Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,080
Kwa nyumba zenu zamiti na udongo hamponi hata mmoja mutamalizika wote.Mungu tunusuru, ikitokea hapa kwetu na hizi nyumba zetu za miti.
Hivi vimbunga vinakuaga na akili, haviwezi kupoteza muda na nguvu kuja huku kwa Walking Deads waliosababishwa na CCMMungu tunusuru, ikitokea hapa kwetu na hizi nyumba zetu za miti.
Kwa matukio kama haya wanadamu kama hatutubu dhambi zetu, kweli tuna mioyo migumu
Pakistan ni Taifa la magaidi yaani walitakiwa wafutike wote paka hawa
DuuhPakistan ni Taifa la magaidi yaani walitakiwa wafutike wote paka hawa