Mafuriko huko Monduli yaleta madhara vifo na uharibifu mkubwa..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko huko Monduli yaleta madhara vifo na uharibifu mkubwa..!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Nicksixyo, Nov 26, 2011.

 1. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  5.jpg Hatimae kichaka kimemnusuru asipotee angalao ndugu wauone mwili kwa maziko.
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha.
   
 3. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Maskini, kweli inasikitisha. Mwenyezi Mungu amrehemu.
   
 4. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 829
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
   
 5. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 829
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Pole kwa wote wliopoteza mali na ndugu na jamaa...........
   
 6. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yaani ndio TBC REDIO Wanatangaza saahii,lori lililokuwa linabeba katapila,limechukuliwa na mafuriko,Gari aina ya mark 2 na basi la karatu kwenda Rombo yameponea kusombwa na korongo hilo linalosemekana halijawahi kupitisha maji mengi hivyo kwa miaka ya karibuni hadi kumega kipande cha barabara ya lami nusu. 14.jpg hii ndio lami iliyomegeka na kusababisha lori kuchukuliwa.
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Poleni wana MONDULI...
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,961
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. J

  Juliebrown New Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da mungu atusaidie its terible
   
Loading...