Mafuriko Dar: A case for the presidential candidates 2015!

- Saafi sana, huyu anaonekana yuko serious sana! - William

Mkuu inaelekea ushabiki wako kwa watu fulani unakupofusha sana, mpaka unajipinga mwenyewe ( contradiction),

Katika mada yako, unahoji kuwa hao watu ambao wanataka kutumikia watanzania katika nafasi ya urais, wapo wapi kujitokeza kuwapa pole na kuungana katika shughuli za uokoaji,... sasa unaambiwa Sitta yupo kwake anasema urais utamfuata, tena unasema huyo ndo yupo makini,...mbona yeye hajatia mguu, inakuwaje awe makini kama hayupo kwenye eneo la tukio....,

Tusitumie majanga yanayotokea kisiasa, ni dharau kubwa kwa waathirika, ni kama tunatake advantage of the situation. Tuweke siasa pembeni, tuomboleze na kusaidiane kipindi hichi kigumu.
 
Kiranga huna hoja unachojua ni mipasho tu na vitisho tu kwani mke wako aliingiaje pale anapofanya kazi mbona itakuwa aibu tukienda hiyo njia! Wacha wewe eti Lowlives! Ha! Ha! Kwa hiyo kazi ya dukani tena la nguo! Ha! Ha!
- Kiranga unataka tuongelee habari baba yako na uchawi alipokuwa pale Ubalozini na ule wizi wake wa Credit Card na kumuuzia Ubunge Mwapachu! Ha! Ha! Uko kwenye kioo acha matusi wewe!
- Mafuriko ni kipimo cha uongozi na kampeni za Urais hasa CCM zilishaanza So walitakiwa kuwepo wagombea wote kwenye haya mafuriko.
huu upuuzi mtupu. We hoja yako hapa iko wapi? Ulikuwa unamvutia pumzi ili akujibu umchafue?
Acha kuanzisha mada ili kuleta mipasho. Hoja zako dhaifu ICU. Ponda raha na ukirudi kaishi MASAKI.
Tuache watz na TZ yetu.
 
Mwita mbona tumeambiwa kuna viongozi wa Chadema wamekuwepo huko I mean walitakiwa wawepo huko wanaotaka Urais just to show support kwa waathirika!

Le Baharia,

Hapa tunazungumzia wagombea watarajiwa wa ccm, au umebadilisha mwelekeo? Kwakuwa ccm ndiko kumeanza kampeni za kumrithi kikwete, chadema sijasikia hilo. Tunajiandaa na uchaguzi ndani ya chama kuanzia mwaka kesho. Mambo ya wagombea uraisi bado sana.

Katika post yangu nimewasema wabunge wote wa dsm, sikutaja vyama vyao kwakuwa nimewazungumzia wote kwa ujumla wao. Hata hivyo nataka nikufahamishe kwamba, mwenyekiti wa Bavicha Bw. John Heche pamoja na vijana kadhaa wa chadema wamekuwa wakitoa misaada katika maeneo mbalimbali yaliyokumbwa na mafuriko. Na amefanya hivyo kwa nia moja ya kuwasaidia watanzania wenzake, nla wala si mgombea uraisi kama wale wenzako wa ccm walioshindwa hata kutoa kauli huku wakitarajia kuomba ridhaa ya kutuongoza.

Na muhimu hapa, lingekuwa jambo la busara sana kama ungemshauri mwenyekiti wako ajifunze kujiandaa kukabiliana na majanga, lakini kubwa zaidi ajifunze kutembelea waathirika wa mafuriko mara moja tukio linapotokea ili aweze kupima ukubwa wa tatizo na kutoa maelekezo papo hapo, asisubiri akina meck sadic na kova wanaopita pita angani na helikopta bila kutoa msaada kwa wananchi.
 
Kiranga huna hoja unachojua ni mipasho tu na vitisho tu kwani mke wako aliingiaje pale anapofanya kazi mbona itakuwa aibu tukienda hiyo njia! Wacha wewe eti Lowlives! Ha! Ha! Kwa hiyo kazi ya dukani tena la nguo! Ha! Ha!

- Kiranga unataka tuongelee habari baba yako na uchawi alipokuwa pale Ubalozini na ule wizi wake wa Credit Card na kumuuzia Ubunge Mwapachu! Ha! Ha! Uko kwenye kioo acha matusi wewe!

- Mafuriko ni kipimo cha uongozi na kampeni za Urais hasa CCM zilishaanza So walitakiwa kuwepo wagombea wote kwenye haya mafuriko.

Kwangu mimi mtu anayeleta personal attacks za level hii huwa ananikera sana, moja kwa kuwa hawa walioongelewa hawatuhusu, na tena hata kama mna ugomvi wenu, sio sahihi, ki utu kuweka mambo ya familia, mara mke mara baba, ni bora kama umeamua kumchana mtu basi mchane yeye binafsi hatutajali sana!

Mbili
unachotuambia hakiwezi kutusaidia lolote zaidi ya kutupotezea muda kwa kusoma upuuz! Hata kama alikukwaza kwa namna moja ama nyingine ulipaswa kuchagua cha kuandika,coz hiyo ndo tofauti ya mwerevu na kinyume chake. Umechagua kinyume cha werevu hapo mkuu!

Mi naona umepungukiwa busara kiasi kwa kuwa mara zote tunachokitenda kwa wenzetu kinatutafsiri sisi zaidi kuliko wale tuliowatendea!

Ni hayo tu.

Binafsi umenikera!
 
No way Upande wangu ni impossible kushindwa it wont happen!
Wewe mtoto mzembe wa JSM umeishashindwa katika vita hii siku nyingi, umeishawahi kutamka hapa jukwaani nia yako ya kuingia msituni kama EL atawazidi kundi lako, na kudhihirisha kuwa umeshindwa kusoma upepo wa politics za bongo ukamualika Nape @NYC wakati huyu jamaa ameishapotea kwenye ramani ya siasa za bongo kwa kukosa mkakati na kuamua kuvamia hoja za CDM kila wakati. Kwishnee kundi lako na mzee Six. Kama wamepanga kukupa uwaziri wa mambo ya ndani basi utachekea chooni tu hupati kitu. EL ana mbinu na brain nzuri kuliko SS na katika hiki kinyang'anyiro winner takes all.
 
Le Mutuuuzzzz!

Naona mashambulizi yanakuzidia kaka. Hawa wanakujenga ili Six akija kuchukua madaraka uwaziri wa bwana Vuai ni wako na mie mshauri wako tu. Sitaki vyeo huko kwenye kuboronga.

Karibu ujijenge ujibu maswali yao.
 
Fairplay take it easy I have been in this game for too long, so far sijaamua nani wa kumsupport 100% na Urais 2015 lakini I like Sitta.

- Huenda Sitta hakuwepo kwenye mafuriko lakini siku zote ameonyesha na kusema wazi msimamo wake on serious ishus nilizozitaja kwenye heading yangu. I understand kwamba supporters wa Lowassa mko wengi sana humu na mnajaribu kila njia kutunyamazisha tusiokubali pesa zake chafu,

- Fairplayer in my right mind ninaweza kupungukiwa akili na kumkubali mwizi aliyetubia taifa na kuzitumia hela zile zile zetu wananchi kutununua na kumshangilia hapa JF. I know how the whole deal ya jinsi Lowassa wenziwe walivyokuwa wanachota zile Dola Laki na nusu Hazina kila siku na leo Lowassa anasema akipewa nafasi ataleta tena Richmond I mean sio wananchi wote tumelala Bro.

- Otherwise, mengine humu ni mambo ya Territory I am a Big Boy I can handle them, ha! Ha! Ha! Hawa Wagombea wanaopita mitaani wakigawa pesa chafu wangejitokeza kwenye haya mafuriko angalau. - Mutuz Le Baharia William
 
Tunatarajia mchapakazi na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya bunge ndugu Edward Lowassa atakuja na Road Map ya suluhisho la haya majanga
 
Fmpiganaji! Ha! Ha! arudishe hela zetu za Richmonduli kwanza, otherwise ni mchafu na ndiye baba wa ufisadi Tanzania.
 
Kiranga siuzi nguo za wanawake Dukani, nina Leseni Class A ya Haz Mart na Bio Hazard and Poison Handling, nina Operate Machine ndefu kama Treni yenye Mataili 18. Leseni yangu lazima iwe approved na Waziri wa Homeland Security wa USA, na katika hili taifa la kwanza Duniani wenye hizo Special Leseni kama yangu hawazidi 400 katika la Wananchi Million 350 lakini kuna wauza maduka ya nguo za ndani za Wanawake kila kona hapa US So kuwa na heshima kidogo. Nina Ass. Degree ya Criminology and Police Sciense na BA ya Political Sciense Halafu nina Leseni ya Ass. Marine Eng toka Belgium So kuwa na Respect Bro, ha! Ha! Sibebi taka!

- Wale wote wanaotaka kutuongoza walitakiwa kujitokeza sasa kwenye haya Mafuriko, watuonyeshe mfano kama wa Bush na Giuliani kwenye September 11, as moja ya kigezo cha kuwa kiongozi anayetujali wakati wa majanga ya taifa.
I think Kiranga has scored a big point on you Willy........hivi kweli kama si kuleta siasa kwenye mambo ya msingi ya kitaifa kama haya majanga unawezaje kuhusisha suala la mbio za urais 2015 na haya mafuriko??

I mean.... let's be realistic hata kama hiki kikiwa kigezo cha urais.....mtu si anaweza ku feck tu kujitokeza kwenye mafuriko ili aonekane anawajali waathirika wa mafuriko!!!kama viongozi wako wa ccm walivyozoea ku feck wakati wa kampeni kwa kupelekea nguo na vyakula kwa maskini vijijini ili waonekane wanajali........this is exactly the same scenario you want to bring here......kwa mtazamo wako....na inaonyesha limekukaa kweli hili kwani umezaliwa nalo...this is exactly the way ccm operates.....you know what!!! Kiranga where are you brother?

Kiranga has exactly revealed here what kind of a person you are.....

Mi sijui mna vita gani we na Kiranga lakini nilishawahi kusema humu jf kuwa ninakuona wewe kuwa a very big hypocrit on big issues just for the sake of political gain.........yaani Kiranga amekuchana in and out..........i'm glad that kumbe kuna jamaa wanakujua mbaya....

By the way.....talking of your capacity in making sense of your heading in this post.....Kiranga has a point on this too.....you know what!....from what i have been reading from your posts time and then............i now really fail to accept the fact you possess the above named educational achievements.....fairly speaking.....on this matter i can fully agree with Kiranga......sorry for you......and please don't take this personal with me!!!because i don' know you personally....i just comment from what i read from you (your posts)......
 
  • Thanks
Reactions: bht
Unajua uzuri wa JF tumeweza kuelewa ukweli wa nani ni nani kuhusu Lowassa humu ndani, I mean kuna wakati tulikuwa tunadanganyana sana hapa now we know the truth kwamba sio Serukamba, Sofia Simba, Makamba tu ambao tulidai hawajasoma kumbe wapo wengi tu mpaka humu kwa kweli ni maajabu ya Musa!
 
I read you ma realer.

Nimeamua ku-chill ingawa jamaa ananizushia mambo ambayo hata siyaju katika jitihada zake za siasa majitaka.

Lakini nilikuwa na imani kuendeleza mzozo si tija, na kwamba watu wa JF si watoto, na kwamba nishasema core points zangu mtu kama si mvivu wa kusoma akichambua atajua mchele upi na chuya zipi.

Na hii post yako ma realer inanionyesha nilikuwa sawa kwa sababu umenipata A to Z, kama ni electromagnetic spectrum umekusanya kote kuanzia Gamma rays mpaka Radio waves.

Watu wenye kazi zao wanataka kufanya mahesabu ya kufunga mwaka, wengine wanapanga vacations, kuna ndugu jamaa na marafiki wanaishi mabondeni huko inabidi tuwacheki, muda mchafu wa kujibizana na midubwana nincompoop ambayo hata kuandika degree zao haiwezi ntaupata wapi mie?

Naondoka na one of my favorite quotes kuhusu kubishana na wakalamba wanaojiona wanaweza kuwashikia watu akili kirahisi.

"A Wise man once told me don't argue with a fool, cause people from a distance can't tell who is who" - Guru
 
Unajua uzuri wa JF tumeweza kuelewa ukweli wa nani ni nani kuhusu Lowassa humu ndani, I mean kuna wakati tulikuwa tunadanganyana sana hapa now we know the truth kwamba sio Serukamba, Sofia Simba, Makamba tu ambao tulidai hawajasoma kumbe wapo wengi tu mpaka humu kwa kweli ni maajabu ya Musa!

Kubwa kuliko zote hii ya mh. Mkullo minster of finance! Hivi mh. Raisi haangalii vyeti kabla hajampa mtu uwaziri wa wizara nyeti kama hii! zipo wizara unaweza kucheza na politics lakini sio wizara nyeti kama ya fedha; ndiyo maana chungu hakina mlinzi hata mwehu anajichotea tu!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mkuu Chama what is the story behind Mkullo na Elimu yake? Kwa kweli what are the facts? I know the man nimewahi kuongea naye mara nyingi One on One on a personal level Good man na very Intelligent ila sijaelewa on his education kuna nini?
 
Back
Top Bottom