Mafuriko mto Mississippi - Mephis, TN, USA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko mto Mississippi - Mephis, TN, USA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, May 10, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndiyo hali halisi wenzetu walivyo na mapokea ya kujenga majiji kando kando ya mito kurahisisha mfumo wa maji taka, balaa sasa mafuriko yanapotokea ni kizaazaa babu kubwa.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Naliona Piramid la tatu kwa ukubwa duniani lilivyozingirwa na maji kando ya Rt 40 jijini Mephis. Niliwahi kufika hapa miaka mitano iliyopita nilipotembelea USA. Ama kwa kweli hali inafadhaisha kwa wanaoishi hapo.
   
 4. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Janga la kitaifa,uzuri wenzetu Insuarance hawana usumbufu,kama yaliyojitokeza Gongo la Mboto.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Insurance za kwao hazikubali kulipa maafa yanayotokea natural kama mafuriko au kusababishwa na vita. Hapa ni jukumu la serikali tu kusaidia.
   
Loading...