nini? Fikiria Impact ya habari yako kabla kubandika upuuzi humu. Tuondolee this nonsense, ndiyo ujinga huu unawaponza wabongo wengi. Mtu yupo hapa bongo eti anawaza Beyoncé kala nini jana, atajitahidi na yeye apike kisha kubandika insta na fesibuku wakati Beyoncé doesn't give a damn kuhusu huyo wannabe wa kibongo. Jirekebisheni.
Kweli jamiiforum imepoteza weledi...hivi kila taarifa ikiwa inahusu nchi yako basi hata taarifa ya Habari channel yoyote kusingekuwa na Habari za kimataifa basi ingepigwa marufuku wawe wanatangaza Habari za Tanzania tu...wewe hujaenda shule na iwapo umeenda utakuwa msomi makaratasi Yaani kichwani huna kitu....unajua manufaa ya kupata taarifa za nje ya nchi?!
Wewe utakuwa useless kabisa unasubiria neema ikuangukie Pumbaaaaaaaaaavu....na wanipeleke mahakamani kukuita pumbafu tena akili mgando
 
wewe jamaa wa wapi hutaki tupate International News...tena za majanga kama hayo nikiendelea kuhoji utasema mimi nina Phd...haya bhana..Taeco kamaliza kila kitu.
 
Unafikiria weathet news ni boring? Kwanza Houston ni nyumbani kwake Ted Cruz. Huyu wanamwita mcha Mungu. Indeed yule mtu ni mcha Mungu. Amesema anataka kuwaua gays. Tazama whatdoesitmean.com uone wanaongea nini kuhusu earthquakes. Uelewe hizi natural calamities wanaweza kuzitengeneza kwa makusudi siku hizi. Lakini interest yangu na Houston ni yule kijana wa Tanzania aliyeuawa kule na kibaka wiki mbili zilizopita.
 
Back
Top Bottom