Mafuriko Dar: A case for the presidential candidates 2015!

Naomba nikuulize @ NYC, mkiitwa msimame pale uwanja wa taifa wewe mwenye uwezo wa kuendesha mtambo wa matairi 18, na akawepo rubani wa helkopta ambayo haina matairi na akaigandisha hewani, pia akatokea rubani wa chopa yenye tairi 3, nani ataonekana kilaza licha ya kuwa na previllages za kusoma chuo chochote duniani?
 
Kakajambazi kwa kawaida vilaza huwa hawajijui ila kuendesha ndege huku majuu huhitaji shule naomba kufunga mjadala huu sasa imetosha. Ha! Ha! Ha!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Matola thaanks bro! People imetosha back to ishu zingine muhimu za taifa! Ha! Ha! Ha! MUCH RESPECT wale tuliokwaruzana kwenye hii thread nothing personal ni mapungufu tu ya kibinadam tusameheane wote tuna nia njema na taifa, Kiranga Luv you my Bro you are a heck of a debater hope to have you in my next thread soon! - Le Baharia! Ha! Ha! Ha!

Ulidhani kilaza anaweza akaenda toe to toe na jini-mjuvi,

Pindi utakapo yumbisha ukweli, Watu wataendelea kukukoma kiladi kama nyani.
 
Willy,

Tumejuana humu miaka saba sasa, humu kwenye internet.
Naomba niambie toka moyoni kaka unaamini Lowassa anaweza kuninunua?
 
Matola thaanks bro! People imetosha back to ishu zingine muhimu za taifa! Ha! Ha! Ha! MUCH RESPECT wale tuliokwaruzana kwenye hii thread nothing personal ni mapungufu tu ya kibinadam tusameheane wote tuna nia njema na taifa, Kiranga Luv you my Bro you are a heck of a debater hope to have you in my next thread soon! - Le Baharia! Ha! Ha! Ha!

Boss usikimbie wala kujidai uko na peace na Kiranga kuna maswali muhimu kayauliza awali hujayajibu kutokana na shutuma ulizomwekea hapa. Jibu kama huwezi, uungwana ni kumwomba msamaha.

Nimesoma kwa makini matundiko yote hapa; kama huta mwomba msamaha kiranga ama kujibu/kuthibitisha aliyokutaka ufanye hivyo then sitakuwa biased ku-conclude kwamba:
1. Sometimes or most of the times wewe ni kilaza sana
2. Nina shaka na maturity yako ki-fikra ama ni kiumri sijui manaka argument zako haziko professional nikilinganisha na Kiranga kwani mlitawala mjadala. Na usipoangalia hili, aisee bro utakapofika bongo utakuja shangaa kwamba watu hawajalala unavyodhani.

Ni kushauri tu, US sio the only benchmark, na usidhani US ndo kila kitu. Hizo sijui cv na nini unazotupa hapa huku bongo hazina maana hata kidogo, njoo utakukuta ila usishangae. Tupo bwana.
 
Usipoteze muda na huyu kilaza aka DJ Agwe.
 
Besides, nadhani JF inahitaji kamati ya upatanishi ama msuluhishi something like thatm Fairplayer ungeweza saidia manake sometimes nakuwa nataka kupata a professional thing naishia kusoma mipasho isiyo kuwa na tija. Ila ktk huo upatanishi kusiwe na unafki mtu aambiwe wazi. Si kama huyu anakuja na allegations mfano anaambiwa basi ataje Blog hasemi-anatoa tu mipovu mpaka watu tunapata hasira. Nikisoma hata kama ni upupu uwe na some evidence si tu mtu anatoa sweepinh statement kisa kazidiwa na hoja. Inakera sana. Naheshimu maoni na kutofaitiana ila siheshimu kukera mwenzako bila misingi ya maana.
 
Kiranga tulikumiss kweli kweli wajinga wajinga kama hawa hakuna kuwalazia damu!

I am back ma realer, si unajua michongo ya viwanjani tena kujimix. Ado ado aste aste, labalaba kiushkaji.
 
Kabla ya Mzee JSM kugombea nafasi ya rais na kunyofolewa na NEC, hakwenda wala kutuma salam za rambi rambi kwa wahanga wa Mv Bukoba, mkumbushe aombe radhi.

Daaaaa,

Hii katika "physical combat" inaitwa "sucker punch", huioni hata ilipotokea.

Watu wanachonga saaana, kumbe wanajirushia mawe wenyewe!!!

Mikito kama hii utaona muhusika anairuka tu, anajifanya kama hajaiona. Hawezi kujibu.
 
Back
Top Bottom