Mafuriko makubwa ya maji yaliyotokea nchini Pakistan mjini Karachi. Haijawahi kutokea miaka mingi hii ni gharika

Inamaana Jobo ameenda kumalizia hasira zake huko?

Watabiri wa hali ya hewa wanasemaje kuhusu hili? Walitoa tahadhari na kuweka breaking news za kutosha kama walivyokua wanatuchachafya?

Tunawaombea madhara yasiwe makubwa sana, inasikitisha na kutisha sana.

Huu ndio wakati muafaka vyombo vyetu vyakukabiliana na maafa kujifunza na kujiimarisha kupitia yanayoendelea kwa wenzetu.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom