Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,633
- 218,063
Kwenye unafiki kama huu sitamung'unya maneno asilani ! Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko .
Kitendo cha ITV kuacha kuwahoji viongozi wa serikali wanaohusika na uokozi na kumhoji Katibu mwenezi duni wa ccm asiye na mbele wala nyuma ni kitendo cha aibu kilicholenga kufanya kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Vitendo vidogo vidogo na vya hovyo kama hivi vikinyamaziwa vitashusha hadhi ya nchi yetu na kuonekana wote tuliomo ni wajinga , ifahamike kwamba masuala ya majanga hayahusiani na vyama vya siasa , ITV ni chombo huru hamna haja ya kutumikishwa kuibeba ccm hata kwenye mambo ya kijinga .
.......... Itaendelea ....