Mafuriko Dar: A case for the presidential candidates 2015! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko Dar: A case for the presidential candidates 2015!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Dec 22, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Kwanza naomba kutoa salam zangu za Rambi Rambi kwa Wananchi wote ambao kwa njia moja au nyingne wameathirika na mafuriko haya na hasa familia za waliopoteza maisha yao, MUNGU AWAPE NGUVU NA WABARIKIE BUSARA KWA KIPINDI HIKI KIGUMU SANA KWENU NA KWA TAIFA ZIMA.

  - HOWEVER: Now nyinyi ndugu zangu wananchi wa Tanzania, look here ni matukio kama haya ndio yanatakiwa kuwa kipimo cha uwezo wa wale wote wanaohangaika huku na kule kuhonga honga hela zao chafu kutaka kujiweka sawa na Urais wa 2015, I mean where are they now? Je mmemsikia hata mmoja wao akijitokeza huko kwenye mafuriko? Sasa kama hawawezi kujitokeza mkiwa na shida now Je wakishakuwa ndio watajitokeza?

  - I mean toka ishus za EPA, IPTL, MEREMETA, RICHIMONDULI, SUKARI JESHINI, BALALI NA BOT, hatujawahi kuwasikia hata wakitoa misimamo yao on the ishus, at least Mpiganaji Mh. Sitta peke yake and I hope atagombea, ndiye peke yake so far amekuwa mstari wa mbele kuweka wazi misimamo yake kwenye serious ishus ambazo ni kero kwetu walalahoi, sasa ni vyema tukajifunza kwamba kama hawajitokezi tukiwa na shida, basi hawatufai kushika Urais wa Jamhuri na tukumbuke haya wakati wa kampeni na uchaguzi ukifika,

  - Na pia swali muhimu sana hapa ni kwa nini Miaka 50 ya Uhuru hatuna System ya mifereji ya kisasa ya ku-deal na mvua kubwa kama hiii? Shame on wale wote waliowahi kushika Wizara inayohusika na mifereji in the past na tuhakikishie mgombea wa Urais 2015 hakuwahi kushika wizara hiyo!

  POLENI SANA WENZETU HUKO DAR NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

  William @..NYC,USA: Mutuz Le Baharia Big Show!
   
 2. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Baba na mwana wanaimba na kucheza:msela:...........Seya tutokeee vipi?

  Nadhani wamekusikia watakufikia.............kama baba mwenye nyumba hatujamuona iweje tuanze kumlaumu mpita njia?
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Nuff said!
   
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe umefanya nini kama mtanzania? Maana hao unaowasema ni watu pia kama mimi na kama wewe,
  Tusipime mtu kwa vipimo kama hivyo unavyo onyesha hapo kutoa msaada ni moyo bana.
   
 5. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Unasema na Rais wetu hajafika huko? Are you serious au?

  William
   
 7. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Nilisikia ametoa rambi rambi tu kwa mkuu wa mkoa, ila si ungeona hata picha yake.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,311
  Likes Received: 19,459
  Trophy Points: 280
  mh sitta yupo kwake huko kasema urais hautafuti utamtafuta mwenyewe.
   
 9. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Endeleeni kuwa wavumilivu na wapole
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mleta hoja kasema 2015 presidential candidates je Kikwete ni mmoja wapo?
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  William, watu makini wako majimboni kwao i mean kwa wapiga kura wao wabangaizaji tu ndio wako Dar, kwa hiyo si busara kukurupuka kutoa jimboni kwako kuja Dar ili uonekane kwenye TVii umepanda mtumbwi kwa sababu tu ya urais.
   
 12. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakulaumiwa ni "Founder wa nchi hii" Nyerere. Yeye "pekee" ndiyo alianzisha nchi hii. Kwa hiyo bora lawama zetu, hasira zetu, zote ziende kwake "Founder wa nchi hii' Mwalimu Nyerere.
   
 13. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  On my side umenifurahisha ulivyotumia rangi za bendera ya ukombozi. Am happy because nowadays you dance like a rebel.
   
 14. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Mkuu umesoma vizuri toka mwanzo??
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Tutamlalamikia Nyerere hadi lini 100yrs to come, 500yrs?, nyie wadanganyika msimsingizie Nyerere kwa kila kitu ameshatangulia mbele ya haki, Malaysia, China ziliachwa hivi hivi na mafounder wao lakini leo ziko mbali sisi tumekalia kucheza bao tu na kulalamika.
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Anahusikaje na mafuriko ya 2011??

  Lawama hizi ni kwa viongozi walioko madarakani sasa ...

  Lazimawaje na solution
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Sijakuelewa mkuu, I hope humaanishi CDM cause that will never happen, ha! ha! ha!


  William
   
 18. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mtoa huja samahani huwezi subiria mgombea urais wa miaka 4 ijayo ajeatoe ahadi za kutatua majanga na matatizo. Tuliahidiwa maisha bora na hao wagombea wakapata ulaji wanawapa maisha bora rafiki zao na ndugu zao. Wakubebeshwa zigo la lawama ni CCM ambao wameendelea kudidimiza uchumi bila ya kuwa na sera madhubuti ya kulikwamua Taifa letu. Wanachojali ni kick backs.

  Ndugu yangu Malechela, CCM walitengeneza Vision 2025, wakisema ni dira ya maendeleo, Je wewe binafsi uliisoma hio document? Kama ulisoma je uliwashauri nini? Kwa taarifa hio Vision 2025 haina mkakati wa kuondoa kero ya mifumo ya maji mvua barabarani, maji taka wala maji safi. Tunao mainjinia wengi hata wengine wamejikita kwenye siasa uchwara lakini hakuna alieenda mbele kuikosoa hio Vision 2025.

  Kama navyosema kila siku kila sekta bongo ni mbofumbofu. Kuanzia foleni mijini, umeme nchi nzima, vifo vya wajawazito, wachanga na wazazi mpaka ongezeko la ajali safarini, ukosefu wa ajira kwa vijana, kilimo kwanza usanii hakuna hata moja lilopewa mkakati na serikali ya CCM.
  Nakushauri ulaumu CCM na wale wanaokiendekeza. Bila mabadiliko ya kimfumo Tanzania itakuwa Tanzagiza kweli kweli.

  KAMA ULIVYOSEMA HUKO NYUMA WEKA MUNGU KWANZA KISHA MASLAHI YA NCHI MBELE, KAMA KILA MTANZANIA ATAFANYA HIVYO REGARDLESS YA NAFASI NA UWEZO WAKE SERIKALINI, TUTAPATA MAISHA NAFUU WENGI WETU.
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  William weka sentensi zako za Kiingereza kwenye spellchecker au tumia kiswahili.

  Kwa baharia wa muda mrefu uliyezunguka viwanja na kudeal na watu tofauti kuandika heading iliyokaa fyongo kama hii unatia wasiwasi watu kama unajua unachoandika au unababaisha tu.

   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - My Bro, heshima yako sana!: HOWEVER huwa ninakuja hapa ku-Discuss Taifa so ukitaka kunijadili mimi na uwezo wangu wa kufikiri, tafadhali nifungulie thread, ingawa itawafurahisha sana wasomi na wenye akili kwa a genius like you, kuja hapa kwenye uwanja kunijadili mimi, please sina mpango wa kutoka kwenye the Focus ya mada, yaani mafuriko na wagombea Urais 2015. Halafu jaribu kuwa na heshima kidogo cause kuna watu hapa wamepoteza ndugu zao kwenye mafuriko haya!!

  - Much Respect!


  William Le Baharia big Show!
   
Loading...